A
Anonymous
Guest
Sisi ni wanafunzi tunaosoma Shahada ya Utoaji Dawa za Usingizi na Ganzi Salama (NURSE ANAESTHESIA) Shahada hii inachukua miaka minne mpaka kuhitimu.
Dawa hizo ni mhimu sana katika Huduma za Kiafya hasa katika sehemu ya vyumba vya upasuaji (theater), kwa wagonjwa mahututi, emergency, clinics na sehemu nyingi hizo ni kwa uchache, ndugu mwananchi na Mtanzania mwenzangu hii Shahada ni mhimu sana katika afya zetu hasa katika hizo sehemu nilizozitaja hapo ili kuhakikisha operation ipo salama lazima uwe na ANAESTHESIA
Wagonjwa wanaohitaji dawa za maumivu lazima uwe na ANAESTHESIA kwenye complication case kama difficult canulation, intubation, management mbalimbali na zitokanazo na madawa ya Anaesthesia lazime uwe na huyu maalamu.
Tanzania ni nchi ambayo vifo vingi vinatokea sasa hivi ni kwa sababu ya kutokuwa na Wataalamu waliobobea katika kutoa na ku-manage cases mbalimbali zitokanazo na hii idala nyeti hii.
Ni kwasababu ya kutokuwa na foundation nzuri katika hiki kitengo ukiangalia asilimia kubwa Watoa Dawa za Usingzi waliko kwenye field ni certificates na wale wabobezi (Anaesthiologist) lakini nao bado ni wachache sana ambavyo inakadiliwa kwamba Mtoa Dawa za Usingizi mmoja anatakiwa ahudumie Wangonjwa 1,000.
Hapo mnaweza kuona kuwa kunauhitaji mkubwa, tuna mengi ya kuongea lakini hebu tuende direct kwenye kile kimetuleta hapa kwa Tanzania:
Cha kwanza tunamshukuru mama yetu Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hasan kwa kujitahidi kuboresha na kuhakikisha afya ya Mtanzania ipo salama na kuhakikisha amani nchini sisi kama wanafunzi tunazo changamoto nyingi sana kuhusu hii program na mengi tunapitia haya yote tu ni kuhakikisha afya ya Mtanzania inaenda kuimarika kupitia sisi.
Pamoja na hayo tumekuwa tukipitia changamoto nyingi sana katika haya mapambano tumeona tulilete kwa Watanzania muone njisi gani mnapushi ili mtusaidie kwa Wadau Waelimu na Serikali kwa ujumla itusaidie, zifuatazo ni changamoto kubwa sana ambazo tumezileta mbele yenu tunazozipitia.
1. Shahada hii ilianzishwa mnamo mwaka 2019 lakini cha kusikisha mpaka leo hii Shahada haitambuliki popote pale ihali kuna Shahada zina mwaka tu toka zianzishwe tayari zinatambulika.
Tumekuwa tukifaatilia tunajibiwa majibu yasiyoridhisha sisi ni Watoto wa Wakulima tunasoma kwa shida wazazi wanatutegemea. Watu wanatamvulika kama nursing na sio Anaesthesia tena, Serikali yetu sikivu itusaidie kulitatua maana inasitaajabisha sana.
2. Serikali itusaidie kutujibu ilianzisha hii shahada ili kumuandaa nurse au Anaesthesia kwasababu pure nurse wapo na ni wengi tu hadi hawana ajira, kwanini huyu Anaesthesia usimpike akawa pure Anaesthesia na aende kuwa msaada kwa hii changamoto iliyopo kwenye huu uhaba?
Hapa Serikali itamuajiri Anaesthesia nusu na nurse nurse, Yaani mtu mwenye degree mbili kwenda kufanya kazi kama nani Serikali ni bora ikaweka hivi vitu in separate way kuepusha muingiliano wa kimajukumu na kuifanya hii Shahada kuwa bora kuliko kupika mtu nusunusu hatuwezi kwenda kutatuq hizi changamoto.
3. Watoa Dawa za Usingizi waliopo wengi ni wale trained, yaani certificate ambao wanasoma Clinical Officers na Nurses, hawa wote ni waliotoka Diploma tu lakin kwanini ikifika level ya bachelor huyu CO haruhusiwi kusoma kwanini na amekidhi vigezo? Hapa kuna ulakini mdau!
Tunaomba hapa hii idara nyeti iwe na msingi uliobora tusitengeneze wataalamu wa kwenda kuijaribu maisha ya Watu, kuwe na msingi mzuri kama kulivyo kwenye Shahada zingne kwamba certificate-diploma- bachelor.
4. Wanafunzi wanaosoma hii shahada wananyimwa haki zao za kimasomo kwa mfano pathology, dissection anatomy, anatomy in anaesthesia na mengine mengi ambayo yataenda kuwafanya kuwa competent enough kazini.
Huyuhuyu anaesthesia anaeandaliwa pale Mhimbili hasomi course kama hizo, huyu mtu anaenda kusaidia nini huyu anaenda kuwa tofauti na huyu wa short course? Yaani wa mwaka mmoja jibu ni no kubwa wanafunzi tunaomba tupewe haki zetu za kimasomo.
Tumeomba tumeandika barua za kila aina hadi Serikali ikaitisha emergency review ya curriculum lakini mpaka sasa hatujui hatima yetu mnajua nini hapa tunanyimwa cha kwanza kabisa.
Tunanyimwa fursa za ndani na nje ya nchi hususani za kimasomo na fursa kama ajira nchi za nje hii ni kwasababu tunachokisoma hakijitosherezi na hakiendani na mitaala mbalimbali ya nchi mbalimbali hasa zilizoendelea.
Ombi kwa Serikali sisi kama Wanafunzi wa hii kada tunaiomba sana ilione hili badala ya kuishia kweye ahadi tu hakuna utendaji, hii sisi inatufanya tupoteze mda mwingi chuo bila kuwa wajuzi au wataalamu wazuri kwasababu ya mtaala ambalo tunaamini lipo ndani ya uwezo wa Serikali na Chuo.
Huyu Mtaalam tunayemzungumzia hapa anaenda kudeal na mifumo ya fahamu wa mwanadamu, yaani mishipa yote kulaza kumuamsha mgonjwa na ogani mhimu kama spinal cord, brain anatakiwa aijue lakini masomo yatayomsaidia awe competent hafundishwi hii sio haki hata kidgo
5. Either Wanafunzi wanasitikika zaidi kuona siasa inaingia katika kitengo hiki nyeti kabisa wanafunzi wanaomba kusikwepo na siasa hata kidogo kwenye elimu kwani haya ni maisha ya watu na wanaenda kusaidia watanzania huko vijijini na kupunguza vifo vya mama na mtoto vitokanavyo na dawa za usingizi kwani kumekuwa na sintofahamu baina yao wanafunzi idara, chuo na hata serikali wanashindwa kuelewa dhumuni mama la hii shahada lilikuwa ni lipi mana wanafunzi wapo kwenye confusion kila leo tunaomba mtusaidie
6. Kuna watanzania wenzetu ambao walienda kusomea nje ya nchi walienda wakasoma Bachelor Degree in Anaesthesia wamerudi Tanzania mfumo hauwatambui hii ni kwasababu ya mitaala yetu.
Tunawaomba sana Serikali iwatambue hawa watu baada ya kuifanyia marekebisho hii carculum na wao wamezwe humohumo ndugu zetu hawa wazazi wao walitoa gharama nyingi kuwasomesha badala yake wamerudi hawatambuliki.
Kwanini hii Shahada msiite Bachelor Degree in Anaesthesia ili kusiwe na huu mtafaruku kama nchi nyingine kadhaa? Ambao hata sisi utatupa fursa ya kufanya kazi nje ya nchi baadaye tukimaliza tutasomaje kitu ambacho hata worldwide tu hakipo? Haya yote ni kwasababu mtaala unahitaji marekebisho lakini watu baadhi wanaamua kuangamiza maelfu na kuwanyima fursa hii sio haki.
7. Tumekuwa na mazingira magumu hata katika ufindishwaji hii ni kwasababu ya kutokufanyika mapitio na maboresho ya hii kada mwanafunzi unaesoma anaesthesia ambae unapaswa ukarotate ICU, emergency na theatre badala yake huyu mtu anapelekwa kurotate (mafunzo kwa vitendo) hadi ward za kawaida.
Hali hiyo inamjenga nini na inamsaidia nini kama anaesthesia kwamba huyu ni nusu muuguzi nusu anaesthesia?
8. Sad news ni kwamba hawa watu hawaruhusiwi hata kuwa viongozi wakati hawa tayari ni officers how? Kwamba hii shahada ilianzishwa for the personal interest za watu ndugu zangu?
Kwakweli inauma na inaumiza tena wanafunzi wamekuwa wakiacha masomo kwa sababu Shahada ina changamoto nyingi ambazo zipo ndani ya uwezo wa Chuo na Serikali lakini wanafumbia macho, tuna mengi ya kuongea siku tutakuwa live kwenye media labda mtatusikiliza hatuna watu huko juu wa kutusemea.
Mtanzania mwenzetu unaweza tusemea ili kuja kuboresha hii shahada ambayo huenda kesho mwanao au ndg yako atakuja kuisomea na katika dhana nzima ya kuzuia vifo vya mama na mtoto na vifo vitokanavyo na Dawa za Usingizi na Ganzi.
Tunaomba maboresho ya mtaala wa anaesthesia
#safe anaesthesia can save the life