hela

  1. bro alex

    JamiiForums Tanzania Chief God Love kachangia shingapi, hamnaga hela hapo kelele tupu

    HUYU JAMAA HELA hanayo, ila haitoshi kuleta fujo MJINI, ambapo Kuna GSM na kina lugumi wanaishi. haitoshi hio HELA kaka tuliaaaaaa weweeeeeeeewwww kijanaaaaaaaaaaa
  2. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

    Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa. Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori. Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Bado natafuta mtu anifundishe pikipiki nitachangia hela ya mafuta

    Habari natafuta mtu anifundishe pikipiki ambaye atanisaidia nitamshukuru sana nitachangia hela ya mafuta anicheki Pm au hapa hapa
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wamasai mikanda yenu ya ngozi inadumu Sana mnakosa hela jiongezeni igeni wachina

    Mnatembeza mikanda Katika ma bar watu tumenunuaga mikanda Miaka kumi nyuma huko na bado tunayo.hela ngumu jamani tutanunua mikanda mingapi punguzeni ubora wa mikanda ili angalau kila mwaka tununue mikanda.
  5. bro alex

    JamiiForums Tanzania Mji wa Dodoma haujaisha, Kigamboni pameishia njiani na hela za wastafu tumerukia chrome city

    Wajuzi wa hili jambo njooni mtufafanulie. Kwishaaaaaaa
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa nini hii kauli huwa inawapa kiwewe wababa🤣, 🗣️"Haukuwepo nyumbani kwa hio nimemuachia mkeo ile hela"

    Utasikia... "Ayaaaaaaaaaa"
  7. Now and then

    JamiiForums Tanzania Hela alizokuwa anamwaga Byabato katika Mchakato wa kura za maoni Bukoba Mjini , hii inaonesha kutumbuliwa kwake kama naibu waziri lazima kuna namna.

    Mchakato wa kutafuta Mgombea Ubunge Pale Bukoba Mjini uligubikwa na hujuma kutoka kwa Byabato . Pamoja na kwamba Byabato hakuwa sehemu ya wagombea Ila alikuwa akimwaga pesa ili kushinikiza Mbunge anayemtaka yeye na sio ambaye anakubalika na chama na wananchi. Swali la kujiuliza hizi Pesa...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wagombea kugawa hela mbona inachukuliwa kawaida wakati NI rushwa ile

    Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na jamaa anagawa hela hata bila kumuomba

    Aisee haya maisha yananoga Sana kuna sehemu nikaenda kunywa nikakuta jamaa Fulani ye haongei kazi yake akikuona anakuja kukupa 10000 au 2000...je hio NI roho njema au stress jamaa kachanganyikiwa.
  10. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Hata Biblia Inajua...

    Mhubiri 10:19 "Karamu hufanywa kwa ajili ya kucheka, divai hufurahisha maisha; bali fedha hujibu kila kitu." Mungu huwapendelea wanaojituma. Miujiza haiji kwa wavivu, huja kwa wale walio tayari kuipokea kupitia kazi. Fedha huleta suluhisho kwa mahitaji ya maisha: chakula, afya, elimu, malazi...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabenki yachaji akaunti isiyokuwa na hela?

    Ni kitu cha kusikitisha sana mabenki hayapochaji hela za service charge wakati akaunti inapokuwa haina hela. Sasa ni service ipi wanakuwa wametoa hapo?
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuna mwingine amezikinai hela ndogondogo kama Mimi kwa maana bongo tunapeana kwa masimango sana

    Wakubwa shikamooni hela zenu zenyewe za madafu bongo ila kuzipata mpaka mgombane mpaka mtu umnyekee mtu umlambe boss viatu.sisemi Nina majivuno wala kiburi ila nimezishika noti zenu na zinaisha haraka.. So, hapa na change plan naenda plan B ambayo NI kutafuta mwanya Fulani nipige hela ndefu...
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna wengine humu ambao hamna hela au ni mimi tu nimechaguliwa kuwa kama mfano?

    Ila cha kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa kunitwisha utu uzima. Mimi wa zamani humu ndani nilikuwa namiliki ma-Range, nyumba kali Sinza, Car Wash moja matata pale Madale bila kusahau mke mzuri tu, housegirl na mtoto mmoja wa kiume aitwaye RomyJohnson. Nilikuwa na nafasi kubwa sana pale...
  14. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hela cash ukiificha sehemu unakuwa na hofu muda wote unahisi umeonekana ukiwa unaificha

    Kuna zile moment unakuwa na hela nyingi ghafla halafu ulizimiss kushika mkwanja mrefu sasa kuziacha Katika account NI kama roho hairidhiki unatamani uzishike shike uzioneone yaani uwe nazo karibu cash Tu mambo ya tozo na makato na miamala kwa muda uyasahau. Sasa kimbembe kinakuja pale sehemu...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukiwa huna hela mipango ya biashara ina click vizuri kichwani

    Ukiwa huna maisha umefulia balance haisomi kila idea unayoipenda ukiifikiria unaipangilia vizuri kabisa Kiasi cha mtaji,gharama za uendeshaji,faida,..imagine niliishiwa hela nikaanza kufikiria biashara ya uji,matunda,genge...na tena kisasa ma innovations kama yote.. Kosa waniingizie mkwanja Tu...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Nini Maana ya Vihela na Hela

    Habari wakuu Nina jambo hapa najua tunafamishana tu naomba kujua maana ya Vihela na Hela, mfano unaweza kuwa mtaani mnapiga story mara unasikia yule mtu alipataga Vihela ya kustaafu akajenga kanyumba🤔 Sasa mtu unajiuliza eeh ni sh ngapi hizo unaambiwa ni million 70 mpaka 80 hizo ndo Vihela, au...
  17. Chibike

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa timu anaropoka kuhusu hela ya mboga Bilioni 2, wakati timu ya Pyramids imesajili mchezaji wa Bilioni 8.3

    Hawa wasemaji haswa huyu msemaji wa Azam apimwe akili kama akili yake Iko sawa au ni mgonjwa wa akili. Kwanza ni makosa sana kwa msemaji wa timu kudharau na kuongea matamshi yenye dhihaka na uzushi kwa brand kubwa kama ya Simba., yeye hapo ni muajiriwa tu, hizo pesa za Tajiri Bakhresa hatokaa...
  18. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanya mwanamke akupende bila hela

    Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk Bila hela hutoboi.. Mwisho wa uchambuzi.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa unapata hela kila DAWASA na TANESCO wanapoomba radhi kwa kukukosesha huduma, ungekuwa na milioni ngapi saivi?

    Wakuu, Nadhani saivi ningekuwa na mjengo wangu wa maana huku Mbezi Beach, pamoja na ndinga kaliiiiiii. Jamani, hakuna taasisi/shirika la kiserikali linakera kama DAWASA Wizara ya Maji na TANESCO 😫😫😫, yaani mtu ungekuwa na mamlaka unazifutilia zote mbali kila kitu kinaanza upya kwa kuwa na...
  20. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kuna business ya network Jana niliuIizia huku..nkauliza baadhi ya watu huku MKOA naona kimewaka huko helà hazitokii!!!

    KUULIZA KWELI SIO UJINGA AISEE JANA NILIKUTANA NA MATE MMOJA AKATAKA KUNIPA MAMBO YA KUWEKEZA NKAONA NIULIZIE HUKU JAMAA WANAITWA LSSC BAADA YA KUPATA MAJIBU HUKU NILIJIONGEZA KWA JAMAA MMOJA ALIEWAHI KUNIINGIZA KAMPUNI MOJA NIKAINGIZA HELA KWA TAMAA NIKAWEKEZA UJE MZIGO WEWE WAKAPITA NAZO...
Back
Top Bottom