hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Mtaani na kwenye social media CCM imesahaulika kabisa wiki hii kwenye tasnia ya siasa wakati habari za CHADEMA zikitawala.

    Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni sawa.? Naomba munisaidie

    Niliwahi kuandika hapa juu ya kinachoendelea katika baraza la La Ardhi wilaya mwanza Nina Mambo mengi ambayo nitayaongea huko mbele baada ya kesi kuhukumiwa. Na ushahidi wetu uko kwenye sauti na message. Nitapenda viongozi wote wa selikari wanasheria. Mawaziri wote na kila kiongozi asikie...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nisikilize, upepo wa kisiasa uko kwako 100% lakini mkakati wa kuibiwa kura umeshaanza kusukwa, jiandae

    Mimi sio mwanachama wa Chadema na sifurahii siasa zao za kutukana tukana viongozi hivyo hasa vijana wao wanavyofanya harakati za kijinga mitandaoni jambo linalosababisha wawaudhi viongozi wa serikali na ndio maana wanakamatwa kamatwa hivyo lakini najaribu kulinganisha sifa za uongozi kati ya...
  4. NyegereBOY

    JamiiForums Tanzania Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

    Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇 Biashara yenyewe ni hapa Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box HUDUMA HIZO NI Post Paid Bundles 5G...
  5. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania MwanaYanga akilalamika kuhusu kuongezewa muda muonyeshe hii picha halafu kaa kimya

    Picha inajieleza Waonyeshe hii halafu usiongee kitu
  6. Hammer11

    JamiiForums Tanzania Hii ni upendo au ni nn wadau

    Mm nikijana nina miaka 28 ivi nina mke na mtoto mmoja mwanangu anaitwa Rose. Sasa hiki kituu ni kitambo na kinaniumiza sana. Iko hivii siku moja nimeamka niko hovyo sana akiba sina Rose alitoka kuumwaa so nikawa sina hata ile sent moja hata wa kumkopa sina. Nilimpigia bimkubwa hana masista...
  7. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii maana yake nini? Na anayefanya hivi anafaidika na nani?

  8. Brojust

    JamiiForums Tanzania Hii baa ya Maikoz Mbweni, usipokuja na gari jeusi la tinted hadi wahudunu wanakuona kama kachumbali tu

    Yaani kuna sura zao tayari washakariri, ukija tu uko simple na gari yako ya kawaida au ukija tuu na mguu wanakuchukulia poa. Mmiliki kama upo humu jamiiforum ebu fanya semina tena na wahudumu wako, una sehemu nzuri sana, una jiko zuri sana ila tayari wahudumu wako wanaambizana kwamba yule ana...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hivi hii pesa ya Iran ikoje.? Mbona kama karatasi tu wakati wanatumia pesa nyingi kufadhili ugaidi..😲😲

    CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi. Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Inafurahisha hii tweet sijajua ni ukweli ama laah

    Je, unakubaliana nayo hii tweet ?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni barua ya Posa ya aina gani

    Nimeenda kwenye barua ya posa. Aliyoleta ni bahasha yenye barua ya 1. Kuomba kumposa binti. 2. Kitambaa cheupe kina fedha ndani na kimefungwa na pin nne Katika pembe zake nne. 3. Msumari yaani screw.. je watu wa Pwani au wengine wanaweza kufafanua hasa huo msumari na ufungaji wa kitambaa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Lissu na Mbowe leo hii

    Picha ya kikoa cha leo Lissu kajimaliza kisiasa kwa ushawishi wa msigwa
  13. mjasiriamali mdogo

    JamiiForums Tanzania Hii ndio 10 Bora ya gari zinazoongoza Kwa kununuliwa hapa Tanzania 2024

    Hizi ndio gari wauzaji wanasema ndio chaguo Lao kwasasa.
  14. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

    Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona. Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
  15. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Nakubali Tundu Lissu awe Mwenyekiti na Mgombea Urais wa kambi yote ya Upinzani. Anza na kazi hii. Rudisha kundini kina Mdee na Wenzake.

    Ukweli usemwe. Kilichowaponza kina Mdee ni ule utawala wa mabavu wa awamu ileee. Ulishapita, Chadema ni muhimu ijengwe kuanzia ilikoishia kabla ya awamu hii.
  16. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Shida ya Nchi hii sio vyama vya upinzania wala viongozi wa upinzani, shida ni Watanzania hatuna Spirt ya mapambano.

    Bongo madhaifu yetu tunataka kuyaficha au kutupia vyama vya upinzani na viongozi wao kwamba ndio sababu ya upinzani kulegalega. Hii sio kweli hata siku 1. Ukiiangalia Kenya utagundua mafanikio yao hayajatokana na upinzani bali spirti binafisi ya Wakenya. Wakenya wana personer spirt ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi tunaosoma Shahada ya Usingizi na Ganzi Salama tupewe haki za kimasomo, Serikali ifanye maboresho katika hii Shahada

    Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu. Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na...
  18. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Niambieni Hii inakuaje?

    Kama isingekuwa Mungu. Mimi na wengine wengi tusingekuwa na uwezo wa kuishi Hebu angalia tu jinsi mambo yalivyo. Nini kinaendelea? Niambie inakuaje hapa Tanzania bado watu wengi wanapinga upinzani. Niambie inakuaje kwenye mshahara kodi wanakatwa walalahoi wabunge hawakatwi Niambie inakuaje...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere alipokuwa anatarajiwa kutoa hotuba, nchi nzima ilikuwa inasubiri kwa hamu. Baada ya Nyerere, leo hii ni Tundu Lissu tu

    Huu ndio ukweli kwa sasa na wala haupingiki: Nyerere alipokuwa anatarajia kuhutubia, karibu kila mtu anasogea kwenye chombo cha habari iwe ni TV au Redio au kufika kwenye ukumbi husika huku akiwa na shauku ya kutaka kusikia atachosema. Mbali na wanachi, hata vyombo vya habari vya ndani na vya...
  20. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka. Source: Visegrad24 X account
Back
Top Bottom