hela

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hali ni mbaya sana maofisini, na jibu linalotolewa 'huu ni mwaka wa uchaguzi'. Je, kuna uhusiano gani kati ya kukosekana kwa fedha na uchaguzi?

    Aisee hali ni ngumu sana wakuu mpaka OC za kuendeshwa ofisi zinakosekana hakuna hela hata kidogo ukiuliza sababu unaambiwa huu mwaka wa uchaguzi. Kivipi wakati bajeti ya uchaguzi tufanye trillion moja hela ya CCM kuendesha kampeni kuanzia usafiri, nguo, bendera, mabango tufanye hata billion 500...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akilalamika kuhusu mwanamke anaambiwa "TAFUTA HELA WEWE", ila mwanamke akilalamika kuhusu mwanaume anaandaliwa hadi kipindi maalum kwenye TV

    Mi nafikiri uduni uliopo katika jamii yetu umetengeneza ulimbukeni katika fikra na reasoning za watu katika maswala ya maendeleo ya mahusiano. Kuna watu wanadhani kuwa mtoto wa kiume ni kuwa robot alie auto-matic katika kukidhi kila kitu kilichopo mbele yake. Ndio maana wanaojinyonga , walio...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

    Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi, Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini Aliniambia hivi...
  4. Bramo

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife

    Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife Wakuu JF nacheka kama Mazuri vile. Wife wangu ni Mtumishi wa Serikali, ana ka kipato sio Kabaya, Mimi ni Misheni town, ila kwenye Mishe Mishe zangu sijawahi ku fail, yaani kiufupi Nategemeza home kwangu Mwanzo mwenga, kaunzia ma Bill ya Umeme...
  5. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi ili upate hela ushafeli maisha

    Mo-Dewji alishawahi kuulizwa hili swali, "Mpaka sasa wewe ni billionea, is it worth it" akajibu "hapana, nlifanya kazi kwa bidii sana nkapoteza muda wa kua katika ukuaji wa familia yangu hivo ningeweza kurudi nyuma nisingefanya haya tena" nmesahau ilikua ni kituo gan but hivi ndo alijibu...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hela ndiyo kila kitu bhana, Rostam anadhihirisha hili!

    Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini kadri mabulungutu yalivyoongezwa ndivyo jamaa akalegea na kuyachaukua mabulungutu hayo then...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ni sahihi mwananchi kutozwa hela ili apate Anuani na Makazi (NaPA)?

    KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa. Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Fursa zilizopo Wilaya ya Muheza-Tanga

    Habari Wadau Ni fursa gani za kiuchumi/ biashara zilizopo au zinazoweza kuanzishwa Wilaya ya Muheza?
  10. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Kuna Jamaa ananidhulumu hela yangu. Nikienda Polisi nitapata haki?

    Wakuu habarini za wakati huu. Mnamo tarehe moja mwezi huu wa nane, kuna jamaa mmoja hivi, ni Agent wa kusafirisha mizigo. Ana kampuni (Clearing and forwarding agency) pale posta, TWIGA HOUSE, FLOOR YA 5, ROOM NAMBA(imehifadhiwa). Katika harakati za hapa na pale ndani ya mji, tulikutana...
  11. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

    1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana 2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana...
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania JKT WANATAKA HELA ZAO HUKO NA WACHEZAJI MLIOWAAHIDI..HAHAHAA WATANI BANA

    WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA SIMBA VINGINEVYO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA. NA PESA WALIZOTOA ADV HAZITORUDI KIDUMU CHAMA CHETU
  13. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mkuu wa Wilaya UBUNGO anatafuta Hela kinguvu kupitia makosa ya uonevu barabarani

    CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye! tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI aiianza na kusema...
  14. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mnaona wakuu, tukaanza kuwa tunamtumia Polepole hela ya kumsapoti kama ambavyo tumekuwa tukimsapoti Lissu n.k ili kumtia Moyo !?

    Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k. Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Katika kampeni za mwaka huu kwa wagombea wa urais wataje utajiri wao ili tunaposikia kuwa wametoa hela za ujenzi wa miradi tusishangae

    Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mayele najua unataka kurudi Tanzania kwakuwa huko una Furaha ila nakuomba baki piga Hela usirudi Bongo kwani Utatuzidishia tu Machungu Sisi Lia Lia SC

    Baada ya kumsikia Mtu wako wa Karibu akisema unataka Kurudi Tanzania namtafuta Mganga akufunge Akili usirejee TZA.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Ushahidi huu hakika nakubaliana na Uongozi wa Yanga SC kusema kuwa Yanga SC haijachangia Hela yoyote ile katika Harambee ya CCM na Inasingiziwa tu

    Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC. Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawawekezi kwenye biashara ya ma godown wakati hela nje nje

    Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi wakulima wanalima ufuta Kisha wanalima mbaazi halafu wanamalizia na korosho sasa kila kilo kutunza...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Feitoto hana hela, au anawachora tu!

    Utani wa Feisal Fei Toto na wachezaji wenzie wa Taifa Stars, akiwa anakula chakula cha wenzie na kusema kuwa hana hela. Ni kweli Feisal hana hela?😅
  20. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha nguo inaweza kuleta vita na wauza nguo?

    Wakuu kwela? Biashara ya kukodisha nguo za kuvaa ( Sio za harusi) . Za kuvaa kawaida, inaweza kuleta Vita na wauza nguo? Mwenye uzoefu amwagike please
Back
Top Bottom