Hivi kimsingi kama mambo yakiwa mabaya zaidi mathalani maandamono yakashika kasi amani ikatoweka na nchi ikaingia kwenye machafuko, ni nani alaumiwe kati ya watawala na wananchi.
Au nani? Ndio chanzo cha tatizo kati ya watawala na wananchi?
Na pia ni nani anapaswa awajibike ili kunusuru hali hii inayoweza kuleta hatari(kufunika kombe mwanaharamu apite) kwa nguvu ya nafasi zao zilivyo je? Ni watawala au wananchi?
Binafsi naona watawala huu mzani unaegemea kwao... Lakini je kwanini wanaendelea na harakati zao licha ya kua mambo si mazuri mtaani/mtandaoni kuna taharuki still bado wanashupaza shingo/wanakaza fuvu.
Hapa ndio kuna kitu hakipo sawa/panasmell fish... Kwanini hawachukui maamuzi sahihi kwa wakati na mahali sahihi... Si bule kuna kitu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.