Je kuna ishara yoyote ambayo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake?

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
378
691
Nawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana.

Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe anaishi nae au yupo mbali nae.

Kwa wanaojua hilo naomba washushe nondo hapa tuzijue na sisi.
 
Ndiyo mkuu mfano kama kutapika nakujisikia kichefu chefu

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Zipo ishara lakini kwa baadhi sio kwa wote, lakini pia ukizingatia unaweza kuona ishara, lakini ishara kuu ni amani ya ya dhamiri siku ile ya kwanza unapopewa taarifa ya ujauzito.
 
Nawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana.

Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe anaishi nae au yupo mbali nae.

Kwa wanaojua hilo naomba washushe nondo hapa tuzijue na sisi.
Vipo viashiria japo sio kwa wote
Hasira
Kususasusa
Uchovu usio na sababu
Kichefuchefu
Tumbo kuongezeka
Kupenda malimao, ndimu na mbilimbi nknk
Ukisikia mwanaume ndio kaibeba mimba ndio huku sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom