heshima

Heshima Salim Thompson ( EESH-mə; born 23 October 1986) is a British actor and singer.
Born in the London Borough of Brent, son of Jamaican Reggae singer Dr Alimantado and brother of soul singer Zalon.In 2001 Heshima began his career singing on BBC Documentary Heart of Harlesden, he was scouted from the documentary to play a lead role in BBC’s Babyfather. He has appeared on television in Spooks, Spooks: Code 9 as Jez, Prime Suspect, Casualty, City Lights and Judge John Deed. In theatre he has appeared at The Young Vic in Generations and at The Royal Court in Incomplete and Random Acts of Violence. In 2009 he was nominated for a Screen Nation Award in the Young Shooting Star category. Heshima toured with Amy Winehouse along with brother Zalon on her Back to Black album which was only scheduled to last for 3 months, but the tour was so successful they ended up touring for six years and collected five Grammy Awards.In 2009 he auditioned for the sixth series of The X Factor and in 2011 he auditioned for the eighth series. In 2010 he was cast as Asher Levi in series 2 of EastEnders: E20.In March 2012 Thompson auditioned for the first series of The Voice UK After four chair turns, Heshima chose will.i.am as his coach and made it to the battle rounds of the competition. Heshima worked with Zalon, Salaam Remi and Mark Ronson singing and vocal producing on Amy Winehouse's Album Lioness: Hidden Treasures including singles "Our Day Will Come" and "Like Smoke", which features Nas. Lioness: Hidden Treasures debuted at number one on the UK Albums Chart.In 2014 Heshima founded HTG Entertainment a British entertainment agency.

View More On Wikipedia.org
  1. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond aisimamisha Qatar na kuweka heshima kwa Africa

    Msanii namba moja Africa Diamond Platnumz au mashabiki wake wanapenda kumuita Simba mnyama mkali amekuwa trend namba moja nchini Qatar. Diamond amefanikiwa kuwa trending namba moja kwenye waandaaji hao wa World Cup akiwa na wimbo wake Watasubiri alomshirikisha malkia wa muziki Africa ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hodi wakuu heshima yenu

    Habarini! Ningeomba mnipokee jamvini. Ni mwanaume. Naishi Dar kijana wa miaka 28. Nawasilisha.
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Viongozi, Kukosolewa si kukosewa heshima

    Pamoja na mambo mazuri ambayo viongozi wetu wamekuwa wakifanya wawapo katika madaraka yapo mengi mabaya pia wanafanya, ikiwa ni pamoja na vitendo au mipango mibaya ambayo haina tija kwa jamii au inayoumiza wananchi. Kiongozi anayefuata dhana ya utawala bora hataona kero au kakosewa heshima kwa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima na taadhima, nawaomba CCM 2025 mtuletee Mgombea bora mwenye uchungu na nchi hii

    Baada ya kuona kabisa kwamba tuko kwenye uelekeo ambao hauna dira, napemda kutoa Rai kwa Chama cha Mapinduzi 2025 mtuletee mgombea Urais mwenye dira maono na mwenye uchungu na Rasilimali za nchi hii. Hatuhitaji mtuletee mtu ambaye kutwa kucha anawaza uchaguzi na jinsi ya kuendelea kuwa Rais...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Saluni inayo mpamba Mfalme Zumaridi inastahili Heshima!

    Bila shaka wanaompambaga Mfalme Zumaridi Wana nafasi Yao Peponi! Kwa kweli baada ya wiki tatu za kukaa jela, kumedhihirisha ubora wa Wapambaji wake! Sisi waumini wake Tunajivunia Kazi yenu
  6. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Kuolewa ni Heshima kwa Mwanamke

    KUOLEWA ni heshima kwa mwanamke Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia zaidi binti huyo anapoolewa akiwa angali bado hajazaa. Wanamshukuru Mungu kwa binti yao kujitunza...
  7. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

  9. T

    JamiiForums Tanzania Ifikie mahali Sir Pep Guardiola apewe tu heshima yake

    Ahlan wa sahlan Wakati ulimwengu ukifurahia kuwaona wachezaji magwiji wawili walioitikisa dunia ,namaanisha Mreno Sir Cristiano Ronaldo na Sir Lionel Messi, tunasahau kuwa hakuna kocha aliyewahi kufundisha mpira wa burudani na wa ushindi kama Mhispania Sir Pep Guardiola. Sir Guardiola hapewi...
  10. B

    JamiiForums Tanzania HESHIMA KWA TIMU PINZANI/PAKI BASI

    "Heshima kwa timu pinzani" au "kuwapa heshima wapinzani", mara nyingi kauli hizi hupewa uzito sana na wachambuzi wetu pindi timu ndogo inapokutana na timu kubwa. Na kwa asilimia kubwa wakimaanisha timu ndogo kucheza mchezo wa kujihami/kupaki basi. Mpira wa miguu una matokeo matatu na kati ya...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tony Rashid arudisha heshima ya Tz dhidi ya msauzi Bongani Mahlangu

    Bondia wa Tanzania, Tony Rashid alipigwa na Bongani Mahlangu (Profesa) mwaka jana na kuporwa mkanda. Leo Februari 25, Tony Rashid ameomba pambano la marudiano ili arudishe heshima... Nini kitatokea, subscribe kwa huu uzi Mapambano ya Utangulizi Ramadhani Kondo Vs Isaya Ally Feather welter...
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Job Ndugai karibu CHADEMA, utapata heshima kubwa kwa kusimamia misingi ya katiba na kuhoji harufu ya ufisadi. Utapata kick kubwa

    Nadhani hukujua kuwa wanaCcm kuwa ni watu wabaya na wenye unafiki kiwango cha Phd. Hukufanya kosa lolote kuhoji na kueleza unavyoumia baada ya Rais Samia kukopa pesa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa ili hali kuna tozo na kodi. Walikuvizia, ukaomba msamaha kinafiki kama walivyowanaCCM na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kilindi, Tanga: Watu watano wauawa kwenye mapigano ya Wakulima na Wafugaji

    Mkuu wa wilaya ya Kilindi, Abel ameongoza kamati ya ulinzi na usalama wilayani kusaka miili ya marehemu waliouawa katika mapigano ya Wakulima na Wafugaji wilayani Kilindi. Tayari miili mitano imeshapatikana na polisi wameweka ulinzi mkali. Chanzo: ITV habari ===== Watu watano akiwemo...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Usikubali heshima kubwa kanisani mtizame Mungu, isipokuwa tu kama unaheshimika na huna Fedha wala madaraka

    Kesho ni siku ya kuabudu na kumtukuza Mungu. Simaanishi kwamba siku nyingine sifanyi hivyo Ila ninaposali Mimi jumapili ni siku maalumu ya ibada. Nimewiwa kuwaomba wanaoingia kanisani kuanzia kesho wajitafakari kuhusu heshima wanayopewa, je heshima inatokana na wao wanavyomytumikia Mungu au...
  15. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Elimu na pesa zikiwa kwa mwanamke, heshima haina nafasi

    Ili mahusiano yawe imara mwanaume lazima awe juu ya mwanamke katika kila nyanja, kiumri, kiuchumi, kielimu nk. Hawa wanawake walikusudiwa na Mungu wawe chini tena chini kabisa ndio wanakua na heshima kwa mume na atomatic mume atampenda mkewe na wataishi kwa furaha na amani TELE. Hakuna watu...
  16. 5

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais Samia "Ukinizingua Nitakuzingua" Je kwa yaliyotokea hivi karibuni Rais amepata Heshima?

    Wadau habari za mchana huu., Nimeona nije na hii kauli ya Mama Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba "Ukinizingua nitakuzingua" na kile kilichotokea hivi karibuni je mama alikuwa anamaanisha ile kauli yake., nakumbuka siku aliposema pale bungeni ukumbi wa bunge walicheka saana...
  17. Mrkaswahili

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au internship nipo Mwanza

    Habari za wakati huu wakubwa zangu mawapa heshima yenu na vijana wenzangu natumai pia muwazima ahsante. Naomba muniwie radhi lakini mficha dhara kifo humuumbua.Naitwa Mhina nipo naishi Mwanza ni mhitimu wa stashahada ya uhasibu(Diplomoa in Accountancy). Dhumuni la kuandika thread hii ni kuomba...
  18. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Neno 'mfumo dume' lisitumike vibaya kwa kuanza kuwabagaza wanaume na kutowapa heshima yao

    Wadau hili neno mfumo dume kwa hapa Tanzania tunapaswa kulifuta haraka ,.tukiendelea kulichekea ni muda mchache imebaki wanaume tutaanza kuandamana kupinga mfume jike. Kwa Sasa inaonekana sisi wanaume ni majitu ya hovyo na makatili sana. Hatupewi hata heshima ya asili tuliyopaswa kupewa,iwe...
  19. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Simba tumpe cheo Cha heshima mheshimiwa Ndugai

    Nawasilisha
  20. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hata kama Rais Samia haumkubali, si sahihi kumpuuza na kumwandikia jumbe zisizo na staha

    Umeibuka utamaduni wa wengi pale inapotokea mada imuhusuyo mheshimiwa Rais Samia walio wengi wamekuwa wakimbeza na kujibu yamhusuyo pasi na staha. Hakika hiyo tabia si ya kiuungwana na sote kwa umoja wetu tuikemee. Samia ni dada,mama,shangazi lakini pia ni mke.Shime tusiutweze utu wake. Na...
Back
Top Bottom