hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?

    Hizi jela zetu zimekuwa sehemu ya mateso na sio sehemu ya kumrekebisha mtu tabia. Mfano hapa jela ya Mbeya Mjini watu wanafanya kazi asubuhi hadi saa nane mchana, hio kazi wanayofanya ni nzito ambayo uraiani anastahili malipo ya chini iwe kumudu milo miatu lakini wao wanapewa chakula mara moja...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada vitabu vya Mathias E. Mnyampala, tutalipana namna hii

    Mnyampala ni moja ya waandishi wa mwanzo mwanzo kabisa Tanzania. Nisaidie vitabu vyake vitatu. Kama unavyo viscan halafu nitumie. Kila kitabu 10,000. 1. Diwani ya Mnyampala 2. Kisa cha mrina asali na wenzake wawili. 3. Historia, mila na desturi za wagogo wa Tanganyika.
  3. JamiiForums Tanzania Mwanaume ukiwa na sifa ya ukorofi bado uko salama kwa wakwe zako

    Sifa ya ukorofi. A mister No Nonsense. HII ndio sifa Bora kabisa Kwa wakwe zako. Wakwe zako wanatakiwa wajue kwamba wewe mwanaume uliye muoa binti Yao. 1. Ni mkorofi Sana. 2. Hutaki Nonsense. 3. Mbinafsi/ mchoyo. 4. Hupendi kusaidia ndugu wa Pande zote mbili si ndugu wa ukoo wako Wala...
  4. JamiiForums Tanzania Nikiamka namna hii aisee siku huenda vizuri sana

    Bila shaka mu bukher wa Afya wana Jf. Mi binafsi namshukuru Mungu kwa afya njema Mi napenda sana nikiamka basi simu yangu iwe Full Charge.. Iwe na Bando la Kutosha (Dakika na Gb) Mtandao uwe na kasi basi siku yangu huenda vizuri sana maana 80% ya utafutaji wangu upo online.. Muwe na...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 inamlinda Rais Samia kukaa madarakani? Kwanini CCM hawataki Katiba Mpya?

    Hivi kwanini tusipate katiba mpya ambayo itaondoa kelele na malalamiko? Katiba ambayo itaruhusu ucahguzi wa rais kurudiwa kama kuna wizi wa kura. Katiba ambayo itaruhusu wananchi kuvunja serikali ambayo haiwatumikii inavyotakiwa? Kwanini watawala wa CCM hawataki katiba mpya na huku rasimu ipo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuachiliwa, pigo kubwa kwa wasiotutakia Mema kama Nchi

    Mh. Mbowe yuko huru kama ilivyosemwa kwenye hukumu, "bila ya masharti yoyote." Iwe ni kwa uamuzi huru wa mahakama au kuna mkono wa mama ndani yake, pana watu wamechanganyikiwa wasijue kulikoni. "Kwamba, ni mwiba mchungu mno kwa wasiotutakia mema kama nchi." Wasikie sasa wale manguli wa kile...
  7. JamiiForums Tanzania Tofauti niliyoiona kati ya Chama wa Simba SC na Aucho wa Yanga SC ni hii tu ifuatayo

    Chama ni 100% Zinedine Zidane na Aucho ni 100% Andrea Pirlo ambapo Chama ni Mpishi mzuri wa Chakula Kitamu na Aucho ni Viungo muhimu katika Chakula Kitamu halafu Chama ni sawa na Maji yanayokata Kiu upesi huku Aucho akiwa ni sawa na Maji yanayokata Kiu na Kuimarisha pia Afya yako. Wote Wawili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

    Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa wewe ndio mpotoshaji mkubwa, Katiba ndio muongozo na jibu la kila kitu. Hii tuliyonayo sasa ina mapungufu makubwa

    Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state. Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
  10. JamiiForums Tanzania Waafrika Weusi tunachukiwa na kubaguliwa Ukraine na Urusi lakini ajabu ni kwamba tunajikomba kwenye hii vita yao

    Inasikitisha sana na inaumiza. Waafrika weusi katika hizo nchi yani hata uwe chotara wao watakuweka kundi hilo hilo, nchi za Ulaya mashariki zikiwemo Ukraine na Russia ni wabaguzi sana wa rangi hakuna mfano. Huwa nashangaa sana kwa sasa mtu yupo kushabikia Ukraine au Urusi maana sisi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hii number ya nchi gani wakuu?

    Kwema wakubwa? Nilikua msalani nimetoka niikacheck simu yangu nikakuta hii number imenipigia, +27118818914.itakua ni number ya nchi gani hii wazee maana binafsi sina hata ndugu wala rafiki aliyeko nje ya nchi?
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo idadi ya silaha za nyuklia Urusi, hali ilivyo mataifa mengine

    Urusi ina silaha ngapi za nyuklia? Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa vinavyosababisha mlipuko wa nyuklia - ingawa hii inajumuisha takriban 1,500 ambazo zimechoka na zinatazamiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Presha ya Urusi, Bilionea Abramovich kupokea ofa tatu wiki hii za kuiuza Chelsea

    Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii. Kumekuwa na presha kubwa kwa bilionea huyo kuiuza Chelsea kutokana na ukaribu wake na Rais wa Urusi...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi mlinzi wa Hayati Magufuli ni mlinzi wa Naibu Spika Zungu kweli?

    Kama ni kweli wale tulio kwenye ulinzi jiuzuluni tafadhali sanaaa huyo hapo chini alikuwa mlinzi wa Magufuli sasahivi ni mlinzi wa Naibu spika?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msinililie mimi bali jililieni ninyi nafsi zenu na watoto wenu

    Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe, balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa mtaa au mjumbe wa kamati ya ya ulinzi na usalama wa mtaa...
  16. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

    Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi. Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea...
  17. JamiiForums Tanzania Pamoja na umri huu sijui maana ya hii

    Pamoja na umri huu sijui maana ya hii Nawakaribisha kwa michango
  18. L

    JamiiForums Tanzania Kama unapitia changamoto na unahisi kukata tamaa pita hapa

    " FORREST GUMP" Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye kesho basi heshimu kila mtu nk. Kama una depression, mid life crisis, anxiety, mambo yako hayaendi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hesabu hii ndiyo inawaumiza Vichwa wa Magogoni na Chamwino na wale wa Kisutu na Lumumba kuhusu Gaidi wa Kusingiziwa

    1. Je, akiachiwa hatosababisha HATARI ya Kiusalama? 2. Je, akiachiwa hatotumika na Maadui wa Mzanzibari Kumdhoofisha Kisiasa? 3. Je, akiachiwa hawezi kutumia kuwepo Kwake Lupango kama Turufu ya kutuomba Watanzania tumpe nchi 2025? 4. Je, akiachiwa sasa Chama chake hakitokuwa kimepata Agenda...
  20. JamiiForums Tanzania Unazungumziaje hii fasheni ya Kim Jong-un, umeona upanga wa nguo yake?

    Mtazame Rais wa Korea, Kim Jong-un katika majukumu yake ya kawaida, wadau tuijadili hii fasheni ya nguo zake alizovaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…