professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Mbona tunatishana chief 😂😂😂Utasema tu ulichokua unakitafuta
Kituo Cha afya Tayar nimesha ends ILa Leo nilikuwa najirithisha tuUmeuza mechi mkuu [emoji38]. Nenda kituo cha afya upime kabisa, acha kujipa matumaini na hicho kidude
Yaani kipimio kisafi hakina hata tone la damu kweli?Mbona tunatishana chief 😂😂😂
naye ndugu yetu atakuwa amekwisha nyakuliwaParapanda italia parapanda 🎶🎶🎶
Mavumbini tutarudi😂😂😂😂😂Sisi ni mavumbi...
😆😆Mavumbini tutarudi😂😂😂😂😂