hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje, kosa la mume polisi kumpiga mke ili aonyeshe mumewe alipo?

    Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanandoa hii imekaaje?

    Ewe mwanaume nisawa umepata likizo kazini ukaenda kwenu ukamucha mkeo Mjamzito Afya yake sio nzuri sana na watoto wadogo?? Hii imekaaje?
  3. C

    JamiiForums Tanzania Habari za kimataifa za TV Imaan inaongelea Waarabu tu

    Habari wanajamii,wajameni hivi wenzangu huwa mnachunguza Hii TV ya kiislam iitwayo TV Imaan? Hivi kweli kuna watu wanaangaliaga taarifa ya habari za kimataifa kwenye hii TV? Yaani habari za kimataifa wanaegemea kutetea Uarabu tu, chuki na Mataifa ya Ulaya na marekani zimejaa sana, mila...
  4. JamiiForums Tanzania Dada zetu Acheni kudanga; ama mpunguze. Hii ni too much sasa.

    Kama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia. Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe. IKO HIVI..... Huyu dada alikuwa na bwanake permanent anaye muhudumia Kila kitu inshort ni nusu Mme wake...
  5. JamiiForums Tanzania Mercedes Benz C Class (W205) hii chuma Wajerumani walituliza vichwa. Hadi sasa naamini ndio the best katika segment yake

    Wakuu. Katika segment ya compact executive cars tunakutana na wakali wengi sana, mfano BMW 3 series, Mercedes Benz C Class, Audi A4, Volvo S60, Genesis G70, Lexus IS nk. Yote tisa, hii generation ya nne ya Mercedes Benz C Class, W205, iliyoanza mwaka 2014 hadi 2021 ni namba nyingine kabisa...
  6. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua hii nchi ina wajinga wengi tembelea @bambalivetz

    Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah.. Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina % kubwa ya wananchi wajinga haswa na huu ndo mtaji wa Sisiemu. Alooh hii ni mi5 tena kama asemavyo...
  7. JamiiForums Tanzania Hii Dawa kweli ni kiboko ya popo!

    Mungu ni mwema nyote Mabibi na mabwana! Imesaidia wengi japo baada ya muda hurudi Tena nawewe unaweka Tena. Chakufanya. Nunua ugoro kulingana na ukubwa wa paa lako(nyumba) Nunua Grease oil (grisi) changanya na paka sehemu wanayoingilia na kutokea ama toboa signboard panda juu paka mbao za...
  8. JamiiForums Tanzania Urusi imewataka raia wake wote waondoke mara moja Israel

    Benyamin Netanyaho sasa amelikoroga kagusa pumbu za Putin ngoja akutane na figisu za Red Army BREAKING: 🇷🇺🇮🇱 Russia has just ordered its citizens to immediately leave Israel after Israeli airstrikes attacked the vicinity of Russia's Khmeimim base in Syria. In light of the extremely tense...
  9. JamiiForums Tanzania Wala sina wasiwasi na Simba hii tarehe 19.10.2024 anamshinda yanga sio chini ya magoli 2.

    Hapo vip!! Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu. Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea. Admin naomba usave hii post kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, Umeitambua hii ni timu gani?

    KITENDAWILI: Mechi ya kwanza 4️⃣ Mechi ya pili. 3️⃣ Mechi ya tatu. 2️⃣ Mechi ya nne. 1️⃣ Mechi ya tano sare Mechi ya sita itakuwaje?
  11. JamiiForums Tanzania Wakali wa IT Programming, wazee wa Games na application za computer zinazohitaji machine ya maana hii hapa sio ya kukosa

    SOLD
  12. JamiiForums Tanzania Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

    Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo; Aina ya bajaji ni RE Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA MwanaJF Dada Niah amefariki dunia akipatiwa matibabu Dodoma General hospital

    Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Khamenei kuongoza Sala ya ijumaa Leo na kutoa hutuba nzito

    Wadau hamjamboni nyote? Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei anatarajiwa kuongoza sala ya Ijumaa na kutoa hotuba ya hadhara ambayo wengi wanadhani inaweza kueleza mipango Iran baada ya shambulio kubwa la kombora dhidi ya adui yake Israel. Hotuba hii adimu ya Khamene itakiwa ni ya...
  15. JamiiForums Tanzania Nauza laptop yangu hii bado nzuri kabisa

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 250,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
  16. JamiiForums Tanzania Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rigathi Gachagua aonekana dirishani akiwachungulia Rais Ruto na Mfalme Charles III

    Nimekutana na picha hii mtandaoni ikimuonesha naibu wa Rais nchini Kenya Gachagua akiwa anawatazama kupitia dirisha Rais wa nchi hito William Ruto akiwa na King Charles III alipotembelea nchi hiyo, nikapata mashaka juu ya uhalisia wa picha hiyo naomba msaada wa kuihakiki.
  18. JamiiForums Tanzania Hata hii nayo tutauza kwa mabepari?

     Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.! Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na...
  19. JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya Uwanja wa mpira wa Miguu uliofurika watu wengi ni picha halisi

    Salaam Wakuu Nimekutana na picha hii ya uwanja uliojaa sana watu kupitiliza, je ni picha ya kweli au masuala ya AI haya?
  20. JamiiForums Tanzania Human Centipede (2009): Hii Horror Movie hapana!

    Kama una bando tafuta hii kitu. Maproducer na Madirekta wa kizungu wanawaza vitu vya ajabu sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…