Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,864
- 12,293
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ndugu zangu katika maisha yangu yote sijawahi kushuhudia vita nyepesi, na ya kipuuzi kama hii. Vita hii ni tofauti na ile ya kisiasa ya Sudan kati ya kiongozi wa RSF jeneral Mohamed Hamdan "Hemedti" Dagalo, dhidi ya jeshi la taifa la Sudan linaloongozwa na jeneral Abdel Fattah al - Burhan.
Vita hii ninayoizungumzia hapa ni vita ya kiuchumi kati ya wananchi wa Tanzania milioni 60 tukiongozwa na kiongozi wetu wa nchi, amiri jeshi na raisi wetu mheshimiwa Dr Samia Suluhu Hassan, dhidi ya maadui wa taifa, wapitisha madawa ya kulevya bandarini, wakwepa ushuru na kodi wa bandarini na chawa wao wasizidi hata elfu 10 nchini wakiongozwa na wanasiasa uchwara, mawakili njaa na boss wao anaewapa hela ya kupambana na serikali, huyu sio mungine bali ni mh Karamagi.
Sasa vita ya namna hii kwangu mimi naiona nyepesi Sana, sababu mahali popote duniani ukiona serikali ya nchi fulan inaingia vitani, huku ikiwa na support kubwa ya wananchi, basi uwezekano wa kushinda vita hiyo ni mkubwa kuliko ukubwa wa neno lenyewe.
Tumeona jinsi mkutano wa leo huko Bukoba kwao na yule mama wa mboga mboga ulivyowadhalilisha waandaji.
Anyway acha niache watu waone matokeo.