Huyu kijana asingejiingiza kwenye mambo ya uchaguzi kwa kauli zile mwaka jana basi angejaza sana kwenye hii retro tour yake.
Perfomance nzuri sana, mziki unapigwa live yaani bila chenga wala auto tune.
Vifaa sasa wamejitahidi sana, trombone, saxophone, na sauti iko swaafi sana, yaani murua au...