Alitaka kujenga treni ya Umeme Tanzania, swali likaja umeme atautoa wapi wa kuendesha hiyo treni?
Akapiga akili akagundua kuna uwezekano wa kupata zaidi ya 2000 MW green energy huko Rufiji Delta, akaingia lab kazi ikaanza, Bwawa la kuzalisha umeme zaidi ya 2000 MW likaanza kujengwa fasta...