Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni.
Walijenga hydroelectric power kutumia maporomoko ya mito kule Amani na kulikua na umeme. Waliweza...