hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nchi hii haijapata chama sahihi cha upinzani

    Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa. Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea...
  2. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uhaba wa dawa na vifaa tiba ni kilio kikubwa kwa jamii ni vyema serikali kuhakikisha hali hii inakoma

    UHABA WA DAWA NA VIFAATIBA NI KILIO KIKUBWA KWA JAMII NI VYEMA SERIKALI KUHAKIKISHA HALI HII INAKOMA Utangulizi Uhaba wa dawa na vifaatiba kwenye hospitali, zahanati na vituo mbalimbali vya afya zikiwemo za serikali hapa nchini. ni hali ambayo kwa kweli bado imekuwa ni changamoto kubwa kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

    Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ? Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
  4. JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi, Fiston Kalala Mayele atambulishwa Pyramid FC ya Misri

    Club ya Pyramid FC ya Misri imetangaza kumsajli Mshambuliaji wa Kimataifa wa Congo DR Fiston Kalala Mayele (29) kutokea Yanga SC ya Tanzania. Mayele anaondoka Yanga baada ya kucheza misimu miwili Tanzania kwa maanikio makubwa msimu wa kwanza 2021/2022 alimaliza nafasi ya pili kwa ufungaji...
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, Rais Samia hata yeye mwenyewe anaweza asijipigie kura

    Nafahamu fika kwamba, hata CCM wenyewe hawawezi kumpa kura Rais Samia. Na kwa jinsi mambo yalivyo magumu mitaani, watu wanavyomsema, watu walivyomchoka, yeye mwenyewe anajaribu tu kuchungulia anakutana na nyuso ngumu zilizojaa hasira ya kwa nini kutufanyia hivo? Anaamua akae kimya tu. Safari...
  6. JamiiForums Tanzania Namba sita iliyokusudiwa kutambulishwa yanga hii hapa

    Unyama mwingi tukutane simba day.
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World. Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic...
  8. JamiiForums Tanzania Hii ngoma nimeisikiliza leo kutoka Moro mpaka Dar, inahamasisha na kutia hasira za kupambana, Isikilize !!

    Ni ngoma fulani hivi ina mdundo wa pekee niliokuwa nausikia kwenye spika za gari yangu, kubwa zaidi ni uzuri wa mirindimo ya vinanda uliokwenda sambamba na sauti za wasanii hawa zilizobeba ujumbe fulani very inspirational(wale wapambanaji wataelewa nachomaanisha); Ngoma inaitwa HAYATABIRIKI...
  9. JamiiForums Tanzania Hii hapa Air Tanzania ikipasua anga kuelekea Chato

    Hapa majuzi gazeti la Mwananchi liliripoti juu ya safari za anga kusishwa na shirika la ndege la Air Tanzania! nilileta uzi humu kuonesha jinsi Gazeti la Mwananchi limekuwa likichapisha habari za uongo lakini wapo wadau walinibishia kuwa sio kweli safari ziekufa. Sasa Fatilia mwenyewe...
  10. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona vita nyepesi kama hii kwa wananchi

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika maisha yangu yote sijawahi kushuhudia vita nyepesi, na ya kipuuzi kama hii. Vita hii ni tofauti na ile ya kisiasa ya Sudan kati ya kiongozi wa RSF jeneral Mohamed Hamdan "Hemedti" Dagalo, dhidi ya jeshi la taifa la Sudan linaloongozwa na jeneral...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Unaona nini katika hii picha?

    Habari wakuu naomba mnisaidie wewe unaona nini kwenye hii picha? Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita. Ufunuo 13:18
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Huku ng'o kule ng'o ndio hii sasa

  13. JamiiForums Tanzania Naona ipo siku nitaiacha hii kazi ya ualimu ni wakati Sasa wa Kutengeneza mifumo

    Fikiria hupo chama Cha chakuhawata alafu inatokea tu chama kingine (CWT) wanapitisha makato yako na umeshajitoa, Unaenda kwa afsa utumishi ( Hapo umeshamtafuta mwezi mzima hayupo ofsini) anakujibu short tu kwa dharau kwamba nenda huko CWT wakuandikie kwamba wewe sio Mwanachama wao uniletee hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Konyagi zenye fleva ndani zinauzwa wapi?

    Hivi kuna mtu ambaye amefanikiwa kuonja ladha ya hizi konyagi mpya ambazo zimejaa kwenye mabango barabarani? Maana ni muda mrefu naenda maeneo ila kila nikiagiza haiji yenye ndimu ndani? Hebu tupeane muongozo wadau wapi inapatikana ili nikaonje ladha mpya.
  15. JamiiForums Tanzania TRC watoa majibu kuhusu uwapo wa Treni zenye Vichwa vilivyochongoka

    TRC wakiwa kwenye ukaguzi wa Vichwa Nchini Korea Kusini wametoa ufafanuzi wa uwapo wa treni ambazo Vichwa vimechongoka kutokana watu kuhoji utofauti wa picha zilizopo kwenye matangazo ya TRC kutofautiana na Vichwa vilivyoonekana wiki iliyopita. Soma: Vichwa vya Treni za SGR vyawekwa hadharani...
  16. JamiiForums Tanzania Je, hii ni pressure ya msimu ujao?

    Je hii ni pressure ya league kuanza au ni nini, je taasisi kama hii kubwa haina watu wanao hakiko kitu/taarifa kabla haijaenda public? Ni vyema kuwe na wahariri na nina imani yupo lakini kazembea , mtani umezingua ---
  17. JamiiForums Tanzania Soma vitabu au novels, download vitabu au novels kwenye website hii

    https://www.you-books.com/ Sample novel: TRUE COLOURS https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_fm01.html https://www.you-books.com/bookepub/D-Palmer/True-colors/truecolors_ch01.html CHAPTER ONE MEREDITH STOOD by thewindow watching the rain beat down on Chicago...
  18. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa umeme hii inasababishwa na nini?

    Siku ya majuzi jumapili. Sina hili wala lile wakati vitu karibu vyote vya mbele viko on? Radio (av receiver) tv na pc. Ghafla tu vikazima mara naona moto katikati ya waya wa cable. Haraka nikazima switch ukutani. Akili ya kwanza nikajua kuna kifaa kishaungua.. Nikatoka kwenda kula then...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kama mikataba hii ya rasilimali ni siri, mbona mahakama za kimataifa hazifanyi mjadala wa siri? Kwanini watawala waendelee kufanya siri?

    Kuna kaukimya fulani kanatawala hapa nchini kwa watawala wa chama cha mapinduzi kujitenga kabisa na kile kinachotokea mahakama za kimataifa. Magufuli nakubaliana naye kwamba alichokifanya yeye ilikuwa kutuondoa kwenye hii mikataba ili tuanze upya na mikataba yenye manufaa kwa umma. Wakati huo...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa kashfa hii tumbua waziri Ndumbaro na IG, kuokoa pesa za walala hoi

    Mh rais Samia huku mtaani Kuna tuhuma kubwa Sana za ofisi ya IG kucheza dili na mawakili wa serkali kushindwa ki-deal kesi za madai wakandarasi walifutiwa tenda . Kwa Sasa Kila aliyefutiwa tenda akiwa site anadaiwa kuitwa na mawakili wa serkali kijanja kukaa mezani na kukubariana namna ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…