hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chagua wachezaji bora watatu kutoka katika list hii

    Hii ni list ya magwiji mbalimbali wa Argentina na Brazil wanaocheza na waliostafu soka. Ukipewa nafasi ya kuchagua tatu bora utawachagua akina nani?
  2. JamiiForums Tanzania Wakili Kibatala: Mheshimiwa Jaji ukiisoma hukumu hii UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS pingamizi letu juu ya diary ya shahidi utaliona ni sahihi

    Kibatala: Mheshimiwa Jaji niende kwenye hii Kesi ya Wenzetu ya UGANDA Vs OKUMU REGAN AND OTHERS Kama Kuna Kesi itakuisaidia basi kesi hii.. Na Kupeleka Ukurasa wa Tano, Sisi tumesema Kwamba Shahidi Ni INCOMPETENT. Kibatala: Kama unaona Kuna ugumu wa kufanya uamuzi kwenye kesi hii naomba itumie...
  3. JamiiForums Tanzania Hii Mbeya umeme vipi?

    HII MBEYA UMEME VIPI? Ndagafijo Nimetoka zangu huko visiwani nyumbani kwa mama wa nchi nikasema walau nijivinjari huku bara, ili kusaka tonge ili yule bidada mrembo asiye na doa, nimmilikiye asije nikimbia licha ya subra na uvumilivu alojaliwa na manaan. Sio hilo tu je huyu binti yake ambaye...
  4. JamiiForums Tanzania Picha hii ilipigwa 1950 mjini Zanzibar

  5. JamiiForums Tanzania Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

    Kaka Janu shikamoo. Naomba leo nikupe ukweli ambao wengi hatuufahamu. "Wenye nchi yao", baada ya kuona taifa linalegalega, waliamua kumtafuta mwendawazimu mmoja ili alirudishe kwenye reli. Kwa ustadi mkubwa sana walifanikiwa kumchanganya JK kiasi kwamba amekuja kushtuka tayari JPM ni candidate...
  6. JamiiForums Tanzania Waheshimiwa wabunge picha hii inawahusu

  7. JamiiForums Tanzania 2013 mlisema tunaanza kuuza umeme nje ya nchi. Je, tumeshafanikisha?

    Pia, soma https://www.jamiiforums.com/threads/tanzania-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-kuanzia-mwakani.488637/ https://www.jamiiforums.com/threads/maajabu-tanzania-kutoka-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-hadi-kununua-umeme-cheap-toka-ethiopia.1228928/
  8. JamiiForums Tanzania Video ya mchawi/mwanga aliyekamatwa akiwanga ina ukweli?

    Nimeiona hii video ya tukio lililotplea tarehe 4 ikimuonesha mchawi akiwanga, pia anaonekana live anapotea Teknolojia ya ku edit nayo imekuwa sana siwezi kuamini moja kwa moja Najua uchawi upo maana nimewahi kukaa mitaa ambayo ikifika usiku kuna fujo zao zinafanya wengi walale kw wasiwasi...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe akishinda hii kesi jamhuri msiwe mnapeleka kesi mahakamani kabisa

    Hapo vip!! Nimekuwa nikifuatilua hii kesi ya mbowe,mwenendo ya kesi yenyewe na namna ushahidi unavyotolewa mahakamani na jamhuri. Jamhuri inaonyesha wamejipanga muda mrefu sana kwasababu za kiupelelezi nakadhalika. Na kwanamna wanavyotoa ushahidi wao hakika umenyooka sana kuliko hata ule...
  10. JamiiForums Tanzania AirBnB inafanyaje kazi?

    Sijajua kiundani hii AirBnB inafanyaje kazi. Nimesikia ipo kama Uber kwenye nyumba. Kwamba unakuwa na nyumba na watu wanabook kupitia hiyo app/kampuni. Nimeona malipo yake kwa siku ni makubwa sana. Hivi unaweza kuiweka nyumba yako kwenye huo mpango na ukapiga pesa kwa huku Tz? Inafanyaje kazi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni jina la Movie Hii

    Inazungumzia muuaji anayeua wanawake wenye nywele ndefu
  12. JamiiForums Tanzania Hii kiitifaki imekaaje?

    Rais inabidi asindikizwe na Vigogo wa ngazi za juu, sio Waziri
  13. JamiiForums Tanzania Lakini DPP tulikushauri ufute hii kesi ya Mbowe haina uhalisia wowote

    Mimi kama Wakili mkongwe ndani na nje ya nchi kwakweli sijawahi kushudia kesi yenye vituko na mikamganyiko mingi kama hii inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na wenzeke. Yaani Mawakili wa Jamhuri wanajichanganya wanaharibu mambo, mashahidi wanajichanganya hawaelewi ni wapi...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tuache porojo, hii ndiyo sababu ya kwanini Taifa Stars imepoteza. We're exactly where we belong

    Mengi yanasemwa ya kwanini tumekula 3-0 dhidi ya DRC, lakini kwangu naona ni porojo tu! Hebu twendeni taratibu, hatua kwa hatua. Wale Wakongo waliopo Yanga na Simba, kwa viwango vyao vile vile wanavyoonesha sasa... je, kama wangekuwa Watanzania, ni wangapi wangekosekana kwenye kikosi cha Taifa...
  15. JamiiForums Tanzania Tuwe makini sana na mikopo hii ya kutoka Bretton Woods Institutions (IMF & World Bank)

    Leo nchi yetu tumepata mkopo wa 1.3 trilioni kutoka IMF (International Monetary Fund) tumefurahia sana watanzania na kupongeza sana kwa hatua hii Lakini ukifuatilia sana mikopo hii, ambayo mabeberu wanasema eti ni mikopo ya masharti nafuu (concession loan) kutoka kwenye hizo taasisi za...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye hamasa ya Tsh 1.4 Bilioni ya Serikali ya Rais Samia kwa Taifa Stars yafanikisha waende tu kutalii na Bombardier Madagascar wikiendi hii

    Tanzania ndio kwaheri World Cup 2022 atakaye songa mbele kwenye hili kundi ataamuliwa Kinshasa siku ya jumapili kati ya Congo DR na Benin. Atakayeshinda mechi hiyo ndio ataenda kwenye playoff na wakitoka sare Benin itafuzu kwenda playoff. Mechi ya Tanzania na Madagascar itakuwa ya kukamilisha...
  17. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ipo maeneo gani ya Kenya tusaidieni

    Ni Magnetic force au Gravitational force imepungua or another unknown force.
  18. JamiiForums Tanzania Kila viongozi wetu wawapo nje, wanaomba wageni waje kuwekeza na siyo kutuombea tukawekeze. Hii ni hatari kwa vizazi vikavyo

    Ukweli usemwe sasa,ukichelewa tumekwisha. Ni nini kimetipata sisi Watanzania? Hasa viongozi wetu? Nimemsikia Raisi akiwa Scotland, Kenya, Misri nk. Nimemsikia Makamu wa Rais majuzi hapa akiwa nje, nimemsikia Waziri Mkuu akimkaribisha na kumweleza mcheza filamu maarufu wa India aje kuwekeza...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii ina maana gani? Kwanini wasiandike Judgement wanaandika ORDER of the Court?

    Nimekuwa nikikutana na hii kitu hapo juu marakwa mara. Ina maana gani. Judge anaandika Order of the Court badala ya kuandika Judgement anaposikiliza pingamizi. Naweka hii order muione . Halaf hiyo kesi ya tarehe 12 nai attach for convinience and quick reference...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

    Kama ni kweli KEROZENE nitaumia na Kusikitika mno kwani kama kuna mahala ambapo huwa napata Wanawake wepesi na kula nao Uroda kiurahisi na situmii Gharama yoyote ile ni wa hapo Kwake Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe. Tafadhali Serikali kama Minong'ono hii ni ya Kweli naomba msitishe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…