hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya mwisho kwa Yanga kabla ya mechi yao na Al Hilal hapo kesho

    Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90. Goli la mapema linaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndio dawa ya Clomiphene inayotumika kutibu uzazi kwa wanawake / Clomifene citrate

    DAWA YA CLOMIPHIENE Dawa hii hufahamika kama ‘Clomiphene Citrate’ Katika fani ya Tiba ya dawa, Clomiphene huwekwa katika kundi la dawa liitwalo ''ANTIESTROGENS AND SELECTIVE ESTROGEN RECEPTOR MODULATORS (SERMs)'' Kwanza kuelewa maana ya ‘ANTIESTROGENS ’ ni nini? Hii ni dawa inayoleta...
  3. JamiiForums Tanzania Vipers kutoboa kwa Mazembe inaonesha hakuna lisilowezekana kwenye mpira

    Habari za jioni wadau wa soka la Bongo. Nimetoka kuangalia hapa Live Score hadi nimeshtuka baada ya kuona Vipers ametoboa kwenda makundi mbele ya Tp-Mazembe ambayo ilikua mwenyeji. Hili swala limenipa kitu cha kufikiria na kuamini kile kitu nipo nakiamini kuwa hata Yanga anaweza kupita pale...
  4. JamiiForums Tanzania Kiti cha Rais Samia kanisani Vs Rais Ruto kanisani Homa Bay, Kenya

    Nimeona picha ina trend ya kiti cha Raisi kuingizwa kanisani kwamba hawezi kalia kiti kingine tofauti na cha kwake kutoka Dodoma. Baada ya hapo nikakumbuka picha ziliozo triend za Raisi Ruto akiwa Homa Bay mwezi ulio pita, alikalia kiti kilicho chanika na akaona sawa, na hata Maaskofu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

    Nakuona nikijana nakuona bado una nafasi kulisaidia Taifa ila kama ilivyo kawaida ya sisi Mungu katupa ona kesho nataka kukwambia huyo Hayati Magufuli alisha lala either story yako yaweza kuwa na ukweli au uwongo nataka kuuthibitishia hata kama ni kwa malipo ya 1 trillion kufanya kazi unafanya...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA iko kwenye hatua ya "Maturity"; Katika hatua hii, haiwezekani kuifubaza au kuifuta..!

    Kuna wana CCM kadhaa na mashabiki wao wasio na uelewa ama ufahamu wanasema kuwa CHADEMA haina dili tena, imekwisha. Hawa ni wajinga, wanahitaji kuelimishwa kwa sababu hawajui wasemalo... Katika dhana ya ujenzi wa taasisi yoyote, kuna kitu kinaitwa kwa lugha ya kiingereza Project Life Cycle -...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwepo pia kwa Mkapa Day, ameifanyia hii nchi makubwa sana, isiwe mapumziko

    Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi Mtu aliyechukua maamuzi yaliyofufua uchumi wetu ni Mkapa, mkapa...
  8. JamiiForums Tanzania Wachambuzi mnisaidie: Hii vita SMO ya Russia ukiendelea miaka miwili ijayo huku Ukraine anasaidiwa na Dunia nzima, Nini kitatokea?

    JE Russia ataishiwa silaha.? Je Pro Ukraine countries wanaweza kupenyeza majeshi yao Kwa Jina la Ukraine wakamtembezea moto Russia Hadi Kremlin. JE Russia anaweza kutumia mbinu za kikatili za US kuizima Kiev Kwa Nyuklia kama Hiroshima mchezo uishe. JE, Russia anareserve ya kutosha ya silaha...
  9. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya hovyo kuwapa wachezaji majina ya wachezaji na makocha wakubwa kutoka nje inakera

    Huu ni upuuzi mkubwa sana tunauendekeza, unakuta mtu akiwika ama akifanya vizuri basi anapewa jina la mtu mwingine mpaka linafifisha jina lake. Utasikia Kelvin John Mbape, mara Juma Mgunda Pep Guardiola Mnene, hebu waacheni watengeneze utambulisho wao.
  10. JamiiForums Tanzania Laptop hii ipo vizuri kwa gaming?

    Na hii vp wataalam je iko vizuri? Kusukuma heavy games? Na hizi ndizo sifa zake 👇
  11. JamiiForums Tanzania Nimenisurika mara nyingi kupigwa na utapeli wa mitandaoni kwa kutumia mbinu hii

    Habari za muda huu wana JF Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking) Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
  12. JamiiForums Tanzania Wahenga njooni mnisaidie: Eti huyu mama ni nani hasa katika nchi hii?

    Huyu hapa.. Naomba tufahamishane vizuri wahenga wa Jf..
  13. N

    JamiiForums Tanzania Novemba 21: Matola kasome kozi ya CAF A Diploma, usikimbie

    Ni kama vile Suleiman Matola hapendi kusoma hizi kozi bila kujua anajinyima fursa za maana, ndugu yangu Matola, TFF washatangaza hii nafasi nenda kasome sasa we mzee. Uongozi wa Simba pangeni ratiba kabisa huyu jamaa apewe nafasi akapate cheti hicho, ikibidi hata yule Sebastian Nkoma naye aende...
  14. JamiiForums Tanzania Simba hii ni sawa na Nigeria ya Kombe la Dunia 1998. Inashinda ila siuoni ufundi kabisa

    Niseme tu labda siwafahamu De Agosto vizuri. Lakini mpira wa Jumapili wa Simba sikuelewa, butu butu nyingi. Ubora wa timu niliouona kwa Mgunda ni ifuatayo; Uchaguzi mzuri wa wachezaji. 1. Niliona mapungufu ya Quatara yakifanyiwa kazi. Na Kanute anakuwa mzuiaji wa chini kabisa. Anazuia mipira...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hii alama inamaanisha nini WhatsApp ukimtumia mtu ujumbe?

    Jaman naomba msaada, ukimtumia mtu ujumbe WhatsApp ikaonekana hii alama inakuwa na maaana gani au inaitwaje?
  16. JamiiForums Tanzania Kalynda Wasishtakiwe, hii ndio maana halisi ya usimuonee Huruma masikini na mjinga

    Kwema Wakuu! Kuna watu hata uwape majibu ya mtihani bado Watafeli pakubwa, alafu watakuwa wakwanza kulalamika. Taikon ni mtu wakuwapeni Magaka/majibu ya mitihani kabla ya kuingia Chumba cha mitihani. Ukiona Jambo nimeliandika ujue tayari nishalifanyia uchunguzi wa kina, na Kwa vile sio hulka...
  17. JamiiForums Tanzania Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

    Demu nimekaa naye kwenye uhusiano kama miezi kama 10 hivi. Namsaidia anapokuwa na uhitaji sababu kwa muda sasa hayupo kazini. Namlipia pesa ya chakula, umeme n.k Juzi juzi kaomba nimpatie pesa aende kwenye harusi ya ndugu yake Kilimanjaro. Nikamwambia sidhani kama ni lazima sana aende maana...
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu Hii Pc kwa hii bei ni sawa?

    Wakuu vipi, Nmeenda dukani kununua Pc used abroad. Ni hp 840 zile new design nyepesi flan nyembamba. Core i5, Ram8, ssd 256 generation 6 Kwa 550, 000/= Ni sawa au napigwa?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mawakili kuweni sincere na wateja wenu, kuweni wakweli, kweli hii application kwa wakili wa Court of appeal unaweza kuikubali kuiendesha

    Wanasheria kuweni na huruma, you should not be driven by money! Mshauri mteja na ikibidi kataa kuichukua kesi kuwa hii completely huwezi kushinda. Someni muone walivyo shyster lawyers hawa mawakili wetu
  20. JamiiForums Tanzania Kwako Eng. Hersi Said taarifa hii ikufikie kuhusu chawa wako

    Popote ulipo nakupa pole Rais wetu kwa mapambano unayopitia katika kutetea chapa ya Yanga. Kufeli kwetu katika mambo mbalimbali yaihusishayo klabu yetu tatizo kubwa ni hawa machawa wako wanaokuzunguka, mdomo mwingi, sifa kibao utendaji sifuri. Hao wamekuwa wakiangalia matumbo yao tu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…