Msaada: Naomba tafsiri ya Ndoto hii

Uboboh

JF-Expert Member
May 21, 2023
307
900
Herbalist Dr MziziMkavu
Msaada pls.

Nimeota Bi Mkubwa kanipa kisu nikakamate kuku nichinje. Ile kutoka nikakuta kuku wengi ila sasa nikawaza kuwakamata kwa kuwakimbiza ni ujinga, nikapata wazo nikae nifanye kama nawapa msosi ili wasogee.

Hapo nikita kisu kushoto kwangu mara kuku mmoja alikuja kushoto na nilimuona kama demu fulani chuo rafiki kiaina sio sana. Nikawa na mbembeleza kwa kumshika shika mabega ili aniamini niingie nae ndani nimchinje.

Kisu sikukiona tena, na nilishtuka.

Niambieni ina maana au tu ni shibe?
 
Ni dalili ya wewe unapambana na maaduwi zako lakini wamekukimbia kutokana na maombi unayo yafanya aka ibada zako ndio zinazo kusaidia
 
maombi yetu yanakubeba wewe soo yule kijana mwenye I'd ya shetan mkuu?๐Ÿ˜„
Kwenye maisha yangu haijawahi pita day sijasema na Mungu japo kifupi sana kumbe yanafika

Walevi, wazinzi, wabakaji, wala witi, wadangaji, wapiga puchu, waangalia x, waongo, wenye tamaa HAWATAURIDHI UFALME WA MUNGU

LEO NAJISIKIA KUTOA NENO LA UZIMA ๐Ÿ˜
 
haha endelea kutoa neno la uzima ila unajua unapoelekea kuna kuni nyingi ๐Ÿ™‚ mbinguni hakujawah kuwa na kuni
 
Mkuu nambie mwisho lini? Kumtumia mama pesa ya kiloba cha unga? Mkuu au cha mchele

Nambie mkuu kuwa honest
Mimi bado sijajitegemea na sikai na mama yangu ila siku tukikutana soda, chakula na vituvidogovidogo na fix mpaka sometime anajiuliza pesa napata wapi na sina kazi
 
Herbalist Dr MziziMkavu
Msaada pls.

Nimeota Bi Mkubwa kanipa kisu nikakamate kuku nichinje. Ile kutoka nikakuta kuku wengi ila sasa nikawaza kuwakamata kwa kuwakimbiza ni ujinga, nikapata wazo nikae nifanye kama nawapa msosi ili wasogee.

Hapo nikita kisu kushoto kwangu mara kuku mmoja alikuja kushoto na nilimuona kama demu fulani chuo rafiki kiaina sio sana. Nikawa na mbembeleza kwa kumshika shika mabega ili aniamini niingie nae ndani nimchinje.

Kisu sikukiona tena, na nilishtuka.

Niambieni ina maana au tu ni shibe?
Amka utakojoa kitandani

Ndoto ni kama hizi ๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป๐Ÿ‘‡๐Ÿป

Mwanzo 28:11-12,16,19
[11]Akafika mahali fulani akakaa huko usiku kucha, maana jua lilikuwa limekuchwa; akatwaa jiwe moja la mahali pale akaliweka chini ya kichwa chake, akalala usingizi pale pale.
And he lighted upon a certain place, and tarried there all night, because the sun was set; and he took of the stones of that place, and put them for his pillows, and lay down in that place to sleep.
[12]Akaota ndoto; na tazama, ngazi imesimamishwa juu ya nchi, na ncha yake yafika mbinguni. Tena, tazama, malaika wa Mungu wanapanda, na kushuka juu yake.
And he dreamed, and behold a ladder set up on the earth, and the top of it reached to heaven: and behold the angels of God ascending and descending on it.
[16]Yakobo akaamka katika usingizi wake, akasema, Kweli BWANA yupo mahali hapa, wala mimi sikujua.
And Jacob awaked out of his sleep, and he said, Surely the LORD is in this place; and I knew it not.
[19]Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.
And he called the name of that place Bethel: but the name of that city was called Luz at the first.
 
mkuu tukigusia mambo ya dini hapa nina uhakika utanichukia ๐Ÿ˜‚
Mwanangu sijawahi chukia mtu sababu ya dini, nilikuwa na demu fulani Mbishiiiiiii hatarii unaongea nae mambo ya dini(anapenda kuanzisha hizo mada) kwenye simu mpaka unatamani umrukie tikitaka

Sembuse wewe mwanangu wa faida ๐Ÿ˜‚
 
Kwenye maisha yangu haijawahi pita day sijasema na Mungu japo kifupi sana kumbe yanafika

Walevi, wazinzi, wabakaji, wala witi, wadangaji, wapiga puchu, waangalia x, waongo, wenye tamaa HAWATAURIDHI UFALME WA MUNGU

LEO NAJISIKIA KUTOA NENO LA UZIMA ๐Ÿ˜
Hapa umeandika uongo... au sahihi zaidi ni kuwa wewe unadhani unamjua Mungu lakini humjui? Ungekuwa unamjua Mungu ungesumbuliwa na ndoto na kuhangaika kupata tafsiri? Watu mnajitafutia kupigwa fedha bila sababu yoyote. Binadamu kuota ni jambo la kawaida. Kuna ndoto za kuogofya, kufurahisha na kila aina, inategemea na state ya akili na mwili wako.
 
Mwanangu sijawahi chukia mtu sababu ya dini, nilikuwa na demu fulani Mbishiiiiiii hatarii unaongea nae mambo ya dini(anapenda kuanzisha hizo mada) kwenye simu mpaka unatamani umrukie tikitaka

Sembuse wewe mwanangu wa faida ๐Ÿ˜‚
sawasawa.....๐Ÿ˜‚ ujitume sasa usifurahi kwa ajili ya ndoto tu
 
Tafuta pesa uache kuota ndogo za kifedhuli mdogo wangu

Wenye pesa wanaotaga tu check imepotea au ame deposit pesa kidogo Kwa account yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom