hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wapenda muvi na series, hii ndio mbinu rahisi ya kuzidownload

    Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanasheria, kama mkataba una mapunfufu ya aina hii, wakitupeleke mahakamani , wanaweza vipi kushinda kesi dhidi yetu?

    Kwa maelezo ya wanasheria mbalimbali, huu mkataba una mapungufu mengi mengine yanayoonekana kuondoa uhalali na hata maana ya mkataba wa pande mbili. Kwa mfano, kwakuwa kwenye mkataba, Mama amesaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai ambayo yeye hana mamlaka yoyote na wala serikali hiyo haijampa...
  3. JamiiForums Tanzania Nairobi mida hii, walinda legacy Kayole

    Watasema mmiliki wa hii chuma ni Humphrey Polepole kumbe wapi ni bwana Njoroge. Chuma imesimama kabisa na hapa ni Nairobi.
  4. JamiiForums Tanzania Imefikia muda hii nchi pale ambapo Mtu Tajiri anafanya matumizi yake ya kila siku,Masikini wanadhani anafanya anasa. Tafuteni pesai!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Hii nchi inavituko sana kila uchwao,naomba nirudie tena hii kauli, ya kwamba "Unapotaka kuolewa au kuoa hakikisha unaoa au kuolewa na mtu mwenye akili timamu, usipofanya hivyo matokeo yake mnaibebesha nchi watu wapumbavu ingawaje shule wamekwenda"...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Namna pekee ya kujinasua kwenye aibu ya mkataba wa DP World ni hii hapa

    Wajumbe, Mkataba huu wa kijambazi wa DP World na wajanja wachache ndani ya CCM na Serikali yake imekiacha CCM uchi mchana wa jua Kali. Kinachoendelea kwa sasa ni kujifaragua tu na the so called "tuendelee kutoa elimu" kwa wananchi. Serikali ikisema unafutwa tuanze upya itakuwa ni aibu na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini DPW Wameamua Kuchua Bandari za Tanzania, Kenya na Msumbiji kwa Wakati moja. Hii ndiyo sababu.....!!

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kama IGA inayozungumzwa ni hii basi Mwabukusi na wenzake watashindwa kesi na tutaona wameonewa

    Habari jf , Kwanza kabisa ifahamike IGA hii ni MKATABA sio makubaliano ya kawaida kama yanavyosemwa ,sababu ni makubaliano ya kimaandishi na yana ulinzi wa kisheria . Pili huu Mkataba Una Ukomo lakini huo ukomo unategemea HGA -ukisoma vizuri utagundua umefichwa kwenye HGA ,ambayo ndio mikataba...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano kulikuwa na Tundu Lissu Mmoja, awamu hii kuna akina Tundu Lissu 1000

    It is trending now. Idadi ya akina Tundu Lissu wanaozidi kuibuka kila pande ya Nchi inaongezeka kwa kasi ndani ya Muda mfupi. Kumbe awamu ya tano haikuwapunguza bali wamezidi kuota mapembe. Sulihisho sio kuwatisha bali kuweka mazingira bora ya utawala wa sheria, demokrasia na haki. Mdogo...
  9. JamiiForums Tanzania Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

    Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hii nayo muite SCAM

    Watanzania wenzangu tuacheni kuita kila kitu scam, pesa ipo huko kwenye Forex na Igaming, sio kila pesa mpaka ukalime jamani. Bila kusahau kuna VAULT ya MIL 200 pale sokabet bandugu wewe ita kila kitu scam watu wanakula kuku kwa mrija na slots za shilingi 100.
  11. JamiiForums Tanzania Morogoro: Zima moto waenda kuzima moto kwa mikono gari zote mbovu

    Kikosi cha Zimamoto mkoani Morogoro leo kimeenda kuzima moto kwa ndoo na mikono ikielezwa gari zao zote ni mbovu. Moto huo umeua mzee mmoja aliyeshindwa kujiokoa. Ikumbukwe, pesa za kina Profesa Zembelwa, Dk Kitenge na Mwanasheria nguli wa sheria za MIKATABA ndugu Hando zipo ila za kuwezesha...
  12. JamiiForums Tanzania Tusifiche 99% ya wana Yanga SC walijua atakayetambulishwa Saa 12 hii ni Mayele kumbe ni Mchovu Gift Fred

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hivi unajua kuwa umewakwaza mno 99% ya wana Yanga SC ambao hadi sasa wako roho juu kujua kama Mayele anabakia au anaondoka? Hapo kwa Gift Fred hakuna Mchezaji.
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi

    Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi yake. Hivyo hakikisha unalivaa tabasamu kama unahitaji kumvutia mwanaume yoyote umtakaye na sio kuvunja kabati, kazi bure.
  14. JamiiForums Tanzania Hii nchi sio viongozi pekee ndio waovu, bali ni wananchi wengi ni waovu pia

    Hawa viongozi hawa ni alama tu inayoonesha jinsi wananchi wote walivyo, kila mwananchi mahali alipo wengi wao akipewa nafasi lazima ajifanye ujanja kuiba... Ndio maana mtu mchamungu akistaafu hali ya kuwa amepata tu kile alichostahili...wananchi wenzio hawatokusifia kwa wema wako, ila...
  15. JamiiForums Tanzania Tumuachie Mungu dhuluma hii uuzaji wa bandari zetu

    Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo ule asiyesikia la mkuu huvunjika guu Ni kweli tunahitaji wawekezaji lakini sio kwa mkataba huu...
  16. JamiiForums Tanzania Nashindwa kuelewa kabisa, sijui hii hali inatokea kwangu pekee au nanyi pia inawatokea!

    Yani mambo yanakwenda kasi sana,toka Magufuli amefariki ni miaka 2 but pamoja na kuwa kwangu Serikali mtu akinishitukiza nitaje majina ya watu hawa au niwatambue kwa sura nitashiwndwa kabisa. 1.Mkuu wa majeshi 2.IGP 3. DG wa TISS 4. Mkuu wa TAKUKURU 5. Mwanasheria Mkuu wa Serikali 6...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nimepata Kesi baada ya kumpiga mvuta sigara

    wavuta sigara wanaamini kila mtu anapenda sigara. Huwa sipendi kabisaa hiyo harufu. Nimekaa kwenye benchi kijiweni nashangaa ghafla mtu kawasha kiberiti puuff. Naangalia pembeni pua yangu inanakutana na moshi mzito wa Sigara. Halafu mtu yupo comfortable kabisaa hana habari. Nikamuwasha kofi...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mikoa yenye wanawake wavumilivu katika ndoa

    Wakuu, za siku nyingi? Ebana nilikua busy na kautafiti kanakohusu mikoa ya Tanzania yenye makabila yenye wanawake wavumiivu katika ndoa na haya ndio matokeo ya kautafiti kangu. 1. Iringa 2. Mara 3. Shinyqnga 4. Mwanza 5. Kigoma 6. Simiyu 7. Geita. 8. Mbeya 9. Ruvuma 10. Njombe 11. Tabora 12...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Gari kama hii au kama hii inahitajika

    Gari inayofanana na hiyo picture au Kama hiyo inahitajika. Phone 0717371028. Karibuni Sana.
  20. JamiiForums Tanzania Vijiti vimeingiaje kwenye hii chupa?

    Mshana Jr na wadau wengine, hii kitu inawezekanaje? Vijiti vilivyokwishafungwa vinaingiaje humu? Hii ni live!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…