hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mi sina Mapenzi na Magari ya China, ila hii XPeng P7 inashawishi sana!

    Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028. Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025. Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea kwa Mkapa, Tanzania itakombolewa kweli?

    Hii hali ya uwanja leo huku watu wanazidi kutekwa. Tundu Lissu yupo ndani watu wanacheza mchiriku. Mama iba hela mpaka unga uwe 10000 kilo. Piga hela mpaka umeme wa 10000 upate unit 5. Piga hela mpaka watu wawe tayari kuuwa polisi. https://www.youtube.com/watch?v=aimNKl6X4xQ
  3. JamiiForums Tanzania Hii ni nini wanangu?

    Juzi, nilipita sehemu. Nilikuta watu wazima tena wanaojiita wenye akili na busara wakishindana kumpaka kiti moto lipstick nikashangaa. SIkkujua akili, busara na maana yake ni nini. Nilijiuliza. Kwanini wasimtafunilie mbali badala ya kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa. Nilijiuliza. Je, hii ni...
  4. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata spare part hii ya pellet machine ya chakula cha kuku kwa kuchonga au kukunua

    Wakuu nahitaji muongozo wenu wapi ninapoweza kununua au kuchonga spare part hii ya mashine ya kutengeneza chakula cha kuku cha punje(pellets),nataka disk yenye matundu madogo pungufu ya 3mm,nimejaribu sehemu mbalimbali wanashindwa hii kazi pakiwemo kwenye ile taasisi fulani kubwa ya serikali ya...
  5. JamiiForums Tanzania Walioelewa hiki kibonzo cha Masoud Kipanya naomba tafsiri yake

    Siku ya leo katika mitandao ya kijamii kuna hii katuni nimekutana nayo, imenitafakarisha sana lakini nimeshindwa kuelewa umaana wake hivyo nimeona haja ya kuileta hapa jukwaani nieleweshwe
  6. JamiiForums Tanzania Contemporary and cross cutting issues, Hii Korean TV series inaweza ikawa case study.

    Affection | The King's Affection. :
  7. R

    JamiiForums Tanzania "..Nayafakari sana Kuusiana na miungurumo hii ninayoisikia kuelekea OCTOBER 29"

    Heloo jf Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ§ Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!πŸ€” Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😀 Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🀯 Nikitafakari vita vya israeli na palestini!πŸ₯΅ Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya Jeshi kutwaa madaraka ya uongozi wa nchi. Wewe unasemaje mdau?

    Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari "MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI" HOJA ZAO NI HIZI πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ» Kama serikali...
  9. JamiiForums Tanzania Ni ujinga kuinasibisha hii serikali na uislam

    Uislam ni moja kati ya dini zilizojijengea heshima kubwa kutokana na kufuata misingi imara, maadili na itikadi thabiti. Hata hivyo, katika siku za karibuni kumezuka baadhi ya mashehe na waumini wanaoamini kuwa serikali iliyopo madarakani ni ya dini yao, na kwamba changamoto nyingi wanazipata...
  10. JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  11. JamiiForums Tanzania Miloud Hamdi atemwa Ismaly, Yanga ndio nafasi pekee ya kumrudisha ndio hii

    I salute you kinsmen Tayari miloud kashatimuliwa Tuache kuzunguka bure huyu alikuwepo yanga majuzi tu hakuna haja ya kumrudisha tu maana sidhani kama bado anasahau team yetu maana alikuwepo juzi tu Makocha wa kiarabu huwa ni makocha wazuri sana kama huyu bwana Hakuna haja ya kuhangaika huyu...
  12. JamiiForums Tanzania Unakisia hii TV inaweza kuwa nch ngapi?

  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 tukubaliane tutatoka na hii ngoma?

    "Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika, wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru. Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2 watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema. Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru. Kumbe si...
  14. JamiiForums Tanzania Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
  15. JamiiForums Tanzania Tech guyz, Msaada wa kutoka kwenye hii Error message: 0x80070057

    Hii PC mwenyewe anasema ghafla tu ilizima. Nikiwasha inalizimisha kufanya Auto repair. Inakaa hivyo kwa zaidi ya masaa 12. Nimejaribu kureset, kufanya system restore, kufanya new installation of window. Inaleta Error message hii: 0x80070057
  16. M

    JamiiForums Tanzania Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

    Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video. Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini. Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ndio genocide ya kwanza duniani ambapo wahanga wanasaidia kuua wahanga wenzao

    Baada ya kutungwa stori za uongo kuwa israel inasababisha genocide hapo gaza, ukweli wa mambo umejiidhirisha wenyewe kuonesha wauaji wa raia wa kweli ni wakina nani, lakini cha ajabu dunia imetulia. Hamas wanaendelea kuua wanachi wa gaza tena hadharani kwa hasira ya kushindwa vita.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Kuna wazee bado wana akili na uwezo wa kuchangua mambo. Hawa ndo wanahitajika kwenye nchi hii

    Mzee kauliza swali zuri sana sio mnawaambia watu mtoke mkatiki oktoba, hata tusipotiki mmeshapita maana hatujui mnashindana na nani.
  19. JamiiForums Tanzania Sijui mwamba alifeli wapi hii vita sio mchezo

    Nimeingalia mara mbili mbili hatari sana
  20. JamiiForums Tanzania Mama na Kaka walichangamka sana Wiki iliyopita, mbona Wiki hii wamepoa na Kaka alionyesha Ugangwe na Ungangari dhidi ya Mdogo Mtu Mpotezwa?

    Nauliza tu kwa nia njema na wala tusinuniane tafadhali. Nilidhani Kaka Mtu kwa lile Biti lake la Wiki iliyopita basi angeendelea nalo kwani tulimsifia kuwa alikuwa ni Mbabe hata kuliko Mdogo wake tuliyemdhania kuwa alikuwa Mbabe kabla ya Wababe zaidi yake kumalizana nae.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…