hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

    Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ya Golan Brigade Base katika Jiji la Haifa ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya huku kukiripotiwa vifaa kadhaa pia. Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao...
  2. ERTUGRUL BEY

    Mbinu hii inaweza kutibu kigugumizi au stammering

    Kigugumizi ni tatizo la kushindwa kuongea vizur yaan mtu anakuwa anashindwa kujieleza au kutoa matamshi mpaka ajivute sana,ni changamoto ambayo inawakuta baadhi ya ndugu zetu Sasa unaweza kuishinda hali hii kwa kufanya mazoezi ya kuongea zaidi,jitahidi kuongea kadri iwezekanavyo na baada ya mda...
  3. ekomu1

    Hii ni dawa gani?

    Hii dawa mtu aliomba sana nimtafutie atanipa pesa nzuri sijui ya nini na inatibu nini.
  4. The branding

    Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

    Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K. Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hesbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas. Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni kama...
  5. ELI COHEN

    Kuna watu wakiona hii picha basi roho zinawauma sana. Na bado sana.

    Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
  6. dem boyz

    Uchumi wa Israel waathirika na vita ya Gaza

    aljazeeraenglish The fact that the cumulative weight of bombs dropped on #Gaza exceeds that of those dropped during World War II is “extraordinary”, Will Hutton, political economist and journalist, tells Al Jazeera.⁠ .⁠ #Israel could not have done this without US military aid, but it could have...
  7. Zogoo da khama

    Hii 0.5% ya latra kwenye nauli ikoje?

    Wadau habarini za majukumu? Jana nilikata tiketi ya bus toka mkoani kuja Dar es Salaam kitu nilichokutana nacho ni tozo ya 0.5% ya LATRA hii ikoje? Imetamkwa lini? Je si kutuongezea mzigo kwenye nauli
  8. Suley2019

    SI KWELI Lionel Messi halisi akiwa anapiga gitaa

  9. Elsa Marie

    LGE2024 Hii ya Samia kupanga foleni kujiandikisha inafikirisha kidogo

    HIi imenishangaza yaani akili yangu imegoma kuelewa. Yaani, mtu alikuwa anaelekea kujiandiandikisha kupiga kura, huko barabarani msafara wake umesababisha watu na magari kusimamishwa ili kuruhusu “mheshimiwa awahi” aendako (hili ni la ajabu pia lakini tumeshalizoea hakuna namna ya kulibadilisha...
  10. D

    Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  11. M

    Picha: Peter Madeleka akiwa na Maburungutu ya pesa. Hii ni baada ya kupigania haki za wanaoonewa

    Duh
  12. kwisha

    Kupotea kwa ukristo ni mateso kwa watu wengine

    Kuna watu bado wanaukataa ukristo na kutukana sijui ukristo ni utapeli sijui nini Ninawagalia nachekacheka tu moyoni mwangu. Ukristo sio kwamba una sapoti ujinga bali una heshimu tamaduni ,imani, mawazo, ya watu wengine
  13. ELI COHEN

    Hii aina ya muziki wa kompa nimeanza kuukubali kidizain hivi

    Ni vizuri wale wana ojua chimbuko la muziku wakatupatia historia yake fupi. Pia naiona ni kama modern zouk hivi (zouk iliyochangamka) Kwa wale wasiojua style ya kompa kibongo bongo wasikie wimbo wa genius ft jay melody - far away. Enjo mix ya kompa hapa kwa wale wa spotify...
  14. K

    Huu ni ujumbe wangu kwa diwani wa Nkiwanzenzaa. Hii sio sawa

    Diwani wa Nkiwanzenzaa Asiyejuwa katiba, kanuni, ilani, miongozo, na taratibu. Mwenye elimu ya moja, mbili, tatu Siiiii mzuka. Amesusiwa kikao baada ya kutaka kupandikiza watu kwenye SSEEM kama alivyopandikizwa yeye kwa rushwa kwenye udiwani. Nilisikika katika ulimwengu wa kiroho nikikemea...
  15. P

    KWELI Black Ivory Coffee, kahawa ambayo mchakato wa utengenezaji hupitia kumezwa na kutolewa kwenye kinyesi cha tembo

    Wakuu, Nimekutana na video huko duniani, kahawa hii wanapewa tembo wale na tembo hao wakijisaidia inaenda kusafishwa kisha kuuzwa, wanadai eti ikipita kwenye mwili wa tembo inapunguza ladha ya uchungu, yaani isiwe kali sana. Hii ni kweli wataalamu?🥲 Video hii hapa👇 ---
  16. G

    Nawafafanulia vipi wanaodhani Iran na vikundi vyake wanashinda vita wakati Israel inanyakua vichwa vingi vya viongozi wa juu?

    Wao husema wanakipenda kifo kama ilivyo kwa watu wa kawaoda wanavyothamini uhai, ajabu ni kwamba Israel ikitungua viongozi wakuu kuna vilio na misagano ya meno. Israel inaendelea kula vichwa vya viongozi wakubwa kwa spid ya ajabu, Pamoja na kujificha kwenye mahandaki yenye zege zito, Israel...
  17. B

    Inawezekana Vipi ukatoa ushahidi Mahakamani kama katika hali hii?

    Salaam , somo hapo juu lahusika case study Mahakama za Tanzania , let say uko zako Japan na unatakiwa uwe shahidi kesi iko TZ , inawezekana vipi? Wewe ni shahidi muhimu, kesi ya Madai. Please advice
  18. K

    Hii imekaaje, kosa la mume polisi kumpiga mke ili aonyeshe mumewe alipo?

    Habari wanajamii,imetokea Leo polisi,wakiwa kwenye gari Binafsi,wamekuja kwa jamaa bila balozi wa mtaa na kugonga geti na kumkuta mke awaonyeshe alipo mumewe .Cha kushangaza mwanamke akawa kama anasita kueleza alipo mumewe, Askari wa kike akatoka kwenye gari na kumnasa makofi huyo mke wa...
  19. B

    Wanandoa hii imekaaje?

    Ewe mwanaume nisawa umepata likizo kazini ukaenda kwenu ukamucha mkeo Mjamzito Afya yake sio nzuri sana na watoto wadogo?? Hii imekaaje?
  20. C

    Habari za kimataifa za TV Imaan inaongelea Waarabu tu

    Habari wanajamii,wajameni hivi wenzangu huwa mnachunguza Hii TV ya kiislam iitwayo TV Imaan? Hivi kweli kuna watu wanaangaliaga taarifa ya habari za kimataifa kwenye hii TV? Yaani habari za kimataifa wanaegemea kutetea Uarabu tu, chuki na Mataifa ya Ulaya na marekani zimejaa sana, mila...
Back
Top Bottom