hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Picha hii inasema sana kuhusu siku zijazo kwa siasa na uongozi wa Tanzania

    Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii. Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi. Mwanga utajadiliana na giza, na...
  2. Foleni leo hatari Posta na maeneo ya karibu kuelekea Ikulu jijini Dar es Salaam

    Jamani mnaokuja mjini jipangeni haswa, barabara zimefungwa fungwa haswa zielekeazo Posta hadi Ikulu
  3. Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
  4. Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023

    Naona Itifaki imezingatiwa. VP Kwa VP. MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) mkoani Dar es Salaam. Serikali kupitia kwa Msemaji wake mkuu, Gerson Msigwa imemkaribisha...
  5. Azam TV hii huduma yao ya kuangalia online ni mbovu sana

    Habari wakuu, Nawsilisha kwa wanaohusika na kitengo cha Azam Max huduma yake ni mbovu sana hasa huu mwezi yaani huwezi kuangalia kipindi unachopenda yaani muda wote inakata na hakuna marekebisho ukiwapigia wanakwambia wana tatizo la kimtandao, na itakaa sawa lakini hilo tatizo ndio mwezi...
  6. Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  7. Ukilewa sana kisha ukalala unaweza kuota ndoto ndani ya ndoto na ukiwa kwenye hiyo ndoto ukaota tena ndoto ila process ya kuamka inaweza kukuchizisha

    Hello bosses and roses, Leo niko kwenye mood ya kuandika so nimeona niandike hii experience nliopitia mwaka fulani. Kuna siku miaka ya zamani kdg nililewa sana zaidi ya kawaida. Mie nna alcohol torelance ya ajabu sana. Hata nilewe vipi huwa sipotezi fahamu, nitayumba kutembea lkn ukinipa kazi...
  8. Hii cover ya wimbo wa roho wa Christian Bella (ft Fid Q) aloifanya TGUN TOZZY kwenye BSS imenikumbusha miaka ile Lil Wayne kwenye MTV UNPLUGGED

    Hello bosses and roses, Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya. Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV...
  9. E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

    E-SIM ni teknolojia inayomsaidia mtumiaji wa simu kwa na laini zaidi ya moja kwenye simu hata kama simu hiyo inakisehemu kimoja tu cha kuweka laini. Vitu vya kuzingatia ili kuweza kupata huduma ya E SIM ni vipi? 1. Lazima simu yako iwe ina uwezo wa kupokea mipangilio ya E-SIM, kwa maelezo zaidi...
  10. Hii picha imebeba ujumbe mzito sana, Wewe umeielewaje?

    Mimi nikiingiaga mtandaoni kilasiku huwa napenda sana kutazama picha mbalimbali zinazohusu sana asili ya kiuumbaji (Nature) ikiwemo picha za Miti, wanyama, watu, Miinuko ya ardhi, n.k) leo katika pita pita zangu za kutazama picha mtandaoni nimekutana na hii picha na hakika nimeitazama sanaaa...
  11. Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

    Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo. Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau. Say no tu janja...
  12. Mwanaume wenzangu hii imekaje?

    Muwe mnawataarifu wake zenu mkiwa mnarudi kutoka safari inasaidia kuokoa ndoa .
  13. Umewahi muona paka wa aina hii? Anaitwaje kwa Kiswahili?

    Huyu paka anapatikana sana Africa, ikiwemo Tanzania. Kwa kiingereza anaitwa serval cat. Umewahi muona? Anaitwaje kwa kiswahili?
  14. Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

    Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka. Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya...
  15. Kama ulikuwa hujui hii ndio mikataba ya Utafutaji wa mafuta na gesi na ugawanaji mapato

    Dhana ya Mkataba wa Utafutaji wa mafuta na Ugawanaji Mapato - wazo la nchi la utafutaji wa mafuta na gesi na mgawanyo wa mapato na makampuni kama sehemu ya biashara lilianzishwa kwenye miaka ya 1950. Kwanza kabisa, wazo hili lilianzishwa Indonesia mwaka 1966. Mikataba ya Utafutaji wa mafuta na...
  16. M

    Aliyekiri kulawitiwa afungwa jela miaka 30

    Mahakama ya Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imemhukumu kifungo cha miaka 30 Jela, Selemani Mustafa Mtipa maarufu kama Sele Mkazi wa Wilaya hiyo kutokana na kumtia hatiani baada ya kukiri kutenda kosa la kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile. Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi...
  17. Hii kolabo ya kijasusi kati ya mama na binti zao inakatisha sana tamaa vijana waoaji

    Wanajamvi habari za muda huu. Wanaume wenzangu tuwe makini sana kuna aina mpya ya ujasusi unaendelea yan binti anakutambulisha hadi kwa mama yake kumbe wana lao jambo ili wakuaminishe na uchunwe zaidi ukiwa huna hofu yyt. Na kumbe behind the scenes mko zaidi ya watatu na wote mmetambulishwa kwa...
  18. Hii ndiyo sababu Kuu (Kubwa) ya Mabeki Shomary Kapombe na Mohammed Hussein kuachwa Taifa Stars

    Sasa kama GENTAMYCINE nakuwa Informed hivi na nina Sources wangu ( Authoritave, Credible and Reliable ) kila Kona kwanini nisiwe Mshindi wa Jumla ( Bora ) wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka 2022? Haya chukueni hii na nawaomba muiamini tena kwa 100% kwani nimeitoa kwa Mtu...
  19. Steve Nyerere arekebishe mindset kwanza ndipo aje kwenye Uislamu, asije na mindset hii aliyokuwa nayo

    habari za siku nyingi ndugu msomaji,natumai ni mzima na Mungu aendelee kutubariki. Hivi karibuni msanii wa movie Steve nyerere alionekana akilalamika juu ya yale yanayofanywa na waumini fulani wa Ukristo kwamba ni sio sawa na ni kukashifu dini. Aidha bwana huyu alikuwa akitolea mifano na...
  20. R

    Dunia ina mambo ya ajabu hii, nikisikia mtu kajiua sishangai kabisa

    Habari wadau, hebu waza hii kwanza umezaliwa kwenye familia ya nje na hio familia ya nje ina familia za nje mmmmh apo siongei sn jiongeze mwenyewe Halafu baba na mama yako na wao pia watoto wa nje ambazo zina familia za nje yaan ni maelezo tu hawa wameshare baba hawa wameshare mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…