hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Marekani ndio alikuwa anatakiwa kiingilia hii show ya israel na palestina sasa tujianda na WW3 soon.

    Habari zenu. Mara kwa mara wamekuwa wakigombana ila kwa klichotokea sasa ni dhahiri tunaenda kushuhudia vita vya dunia vya 3,na nauliza je Tanzania tutachangamana na mataifa gani??au tutabaki kwenye ile sera yetu kuwa hatuchangamani na taifa lolote!. Basi ikiwa ndo hivyo tunaenda kupata...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta tiba ya hii mipapai

    Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa: 1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa 2. Majani yamejisokota kidogo 3. Ina kama ukungu mweupe hivi kwenye shina Mwanzoni nilifikiri imezidishiwa mbolea...
  3. JamiiForums Tanzania Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

    Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa! Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia...
  4. JamiiForums Tanzania Imekaaje hii wasap last seen inasoma muda wa jana ilihali mtu yupo online

    Wakubwaa eh Msaada tutani hiyo imekaa vipi nilimtumia mtu message ya wasap jana lkn ameisoma leo lkn bado mpokea ujumbe last seen anaonekana muda wa jana
  5. JamiiForums Tanzania Hongereni Walimu wa Tanzania naona kuna Mtu anaanza 'Kuwalainisheni' mapema 2023 hii ili awatumie 'Kumlainishia' 2025 Oktoba

    Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote? Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba Ukweli wa Taarifa hii iliyoko HABARI LEO ya Leo kwani Mimi Siiamini na Sitoiamini

    Inasema..... Tanzania ya pili kuingiza Watalii duniani. Iko Ukurasa wa Tatu ( 3 ) Na GENTAMYCINE naomba ikithibitika kuwa si kweli basi upesi sana Mhariri wa Gazeti hili la Habari Leo na Mwandishi wa Habari hiyo anbayo nina uhakika ni ya UONGO watuombe Radhi na ikiwezekana wapangiwe Majukumu...
  7. U

    JamiiForums Tanzania "Sauti ya Watanzania" ni strategy dhaifu sana ya kudhoofisha upinzani. Fuatana nami, unganisha matukio, wajue na kaa nao mbali....

    Utangulizi Political propaganda ni taaluma kama taaluma zingine. Inapofanyika kwa umakini huleta matokeo. Lakini inapofanyika unprofessionally kama UWT wanavyofanya hapa kwa kuwatumia hawa wanaoitwa Sauti ya Watanzania kama nitakavyoonesha hapa, inamharibia kabisa badala kumjenga anayefanyiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

    Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza. Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam. Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam. Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam. Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga. Kila...
  9. JamiiForums Tanzania Mpesa inasuasua leo jioni hii 5/10/2023

    Kuna tatizo la Mpesa kutokufanyan kazi. Sijui watu wa mtandao huu wanatusaidiaje wateja wao. Transactions zote zimegoma kabisa. Vodacom Tanzania msaada wenu Tafadhali
  10. JamiiForums Tanzania Je kuna ishara yoyote ambayo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake?

    Nawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana. Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe anaishi nae au yupo mbali nae. Kwa wanaojua hilo naomba washushe nondo hapa tuzijue na sisi.
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye kupambana na foleni, je sheria hii ni kandamizi au sio kandamizi?

    Foleni ni tatizo linalosumbua wananchi wote tu. Magari ni mengi. Wenye uwezo wananunua magari yao. Magari mengine madogo, mengine makubwa ya familia. Magari ya usafiri wa umma yanabeba watu 45, 72, mia etc.... wakati huo ya binafsi yanaanzia mmoja hadi kadhaa tu. Lakini yote yanachukua...
  12. JamiiForums Tanzania Marangu Coach imefikia hatua hii

    Jana Jumatano 04/10/2023 basi la Marangu Coach liliondoka Dar es Salaam asubuhi kama kawaida na abiria wakiwa na matarajio ya kufika Moshi kwenye saa 10 hivi bila kujua lililo mbele yao, basi lilipofika wilaya ya Bagamoyo likaharibika ikabidi spea iagizwe toka Moshi iletwe Bagamoyo! Akili mbovu...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Ihefu SC 2-1 Young Africans SC | NBC Premier League | Highland Estates | 04/10/2023

    [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Ihefu SC Vs Young Africans SC [emoji414] 04.10.2023 [emoji909] Highland Estates [emoji797] 10:00 Jioni Matokeo ya mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu uliozikutanisha timu hizo kwenye Uwanja huo msimu uliopita ambapo Ihefu iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Jamani hii ndoto inamaana gani?

    Hapo vipi! Jana nimeota passport yangu ya kusafiria nimekuta mahali imetupwa na imekanguliwa na wembe maandishi yote kwenye passport kisha ikakatwa kipande. Nina imani huku kuna watu wana karama ya kufafanua ndoto na kusaidia. Naombe msaada wa maombi yenu.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

    Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint...
  16. JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

    John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla. Kizazi...
  17. JamiiForums Tanzania Unaweza kuielezea vipi hii kitaalam?

    Hapo chini kuna picha, ambayo ukiitazama kwa macho huwezi kuielewa. Ila ukiikazia macho kwa kama sekunde 10 hivi, kisha ukafumba macho, inatokea image inayoeleweka kabisa. Hii kitu unaweza kuielezea vipi kitaalamu?
  18. M

    JamiiForums Tanzania WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Ni familia ya rafiki yangu mmoja. Iki hivi baba yao alioa mke wa kwanza akazaa nae watoto 2. Baada ya mikaa 3 mke alifaliki. Akabaki baba na watoto 2. Ila baadae baba yao akazaa na mwanamke mwingine tuu bila ndoa. Jumla akawa na watoto 3. Ila hawakufanikiwa kufunga ndoa. Ila mwaka 1996 alioa...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga wapewe maua yao kwenye kitengo cha Habari lakini tovuti rasmi ni kituko, imekachwa, ina muonekano kama blog za udaku. Mtutolee hii aibu

    Ni kweli Yanga ndio walikuwa na tovuti mapema zaidi kuanzia mwaka 2012 tofauti na Simba walioanza kuwa na tovuti mwaka 2019 lakini kinachoendelea kwenye tovuti ya Yanga ni aibu na wala hakiendani na uzito wa idara ya habari inayofanya makubwa kwenye mitandao ya kijamii. Daima mbele nyuma mwiko...
  20. JamiiForums Tanzania URITHI; Mtoto wa nje alitaka nyumba zote ziuzwe ili apate hela kubwa. Ni shukrani gani hii?

    Habari wana Jamii forum. Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu. Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa wakike alizaa na mkewe. Niliambiwa hivi, Baada ya mkewake kujifungua mtoto wa kwanza ikapita kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…