hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Tuangalie hii kiundani huenda ikawa kweli au si kweli kuhusu Nelson Mandela

    Kuna Habari kama Sio stori inasomeka kama ifuatavyo Huyu Mandela aliyeiongoza South Africa alikuwa Feki alitengenezwa na Makaburu, Makaburu walimuua Mandela halisi halafu Wakamtengeza wa kwao ili awe Kibaraka wao hapo SA Watu wanauliza Kwamba iweje Mandela aliyefungwa miaka 27 Jela halafu...
  2. Simba tafuteni wachezaji vijana timu inawafia hii

    Kapombe 30+ Hussein 30+ Onyango 40+ Wawa 30+ Mkude 30+ Mzamilu 30+ Dilunga 30+ Boko 30+ Nyoni 40+ Kagere 30+ Mugalu 30+ Hawa wazee ndio mnawategemea kuifunga Yanga ?
  3. Hii kauli ya kusema wa Tanzania tuthamini vya kwetu!? Ni vya kwetu Vipi hivyo tunavopaswa kuvithamini?

    Ukiangalia kila kitu tumeiga kutoka ulaya Sasa kuthamini vya kwetu inatoka wapi jamani? Tujitume katika kazi watanzania wenzangu vya kwetu vishapita vimebaki vya mungu na mzungu hii kauli ya kuthamini vya kwetu ni kukosa kazi ya kufanya na kuashiria uvivu.
  4. M

    MUGALU: Persona non grata

    Tafadhalini sana tuondoleeni huyu mcheza striker mkabaji na mcheza off side kila wakati kwenye club yetu kwani kazi ya kufunga magoli iliisha mshinda siku nyingi. Kiwango hana na hastahili kuchezea timu kama Simba.
  5. K

    Kwa Yanga hii ubingwa wa mwaka huu wanauchukua

    Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki tumeridhika sana. Ubingwa mwaka huu ni wetu kinachotakiwa ni kuongeza juhudi. HONGERENI SANA.
  6. Sasa uhakika simba anapigwa leo hawezi kukwepa

    Tulikuwa Zanzibar na tumekuja na Mtaalamu mwingine na kukutana Katikati ya Jiji. Hii matches uhakika wa kushinda ni Asilimi 101. Wanayanga ondoeni shaka. Ushirikiano na Viongozi ulikuwa mzuri na hawa wenzetu wanajidai wao wanajiamini na team yao. Watapatwa na kitu Kibaya sana siku ya Leo...
  7. B

    Hii tabia imezuka kwa couples wengi miaka hii

    DISCLAIMER: Usisome wala usicomment kwenye hii post kama unajiona ww ni mtakatifu sana Zamani Swala la kuzama chumvini lilikuwa ni jambo la ajabu na kutia kinyaa, sahivi limeonekana ni jambo la kawaida/ufundi tena asilimia kubwa ya watu wanashauri wenzao wafanye oral sex (Mwanaume azame...
  8. D

    Hii kitu inawatokeaga na nyie?

    Kuna ile situation mtaani kuna msichana mmoja hivi. Mkaliii ila malaya. Kasharuka na mabaharia wengi wa mtaani. Bado yupo katika mahusiano na wanaume kama watatu hivi, wenyewe hawajui kama wana-share mwanamke mmoja. Humpendi wala humuwazii kama atakuja kuwa mkeo. Katika pita pita za hapa na...
  9. C

    Inasikitisha Hii Picha Ya Yanga Sc: Bumbuli, Msolla Watengwa

    Picha inayosifiwa na washabiki wa utopwinyo huko mtandaoni kwamba klabu yao ina ma misoooosiiiiiii imeleta maswali mengi sana kwa kuwa Bumbuli na mwenyekiti wa klabu wametengwa kwenye kikao cha ki mkakati Ama kwa hakika kua uyaone, ila msolwa asiwe na wasiwasi kina Davis Mosha watamlinda...
  10. PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

    Habari wadau..! Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango, bali hii picha ya hawa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂
  11. Hii mboga gani jamani?

    anaeijua aniambie😅😅😅 mapishi yake yakoje 😋😋
  12. R

    Wanasheria nisaidieni kuhusu issue hii ya Ardhi na District Council authorities

    1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted? 2...
  13. M

    Msaada kwa anayejua hii mahakama ya usuluhishi;

    ndugu wa na jukwaa mimi nilikuwa mtumishi wa kampuni ya bia tanzania tbl miaka ya nyuma tulikuwa na madai yetu tukafungua kesi mahakama kuu ya Tanzania. kampuni ikaweka pingamizi kuwa kabla ya kwenda mahakamani tuanzia kwa msuluhishi tukapelekwa mahakama ya usuluhishi tukapewa jaji mstaafu...
  14. Inasikitisha sana kama Serikali imeamua kuminya utumiaji wa Mitandao kwa njia hii

    Nimefuatilia trend ya huduma za internet kwa mitandao kadhaa na kusema kweli hali ni mbaya na ya kusikitisha sana. Kwa miaka kadhaa sasa, Serikali imejaribu mbinu mbalimbali za kubana uhuru wa watu kuongea. Siku za nyuma watu walikuwa wananyakuliwa kutokana na post zao. Lakini mbinu hiyo...
  15. Hii Corona ifikie hatua tusibebeshane mzigo

  16. Dunia ni mortgage: Nadharia hii kuhusu sababu ya binadamu kuletwa duniani inafikirisha sana

    Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia.. Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
  17. Aina hii ya fistula, msaada wenu madaktari ni jinsi gani ifanyike ili mgonjwa aweze kupona

    Niende moja kwa moja kwenye maada. Kuna dada mmoja alipatwa na bawasiri ila ile bawasiri ilipona kwa dawa pasipo kufanyiwa operation's. Kilichojitokeza sasa ni jipu pembeni ya tundu la haja kubwa, baada ya jipu kupasuka imetengeneza njia ambayo ina uhusiano na njia ya haja kubwa, hivyo basi...
  18. M

    Chukueni hii kwani ni ya Moto Moto bado na nimeipata kutoka ndani (jikoni) Kwao kabisa

    Ukiwa na Marafiki ( Maswahiba ) wengi ndani ya Kambi ya Maadui zako wakubwa ni Raha sana. Haya Taarifa iwafikie kuwa huko Baharini Kambini Kumeshakucha na kuna Mtu hatakiwi tena. Baada ya kuona hatakiwi huku wengine Wakimsusa na hana kwa Kwenda sasa analazimisha Kukubalika na Oya Oya wengi...
  19. M

    Yanga SC na GSM yenu hivi kama Kesi hii Haki ni yenu kila Siku CAS wangekuwa wanaipiga Kalenda (Danadana) tu Kimaamuzi?

    Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda. Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda. Yanga SC mlitutangazia tena kwa Mashamsham na Kujimwambafai Kwenu kuwa Hukumu itatoka leo ( Mwezi...
  20. R

    Wanataaluma nisaidieni: Kozi hii inahusu nini: Bachelor Of Science In Industrial Engineering And Engineering Management

    I am in dire need to get clarification before making decision where to join Niko kwenye dilema huyu kijana anakwenda kusoma nini na applicability yake kwa Tanzania. Inahusu nini hasa maana siyo pure engineering classical one . Anapata utaalamu gani na position yake katika employment industry...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…