hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA linapozidi Kuonekana, CCM yazidi Kuimarika kwa Wapiga Kura

    ANGUKO LA CHADEMA Linapozidi Kuonekana – CCM yazidi Kuimarika kwa Wapiga Kura. Katika mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji, CHADEMA imeonyesha kushindwa kusimamisha wagombea katika sehemu kubwa ya nchi. Wakati ambapo Watanzania wanahitaji viongozi wa kuwajibika, ambao...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga ya sasa ikikutana na Simba hii itafungwa goli hata 11

    Nimeangalia mwenendo wa Yanga inaonyesha kiwango kinazidi kushuka kwa kasi kubwa sana, hata inaposhinda unakuta inashinda kwa kupambaaaaana kama bao la mzee, kagoli kamoja. Hata game ile aliyocheza na Simba tuwe wa kweli maana ingechezeshwa na refa makini kama Aragija Simba ingeshinda kwa goli...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hii ndo match yetu ya Mwisho kucheza Uwanja wa Azam. Hawa washenzi tutawakomoa

    Azam Complex wamiliki na mameneja ni washenzi sana. Wanatuhujumu. Uwanja wanakataa tusiuone kabla ya match. Ni washenzih sana hawa jamaa. Wanatuhujumu sana hawa Azam na mikia. Hawataki tuwe tunakagua uwanja kabla ya matches. Wana fanya hujuma kwa team yetu hawa mbwa. Hawataki tuuandae uwanja...
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mjue Robert Chesebrough: Mvumbuzi wa Mafuta Maarufu leo hii Vaseline

    Wakati wengine wakikimbilia fursa ya mafuta baada ya kugunduliwa, yeye aliiona fulsa kwenye uchafu wa mafuta uliokuwa ukiwakera watu. Anakumbukwa sana kwa kauli yake maarufu isemayo: "Innovation doesn’t happen in laboratories; it’s discovered in the field." Na hii ndiyo hadithi yake. Mwaka...
  5. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa magari nisaidieni, hii ni gari aina gani?

  6. Paul dybala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hii kauli ya "ndio hivyo sasa" ina maana gani ukijibiwa na mke wako

    Wakuu, iko hivi: Wife alikuwa na ratiba ya kwenda saloon, kitu ambacho alilazimisha sana. Sikupenda kumzuia, kwa hiyo nikamuelekeza kuwa atachukua ten kwenye hesabu ya mauzo dukani, lakini ahakikishe anawahi kufunga ili ratiba zingine za nyumbani zisiharibike, maana anapenda sana kupika usiku...
  7. Kahama- shy

    JamiiForums Tanzania Ichambue hii picha kwa maana ulivyoielewa

  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu naona anaanza kumchekea chekea muuza mihogo; na hii habari ya Baltazar Egonga basi sina Imani kabisa. Najiandaa......

    Umiza kichwa sana hawa na kwa hakika hawaaminiki.
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu mnaikumbuka hii movie

  10. Magical power

    JamiiForums Tanzania Pesa zako zote ambazo hazijashughulikiwa zitatolewa wiki hii

    Pesa zako zote ambazo hazijashughulikiwa zitatolewa wiki hii
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unaumwa jaribu kuwa unatunza record zako , hii itakusaidia sana.

    Ukiwa unaumwa jaribu kuwa unatunza kumbukumbu zako . Na unaangalia aina gani ya Dawa huwa unatumia , mazoezi n.k . Binafsi huwa naumwa Sana kichwa . Dawa ambayo huwa natumia nakunywa Tangawizi Ahsubui na join pamoja mazoezi , damu inapokuwa na mzunguko mzuri maumivu ya kichwa hupungua au...
  12. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Kila asubuhi kuna vindege vinakuja dirishani vinadonoa kula wadudu kwa nje. Hii maana yake ni nini?

    MDAU AMENIELEZA: Katika siku za karibuni, kila asubuhi nyumbani kuna vindege vidogo vinakuja dirishani kama vinadonoa kula wadudu kwa nje, hii inatokea hata ofisini nikifika nje kwna vindege kama vile vya nyumbani hufanya hivyo pia. Mnaojua kubashiri ama utaalami wa tafsiri, hii maana yake ni nini?
  13. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata hii spare?

    Ni disk zinazotengeneza pellet kwa ajili ya mifugo,hizi zilikuja na mashine matundu yake ni ya aina moja sasa nataka zenye matundu madogo zaidi
  14. excel

    JamiiForums Tanzania Umemtambua nani kwenye hii picha? watoto wa 2000 tulieni kwanza

    Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
  15. mazongera

    JamiiForums Tanzania Hii kero ni kwa shule hii Tu au huko kwengine yapo haya?

    Ni shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge. Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule kufunguliwa mwezi August, wale wanafunzi waliotoka kidato cha tano na kuingia kidato cha sita...
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kiu yao ya vurugu inayotokana na msukumo wa itikadi zao au hamasa binafsi inafanya nikumbuke quote hii katika movie ya The Dark Knight

    Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki. Ndio hapo, yule mzee ambaye ndio Guardian wa Batman tangu utoto akamwambia Batman maneno haya: "Because...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania KWELI Utumiaji wa Panadol kusafisha pasi husababisha kuzalisha kemikali ambayo ni hatari kwa binadamu

    Nimekuwa ni mtumiaji wa panadol katika kusafisha pasi yangu inapochafuka, lakini nimepigwa na butwaa na kupata wasiwasi baada ya kukutana na post mtandaoni kuwa matumizi hayo ya panadol ni hatari kwa afya ya binadamu kutokana na kuzalisha sumu kali, hili uhalisia wake ni upi?
  18. Zacht

    JamiiForums Tanzania Mdogo Wangu anataka nimfungulie biashara hii

    Wakuu habari Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo kule morogoro (mbingu) afu anakuja kuuza huku kwa reja reja.(Kwa mafungu ) Kuna mambo nataka...
  19. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Matajiri wa mabasi wekezeni coaster zenu Barabara ya Arusha Dodoma maana magari machache Njia hii

    Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama wenzenu walikataa kuwashtua mi ndo nawasanua hivyo Kiukweli hii barabara iko busy sana ila...
  20. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kimenuka! leo hii Wa-south africa wafanya Msako wa kutafuta raia wa kigeni wasio na vibali, Mtanzania apigwa

    Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya kisheria au wanaishi nchini kinyume cha sheria. Msako huu uliofanywa na mamlaka za Afrika Kusini...
Back
Top Bottom