hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nchi hii kuna shujaa mmoja tu, yuko jela. Ndiye vijana wanamuamini

    Bila Tundu Lissu amani Tanzania itakuwa ndoto mnabaki kutishia tu kama kabla ya Oct 29
  2. JamiiForums Tanzania Je hili tukio ni kweli au ni Igizo Tazama hii Video

    Kiranga Infropreneur
  3. JamiiForums Tanzania Umeshiriki mapenzi na mwanamke kisha mwezi au miezi miwili, anakuambia “Nimepiga hesabu nimeona hii mimba ni yako” na wewe unakubali? Sawa bro

    Ifahamike siwezi kukataa mimba iwapo nilishiriki na mwanamke ngono zembe yaani bila puto. Ikitokea nikaambiwa moja kwa moja kuwa nina mimba yako nitalea na nimewahi fanya hivyo pasina shida yoyote Ile. Kifupi ieleweke siwezi kukataa damu yangu. Napinga kukubali kwa namna yoyote Ile kupewa...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi wasema Dammour Nyakairo maarufu Ninja anashikiliwa kwa tuhuma za uhalifu, hii ni baada kelele mtandaoni kuhusu kupotea kwake

    Wakuu, Tarehe 02/05/2026 saa tatu asubuhi eneo la Mburahati Kinondoni alikamatwa Dammour Massoumbe Nyakairo, na kupelekwa kituo cha Polisi Chang'ombe kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kihalifu. Baadhi ya ndugu zake tangu alipokamatwa walijulishwa na kwenye mahojiano ya awali ametoa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu unaweza kupoteza muda na pesa kusomea biashara chuoni; ni heri ujifunze kwa kufungua duka dogo au kuwa winga

    Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti. Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
  6. JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini Tanzania hii, safu ya matajiri imetawaliwa na waajemi?

    Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako kuhusu hili!? Watanzania tunakwama wapi?
  7. U

    JamiiForums Tanzania Moja ya kitu nimefurahia awamu hii ni Mama kuwakumbuka wastaafu

    Kiwango cha chini cha Pensheni kimeongezeka kutoka Tsh 100,000 hadi Tsh 250,000 kwa mwezi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye hii Dunia, unatakiwa kuheshimu Dola na serikali, uki Mess Up hata Mungu Hana cha kukusaidia

    Ukitafakali kwa undani Mwenyezi Mungu hana muda wa kuhangaika na mambo ya duniani, yeye ni Mtakatifu ktk Mambo ya Mbinguni tu. Hahangaiki na mambo ya ulimwengu huu, uki mess up imekula kwako Je wewe umejifunza nini kwenye dunia ya leo?
  9. JamiiForums Tanzania Wageni Milioni 27 Wamerundikana South Africa, Idadi Hii ni kubwa sana, Naunga mkono Watimuliwe

    My Take Haiwezekani watu wameharibu Nchi zao harafu wanakimbilia Nchi zingine nako wakaharibu. Watu mil.27 ni wengi sana iwe takwimu za kweli au za kupika ila Watimuliwe. Nendeni Nchi za watu kidogo sio kurundikana kama ni kwenu
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi zitakazonufaika na fursa hii ya soko wazi la China

    china wameamua kuweka soko lao wazi kwa nchi za kiafrika kuingiza bidhaa zao bila ya ushuru (zero tariffs) kuanzia sasa. Pamoja na kuwa bidhaa nyingi kutoka afrika ni mali ghafi. ikiwa ni pamoja na mazao ya kilimo, madini na bidhaa nyinginezo; badala ya kuwa mazao yaliyoongezwa thamani, hatua...
  11. JamiiForums Tanzania Ramani ya vyumba 3 vya kulala simple hii hapa

    Habari leo nimekuletea raman ya nyumba ya vyumba 3 vya kulala ina vitu Vifuatavyo master bedroom vyumba 2 vya kulala visivyo na vyoo seble jiko store baraza ya mbele baraza ya nyuma na choo cha wageni inachukua Mita 12 kwa mita 11 unaweza ukaangalia baadhi ya kazi zetu pia hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Content Creators wawekewe sheria hii

    Leo kila mtu ana simu, data na account ya TikTok, YouTube, Instagram au Facebook. Hilo ni jambo zuri kwa uhuru wa taarifa. Lakini pia limeleta tatizo kubwa: Watu wengi wanafundisha mambo nyeti bila ujuzi wowote. Tunashuhudia: Watu wanafundisha uwekezaji wa uongo Watu wanashauri dawa bila...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi vibinti vya 2005 hadi 2010 nani ameviroga? Hii stamina na libido vimeitoa wapi?

    Hivi vitoto sijui vililishwa nini maana ni vina stamina sio ya kitoto, unaweza kukipelekea moto kwa speed ya 5g ila ndo kwanza kinasema uongeze speed. Unachapa hadi bao 5 ila kinataka kuendelea, wakuu hapa nimekifungia ndani ila nahisi mimi ndie nimefungiwa ndani. Hivi vibinti ni gani aisee?
  14. JamiiForums Tanzania Elezea hii kitu kisayansi

    Kama video inavyoonyesha.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane sasa hii nchi haina Wazee bali Wahuni waliozeeka

  16. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hakuna tume duniani imekutana ana kwa ana na watu 6205 kwa siku 153. Tume hii tumekutana na watu hao

    Jaji Chande ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, ameyasema hayo Leo, 28 Aprili 2026 Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa tume ya Uchunguzi wakati na baada ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29 2025 na waandishi wa habari. Jaji Chande amsema kuwa kwa siku Tume ya uchunguzi...
  17. JamiiForums Tanzania Hii law ni very useful nimeitumia na imefanya kazi 100%

    Mind is a beautiful thing.
  18. P

    JamiiForums Tanzania KERO Hii foleni Mbezi Beach barabara ya chini ni kiboko, hadi bajaji na baiskeli zinakwama!

    Wakuu, ushaona foleni hadi bodaboda inakwama sehemu inabidi isubiri gari zisogee? Sasa huku ni hizo gari chache ambazo zinatoka Mbezi juu, hali ya huko si ndio italuwa balaa? Na hii si asubuhi wala jioni, hakuna afadhali, ukizingatia barabara ni ndogo. Yote haya ni kufanya ujenzi bila plan ya...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Hali hii sijui kama ninayo mimi peke yangu au wengine wanayo ?

    Katika mazingira tofauti na watu tofauti ninakuwa na hali ambayo nikikutana na mtu yeyote ambaye siku zake za kuishi sio nyingi tena duniani hata kama ni mzima wa afya kuna hisia fulani au kuna namna fulani ambayo ubongo wangu unakuwa unatafsiri mtu uyo sijui kama ninaweza kuelezea vipi ila...
  20. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii sio ile ya kina Dkt. Slaa, hii ya sasa inavizia kufanya mikutano kwenye mikusanyiko kama masokoni na stendi

    Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu. Nasema haya kwa sababu siku za karibuni siioni CHADEMA Ile ya kina Dkt. Slaa ambayo ilikuwa msingi wa kujenga Chama imara, siioni Ile CHADEMA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…