Hii hapa Air Tanzania ikipasua anga kuelekea Chato

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,224
12,946
Hapa majuzi gazeti la Mwananchi liliripoti juu ya safari za anga kusishwa na shirika la ndege la Air Tanzania! nilileta uzi humu kuonesha jinsi Gazeti la Mwananchi limekuwa likichapisha habari za uongo lakini wapo wadau walinibishia kuwa sio kweli safari ziekufa.

Screenshot_2023-07-29-13-03-29-28_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg

Sasa Fatilia mwenyewe kupitia Flight radar Air Tanzania (Bombardier Q8-400) yenye usajili wa 5H-TCD ikipasua anga kutokea Dar es Salaam kuelekea Chato-Geita.
Screenshot_2023-07-29-13-02-03-10_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg

Screenshot_2023-07-29-13-02-32-58_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg
use
Screenshot_2023-07-29-14-12-08-66_8a6ce7ef6b1c5341b022b20d7fbb4b6e.jpg
Screenshot_2023-07-29-14-02-56-31_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Mbona nimecheki kwenye Route za Air Tanzania sijaona hiyo route ya Chato kwa upande wa local flight ?

Route zilizopo ni pamoja na;
Arusha, DSm, Bukoba, Dodoma, Geita, Kigoma, Kilimanjaro, Mbeya, Mpanda, Mwanza, Songea, Tabora na Zanzibar
 
Mfugale Jr anasemaje kuhusu kuondoka kwa baba yake ghafla vile
 
Hapa majuzi gazeti la Mwananchi liliripoti juu ya safari za anga kusishwa na shirika la ndege la Air Tanzania! nilileta uzi humu kuonesha jinsi Gazeti la Mwananchi limekuwa likichapisha habari za uongo lakini wapo wadau walinibishia kuwa sio kweli safari ziekufa.

View attachment 2702058

Sasa Fatilia mwenyewe kupitia Flight radar Air Tanzania (Bombardier Q8-400) yenye usajili wa 5H-TCD ikipasua anga kutokea Dar es Salaam kuelekea Chato-Geita.
View attachment 2702062
View attachment 2702064
Mkuu kuwa mkweli tu, umepanda ungo?
 
Siasa hizi Duuu ...mnaacha kupeleka ndege sehemu zenye uhitaji mnaendekeza siasa ....shame shame on u
 
Siasa hizi Duuu ...mnaacha kupeleka ndege sehemu zenye uhitaji mnaendekeza siasa ....shame shame on u
Aaah ndege inaenda kwa wiki mara 2 sijui mara 1 kwaiyo siyo issue, na hapo unapoona ikitua then inapakia inaenda mwenza. Haifanyi direct to Geita then irudi Dar.
 
Ndio maana nadai kapicha.
Hakuna wa kukaweka hapa mtandaoini?
Nimeona kuna mdau ameandika Chato Airport ni sawa na Geita Airport, nimeshindwa kumbishia maana sijawahi kupanda flight kushukia Geita wala hapo Chato hivyo siwezi kujua utofauti uliopo.

Itabidi next leave nifike huko Chato na Geita kwa Ujumla kujifunza mawili matatu.

Maana kuna mdau alinishawishi ninunue Uwanja Chato mwaka 2019, na ilibaki kidogo ninunue bila hata kufika.
 
Back
Top Bottom