hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. N'yadikwa

    TANROADS Morogoro hii ni aibu kwenu kushindwa hili.

    PICHA: Mle mbuga ya mikumi, na kona za iyovi na maeneo mengi kipande hiki matobo barabarani ni mengi mno gari zinapasua matairi na malori plus mabus mengi yanachochora...Fanyeni mrekebishe hii kasoro kwa wakati. Mikumi mjini kilimani
  2. L

    Tazama picha hii Ya Luhaga Mpina kwa umakini halafu uniambie muandishi alitaka kutoa ujumbe gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Sina maneno mengi,lakini nilitaka tu utoe mawazo na mtizamo wako juu ya ujumbe aliotaka kutoa muandishi wa katuni hii. Ambayo inamuonyesha Mheshimiwa Luhaga Mpina amebebwa mgongoni. Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa...
  3. jikuTech

    Nilijifundisha programming kwa namna hii

    Nilijifunza matumizi ya internet kwanza Nikatumia muda mwingi kujifunza mambo mengi ya namna ya kunufaika mtandaoni Nikaona habar ya kumiliki website, kununua sina uwezo nikajifunza html kama week 4 nikachoka nikaaacha Nikaona kuna suala la kununua hosting siliwez Nikahamia c nikajifunza sana...
  4. I

    Mtoto mwezi mmoja kukosa choo

    Habari wapendwa Nina mtoto wa mwezi mmoja lakini leo ni siku ya tatu hajapata choo na anakua anajamba na maranyingine ushuzi unatoa harufu hii ni kawaida au kunatatizo, kwa mwenye ujuzi na na doctor kama wapo humu naombeni ushauri, ananyonya vizuri nimara chache toka juzi akinyonya Kuna mda...
  5. Ladder 49

    Hii ndio sababu inayofanya Tanzania kutokuwa na maprogrammer wengi?

    Wakuu Habari zenu? Niingie kwenye mada moja kwa moja, Naona hii ndio sababu ya kuwa na maprogrammer uchwara wamzee wa kucopy hawaanzagi kuandika code from the beginning hata uwape bei gani, wao ni mwendo wa nipe wiki mbili tunamaliza faster kumbe anaangaika na kumodify code za watu. Sababu...
  6. Makirita Amani

    Hii ndiyo Njia yako ya uhakika ya kutokea

    Rafiki yangu mpendwa, Kila mtu hapa duniani huwa ana njia yake ya uhakika ya kutokea, njia ambayo inamfikisha kwenye mafanikio makubwa. Lakini wengi wamekuwa hawafanikiwi kwa sababu wakifika kwenye njia hiyo, wanabadili njia au kuacha safari kabisa. Yaani ni sawa na mtu anayetafuta mlango...
  7. Melki Wamatukio

    Uliyeniuzia simu hii hapo Kariakoo, niseme tu sisi ni watu na sio milima, tutakutana

    Hizi simu za Market Place ni basi tu. Baada ya makubaliano akaniambia nikachukue huo mzigo kwa bei che ya 60k. Nimefika, ile kutest kila kitu kiko poa Niko home nikasema wacha niibusti, nashangaa inafika 64% inaacha kupeleka chaji. Nikatumia hivyo hivyo, ile inafika 30%, chaji inashuka kwa...
  8. Nyanda Banka

    Chukua hii itakusaidia

    Roho mbaya inapunguza wateja kwenye biashara, lakini huruma inaua biashara kwa kiasi kikubwa Chagua moja apo
  9. Tlaatlaah

    Hali hii ya kuchukua mwingine akisifiwa huchochewa na nini hasa?

    Mwingine anasifiwa kwa uhodari au umahiri uliompendeza msifiaji, halafu mwingine huenda hata hahusiki, eti anachukia na kuumia moyoni kabisa mpaka anapata mihemko na ghadhabu, na wakati mwingine kwa kejeli, vijembe na mabezo kama yote na saa zingine hadi matusi... Hivi hali hii ya chuki dhidi...
  10. Half american

    Hii kali

    Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje. Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
  11. Traxtion

    Samsung: Hii kampuni inachofanya ni sawa kweli?

    https://x.com/SamsungMobileUS/status/1800233900389617979?t=VDdvhRoSeZ0LKEnI_RgKcw&s=19 Kampuni ya Kikorea "Samsung" imeleta features nyingi zinazowezeshwa na Artificial intelligence kwenye Samsung Galaxy S24 series na collection ya AI features kwenye S24 series Samsung akaamua kuiita "Galaxy AI"...
  12. EDIGAR JO

    Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

    Samahani . Poleni na kazi Waheshimiwa Natumaini mkheri wa afya Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa, 1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha. 2.Mheshimiwa .Poul Makonda Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
  13. O

    Hii ndio nchi ambayo Usafiri wa Umma ni Bure

    Huwezi kuamini lakini ni kweli, tangu mwaka 2020 njia zote za usafiri wa Umma nchini Luxembourg kama vile mabasi na treni ni BURE kabisa. Ilianza rasmi mwaka 29 Februari 2020, ambapo malipo kwa usafiri wa Umma yalifutwa kwa wakazi na hata watalii wanaotembelea nchi hiyo, maneno mengine...
  14. TUKANA UONE

    Hii movie inayoitwa NO WHERE kiukweli imeniliza mtu mzima!

    Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba! Natumbua kabisa hizi movie mara nyingi ni fiction zinazokosa uhalisia,lakini hii movie imefanya nikawaza...
  15. 90sgeneration

    UNATAMANI UWEKE SOFASET KALI NYUMBANI KWAKO? ONA HII

    Ni mpya kabisa , ina 2 month tu ni fiber & spring 1..5M ukiitaka nicontact: 0697224996
  16. Desierto

    ni lini masikini watafurahia na kuzifaidi mali za nchi hii

    yaani kwenye hii nchi vitu vyote vizuri hata kama ni mali ya uma lakini bado mwananchi wa kawaida hawezi kuvifaidi hata hizo train ya umeme na ndege ni kwa ajili tu ya viongozi na sio mwananchi wa chini yaani huduma ikiboreshwa basi inakuwa haimgusi tena mwananchi wa chini.
  17. Mjanja M1

    Hii ndio thamani ya miwani ya Mo Dewji

    Kama wewe ni mpenzi wa Fashion naimani utakuwa uliiona Miwani aliyoivaa MoDewji siku ambayo alikuwa anaongea na mashabiki wa Simba Sc kufuatia sintofahamu ya baadhi ya wajumbe kujiengua kwenye nafasi zao. Miwani aliyoivaa Mo inaitwa Alexander Mcqueen AM0372S-001 ni custom made with Diamond...
  18. J

    Hii Barabara ya (KAHAMA) Mnazi mmoja - Lugera Mbona mashimo?

    Hivi hii barabara ya kutokea Senta ya Mnazi mmoja kwenda lugela sent a ya juu mpaka kutokezea supermarket mpya mbona no mashimo tuu? Yaani nibarabara ambayo haina mwelekeo kabsa barabara hiohio na mtalo nihuohuo, na barabara ya kutokea mnazi mmoja kwenda Rami, serikali inaingiza kipato kupitia...
  19. T

    Hivi hii inakuwaje kwa sisi vibarua wa ujenzi

    Mambo vipi wakuu Natumaini mko poa kabisa, niende kwenye mada Moja kwa Moja, ni hivi toka jumatatu nilikuwa kama kibarua kwenye kumwanga zege baadhi ya maeneo,. Kiasi tulichokubaliana ni kwa siku ni sh 13000 na kazi ilikuwa inatakiwa iishe Leo jumatano jioni, lakini cha ajabu tumelipwa...
  20. uhurumoja

    Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
Back
Top Bottom