Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,562
- 6,118
Baadhi ya sehemu kuna makisio, mfano sina data ya kujua idadi kamili ya mashirika, vyuo, n.k.
Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza
Turekebishane nilipokosea, weka nyongeza
- majaji wa mahakama - ???
- wakuu wa mikoa - 26
- makatibu tawala wa mikoa - 26
- wakuu wa wilaya - 139
- makatibu tawala wa wilaya - 139
- Wakurugenzi watendaji wa halmashauri - 185
- wabunge wanaoteuliwa na Rais - 10
- Waziri mkuu - 1
- Naibu waziri mkuu - 1
- Mawaziri - 21
- Manaibu waziri - 21
- Manaibu katibu wakuu wa wizara - 21
- Mabalozi - 43
- Katibu wa Bunge - 1
- Mwanasheria mkuu - 1
- Naibu mwanasheria mkuu - 1
- wakili mkuu wa serikali - 1
- Jaji mkuu - 1
- Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi - 1
- Msajili wa vyama vya Siasa - 1
- Naibu Msajili wa vyama vya Siasa - 1
- CAG mkaguzi hesabu - 1
- Gavana benki kuu - 1
- DPP Mkurugenzi wa Mashtaka - 1
- DCI Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai - 1
- Mkuu polisi - 1
- Mkuu jwtz - 1
- Mkuu jkt - 1
- Mkuu magereza - 1
- Mkuu usalama - 1
- Mkuu uhamiaji - 1
- Mkuu zimamoto - 1
- Mkuu Takukuru - 1
- Mkuu DCEA (Madawa ya kulevya) - 1
- wakuu wa vyuo (makisio) - 30
- wakuu wa mashirika, taasisi, idara na tume nyinginezo (makisio) - 400