hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii irudiwe au vipi wekeni hoja mchanganyiko

  2. V

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi Gheto pitia hapa mfaidi.

    Kama mjuavyo Shemeji yenu nimempa likizo (ban) akajitathimini kama ndoa inamuhusu au ina wenyewe. Sasa Kuna mambo nimekuwa nikiyafanya maghetoni nimeona niwashirikishe masela labda itawafaa kusevu muda na kurahisisha maisha. Kwanza kusonga ugali siku mbili za mwanzo nliona kama adhabu ya kifo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibiwa sana na utawala wa awamu hii

    Nazungumza hili nikiwa na hasira kidogo, kwa wale tunaofanya biashara tuwe wakweli awamu hii tunaombwa rushwa kinguvu na mafisa wa serikali, jana nilikuwa napambania passport ofisi za uhamiaji, kilichonishangaza ni kijana mdogo tu ananiambia" bros ukitoa kama laki mmoja mimi nakupambania...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona. Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti... Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol 2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri...
  5. JamiiForums Tanzania KERO Responded Kero hii ya foleni Bandarini kwa abiria wanaotokea Zanzibar itaisha lini?

    Mamlaka husika piteni hapo Bandarini abiria wanaotoka Zanzibar wanakutana na kero ya kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu sana hadi inakera. Hali hii imekuwa ikitokea mara nyingi lakini nimeona niseme ili kama ujumbe huu utawafikia mamlaka basi wabadilishe mbinu na ikiwezekana wachukue hatua...
  6. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili ubaguzi wa aina hii uondoke? Je, Afrika tunaweza jitegemea?

    Habari JamiiForums, Katika pita pita zangu nimebahatika kukutana na hii clip, hii clip inaonyesha mabinti wadogo wakipewa medali na miongoni mwao alikuwepo binti mwenye asili ya rangi nyeusi akarukwa na mpaka mwisho hakupewa. Binafsi huwa siamini sana kama rangi nyeusi tunaonewa ila naamini...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu akiondoka na siasa za upinzani zinapoa, hii inaashiria nini kuhusu afya ya upinzani nchini?

    Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu. Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna maeneo nchini hayatakiwi kukatiwa umeme sababu ya umuhimu wao kiuchumi. Kariakoo siyo moja wapo

    Pamoja na mgao wa umeme, kuna sehemu hazitakiwi kukatiwa kabisa. Nimemsikia GUSSIE anasema wasikate umeme Kariakoo. Ukweli ni kuwa Kariakoo ni moja ya maeneo yanayotakiwa kukatiwa kabisa umeme iwapo kuna mgao. Kariakoo ni eneo ambalo dola za nchi hii zinaoenda kupotea. Ndiko hazina ya nchi hii...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu yupo sahihi, hii kazi ya ualimu ni ngumu sana

    Habari za asubuhi ndugu zanguni, Nimefanya kazi ya ualimu katika shule x mkoani Dodoma kwa miaka 3 sasa nikifundisha masomo ya A level kwenye shule moja ya private. Lakini naona kama hii kazi inakuwa ngumu sana kwangu kuendelea nayo sababu na experience vitu vifuatavyo vinavyoniumiza na...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa umekata tamaa, chukua hii

    UKIWA UMEKATA TAMAA, CHUKUA HII. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Bila kukupotezea muda. 1. Unaweza kukosa Elimu lakini huwezi kukosa Akili. Zingatia Akili ndio itakayokusaidia kuishi Maisha unayotaka. 2. Unaweza kukosa Dini lakini huwezi kukosa Imani. Elewa kuwa hauhitaji dini kumjua na...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mipango na maneno ya mwisho ya January na Maharage. Jee yataendelea kuwa na mashiko?

    1. Mwaka jana walituambia kwamba uzalishaji wa umeme nchini umefikia 1,872 MW, wa gesi ukiwa 1,350 MW sawa na asilimia 65% na ule wa maji ukiwa 450 MW sawa na asilimia 35%. Umeme wa maji hasa unazalishwa kutoka kwenye mabwawa ya Kidatu (200MW), Kihansi (180MW) na Mtera (70MW). Tuliambiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio safari yangu ya Kigoma na niliyoyashuhudia

    Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar... Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu kama Saratoga, adventure, yehova yille kati ya hayo hakuna gari lolote lile lenye unafuu magari ni 3 by...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo hali ya Nishati ya Umeme katika Taifa letu

    Top 10' ya mikoa iliyoongoza kwa matumizi makubwa ya umeme 2022: 1.Dar es Salaam-2,805.9 GWH 2.Pwani-635.7GWH 3.Arusha-413.9 GWH 4.Shinyanga-411.2 GWH 5.Tanga-408.7 GWH 6. Mwanza-344.5 GWH 7. Morogoro-307.5 GWH 8.Dodoma-249.3 GWH 9.Mbeya-231.5GWH 10.Mara-215.1 GWH
  14. JamiiForums Tanzania Story hii itakusisimua kuliko zote, utatumia dakika 2

    Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu, niliyekuwa nikimuita “Bestfriend” nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe wangu, lakini yeye hakuwa akitamani hilo na nilikuwa nikilitambua hilo. Baada ya leacture, alikuja kwangu...
  15. JamiiForums Tanzania Je JF ingeweka sheria hizi hapa ingekuaje?

    1. Hujiungi bila kuweka namba ya simu yako. 2. Kuwa na picha yako halisi au kitambulisho cha nida. 3. Uweke malengo yako humu JF nini. 4. Uweke kazi yako halisi unayofanya naukidanganya huwezi kulog in au kucreate account tungekuwa tunasumbuana akili kweli kwa kejeli na matusi si watu...
  16. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa mtandao someni ushauri huu

    Kuna hoja na mada mbalimbali humu zinazotolewa na members, na members hawa wengi nimeona ni wataalamu wa kitu wanachokiongea, utaalamu si tu wa darasani ila pia kupitia experience ya jambo lake analozungumzia. My concern ni kwamba, kuna mtu anaanza poa kabisa kutoa hoja yake (au just...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalam wa bata ni wapi pa kujiachia weekend hii Dar es Salaam?

    Wakali wa bata nipeni suggestions za place tulivu za kujiachia. Nataka kutumia weekend hii kula bata man alone. Sehemu ziwe zile classic zisizo na vurugu kuwe walau na muziki mzuri na warembo. Pia kama unafahamu Airbnb nzuri nitajie nataka nikitoa leo ghetto narudi jumapili jioni.
  18. JamiiForums Tanzania Hakuna Kauli mbovu na ya kizembe niliyowahi kuisikia kama hii ya "Tafuta Hela"

    One of the most reckless statement ever... Kauli ya kizembe sana.. Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela? Unataka aibe au? Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k. Hii kauli inakuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini kama ilivyo...
  20. JamiiForums Tanzania Wapi nitaipata hii kitu Kawasaki Z1000

    Nahitaji hiki chombo used.Naomba nipewe location zilipo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…