hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

    Wajomba na Mamshangazi habari zenu. Mahusiano yanachangamoto nyingi sana, ukiona mahusiano yako yamesimama imara na hujawahi pitia changamoto kama hizi siku ikikukuta utatamani kuzimia. Baadhi ya mahusiano yanapitia changamoto hizi. 1. Kunyamaziwa kimya kwa siku 2 hadi 3 2. Kujibiwa majibu...
  2. Hii mitihani hii

  3. Hii video ni mfano halisi wa kinachoenda kutokea Oktoba 29 2025

    Kwa atakayenielewa aelewe… https://www.instagram.com/reel/DLcLBEptO4A/?igsh=MXQwamxoNmVsOWt3eg==
  4. GE2025 Video: Nchi ina utani hii. Huyu ndo alitaka kwenda kugombea Urais huko CUF?

    Wakuu Nimekutana na video hii huko mtandaoni. Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
  5. Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

    Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine. Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
  6. N

    Hivi hii imekaaje wakuu? Unakuta mwanaume mzima anasema "lol". Mimi naona kama sio sawa

    Hivi hii imekaaje wakuu unakuta mwanaume mzima anasema "lol" mimi naona kama sio sawa
  7. Ipe neno hii picha 😂😂😂😂

    Ipe neno hii picha 😂😂😂😂
  8. Hii Idara ni nyeti lakini inatumika ovyo kwa Nini?

    Angalia kulia na kushoto mwa Mh Rais wote ni maafisa vipenyo najiuliza wapi tunafeli?
  9. Ukiambiwa uwataje marapa 3 ambao ni wakali wa michano kutoka kwenye list hii, utaenda na nani?

    Wakuu, Ni ukweli usiopingika kuwa Hiphop siku hizi imekuwa ni nyepesi mno tofauti na zamani Siku hizi bars zimekuwa nyepesi na hata staili ysa kuchana imebadilika mno. Leo kuna playlists moja nimekutana nayo huko Spotify. ilikuwa na nyimbo za marapa hawa ambao tangu kitambo wako kwenye game...
  10. Wajumbe wakigawana Mavuno ni rushwa nje nje hii ni hatari kwa Nchi

    GʻT Hawa wanaonunua uongozi kuna biashara gani wanaenda kufanya huko kwenye ofisi za umma ili pesa zao zirudi. Taifa lipo katika hali mbaya sana chini ya wanamtandao TAKUKURU nao wameng'olewa meno.
  11. M

    Quran inawezaje kushindwa hesabu ndogo Kama hii?

    Hebu angalia mwenyewe hapa kwenye mgawanyo wa urithi kwa mujibu wa Quran 4:11-12
  12. Natengeneza tovuti (website), hii nilimtengenezea mwanajamiiforum angalia

    Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za...
  13. Natengeneza tovuti (website), hii nilimtengenezea mwanajamiiforum angalia

    Natatengeneza tovuti (website) za makampuni, biashara, watu binafsi na n.k. hii tovuti (website) nilimtengenezea mwanajamii forum anaitwa Meneja wa Kampuni japo kwa Sasa haipo mtandaoni (online) nafikiri kashindwa kuilipia gharama za kuendesha za kila mwaka ila ipo hewani kwenye kumbukumbu za...
  14. Hivi hii kitu mmeshwai kupata experience nacho

    Una amua kutoka na mtoto matembezi ya kwaida una kutana na wafanya biashara hawa labda anauza vidoli vya kuchezea watoto huna ratiba na kununua iko yeye ana enda mpa mtoto achezee kumuonjesha mtoto una mkataza ataki ana anza kukupigia kelele za kilio kitu cha 2000 mtu ana kuambia 5000 kwasababu...
  15. Kutoka mtaji wa elfu 50 mpaka milioni 10 ndani ya mwaka mmoja hii kitalaamu tunaitaje.?

    Watalaamu wa uchumi mkuje. Content Credit: Kelvin Kibenje
  16. M

    Polepole: "Offspring" (mtoto) wa mwanamtandao ambaye ni waziri anazunguka nchi hii kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030

    Leo katika mazungumzo yake na wananchi, Polepole ameeleza kuwa wahuni wameanza kuzunguuka nchi hii na kugawa fedha kwa ajili ya uchaguzi wa 2030. Akasema mmoja wa wanaofanya hivyo ni mtoto/offspring wa Mtu mzito sana ndani ya Wanamtandao. Hii ngoma ni hatari sana.
  17. J

    Pole pole livestream ina 6.5k current watching viewers wakati aliko mkuu wa nchi kuna 12viewers. Hii vita ni kali sana 😂

    Press conference ya H Polepole Ina viewers zaidi ya 6K wakati hayo maonesho na nane nane Yana watazamaji 12. All the best enewei
  18. Hakika mafanikio hayaji bila maandalizi, Tazama video hii kisha utajua kwanini kuna timu kila mwisho wa msimu huambulia kombe la ranking

    Mafanikio = Serious Commitment ✅ Kujituma kwa moyo ✅ Njaa na kiu + hasira ✅
  19. N

    Hii ndio ladha pekee iliyobaki nchini

    Kwa sasa, hii nchi yetu ya umoja ni nguvu haina ladha tena kwenye mambo mengine. kwa mimi binafsi sasa labda habari za soka pekee kwa hapa kisiwa cha AMANI Zilizobaki zote naona siwezi kufatilia namaanisha zote,iwe politics, uchumi, teknolojia nk. Mungu atufumbue wabantu bado tuna safari ndefu...
  20. Nimefungwa POP mkononi, lakini naskia maumivu makali mkwenye mkono, hii ni kawaida?

    Wakuu nisaidieni hili jambo. Nilienda kunyooshwa mkono (ulijikunja baada ya ajari), nikapigwa nusu kaputi sababu ulikua stiff ili.ukinyooka nifanyiwe surgery. Sasa umenyooshwa na nimewekewa pop, leo siku ya 2, lakini maumivu hayapoi ndani ya pop, japo nilipewa maelekezo ikitokea ngozi ya vidole...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…