Namba sita iliyokusudiwa kutambulishwa yanga hii hapa

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,694
5,466
Unyama mwingi tukutane simba day.


9ED896D1-4FCF-4A36-AF61-21E44F208392.jpeg
 
Mashabiki wa simba akili zao zinawatosha wao wenyewe. Sasa kama Yanga ingekuwa na shida ya kiungo namba 6 si ingeweza tu kumsajili mchezaji yeyote yule Barani Afrika wa kucheza hiyo namba! Maana kama ni mkwanja, wanao wa kutosha tu.

Yaani tuna Khalid Aucho, Mudathir Yahaya Abbas, Jonas Mkude, Zawadi Mauya, Sure Boy, nk! Bado tuumize kichwa kwa mchezaji ambaye alikuwa akisugua tu benchi kwenye timu yake aliyotoka!! Mchezaji ambaye ni spana mkononi!!

Aisee kuna wakati mnatakiwa kuwa serious. Kiufupi tu Yanga imekamilika kila idara. Na msimu huu tena ubingwa uko pale pale.
 
Back
Top Bottom