hela

  1. Setfree

    JamiiForums Tanzania "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011"

    "Hiyo hela itume kwenye namba hii mpya: +252 799 80090011, jina litakuja: Chaelmi Majuu. Simu yangu ya kawaida inadaiwa." Ukipokea meseji zenye ujumbe kama huo, usikasirike, usimtukane aliyekutumia, wala usifanye haraka kum-block. Mhubiri Injili. Mwambie: "Je, kuna faida gani ukiyapata mapesa...
  2. VERIFY

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

    Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Mara nyingi ukimpa mdada hela/zawadi bila yeye kukuomba, huko mbeleni ndo atazidi kukupiga vizinga

    Habarini, Kuna huu ushauri unaotolewa na wadada humu jf na baadhi ya wanaume, kwamba ukitaka mdada asikupige vizinga mara kwa mara, usiruhusu mpaka yeye akuombe, mwanaume inatakiwa ujiongeze, utoe bila kuombwa, juzi kati nikajaribu kuiweka hii myth to the test Sample za research yangu zilitoka...
  4. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  5. Think2

    JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke

    Kabla hujaanza kulalamika kuhisu pesa ya mkeo inaenda wapi fatilia vitu hivi kwanza usijekuonekana miyeyusho ◇ Kuna mashuka mangapi ndani, au unajua kujifunika tu na haujui limetoka wapi?😁 ◇ Masufuri na vyombo vya kupikia vipo vingapi? ◇ Mapazia ya mlangoni na dirishani yapo mangapi?? ◇ Mapambo...
  6. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tangu nipate hela sijawahi kuota ndoto za kutisha

    Zile ndoto za kukabwa, mara kukimbizwa halafu hauwezi kukimbia au kuanguka toka juu halafu ukifikachini huumii n.k zimekoma maramoja baada ya kuanzisha hii kampuni yangu ya kuchezesha kamari. Nampongeza sana rais wetu. Sasahivi mkiliwa pesa za kubet mnakuwa mmenichangia pakubwa sana. SIJATAPELI...
  7. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Hela Yako kubwa kuwahi kuokota ilikuwa kiasi gani?

    Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika. Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena...
  8. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mwananchi asema "Unayeshindana na Dkt. Godwin Mollel nakusanua usitumie hela"

  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sportpesa mnashindwa nini kuwa na instant payment mpaka mtu uanze kuulizia salio ndo hela iingie

    Mbona betpawa uki withdraw hela ni chap kwa haraka unapata message hapohapo hawa sportpesa wanaenda taratibu Sana kwenye malipo jirekebisheni kama mko ndani hapa.
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kusema kweli jana nimepiga hela nyingi sana

    Wengi waliipa PSG mazima wakaweka mamilioni. Endelea kubeti kupitia sportypesa.
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Badala ya kutoa stress na pombe kila wiki, hio hela katembelee mbuga za wanyama

    kwa wale wapenda maji, nawashauri mjipe likizo mara moja mtumie izo hela kwenda mbugan ama kupanda mlima pia mnakuza vitambi sana
  14. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Yuan 1, Chinese currency

    Wajuvi wa mambo ya kiroho hii hela naweza kuifanyia nini maana naona kwa bongo haina thamani kabisa. Nimeikuta kwenye jeans niliyonunua dukani juzi
  15. Youbettersleep

    JamiiForums Tanzania Demu wako ila kukupa hadi Hela inawezekana vipi?

    Wajomba kuna kijana wangu ana demu wake wameka miaka kama 3 hivi ola siku hizi jamaa kama kawa mwehu sababu ya demu Imagine demu hataki mazoea kama zamani na mzigo hadi jamaa atoe hela ndio anapewa hahaha juzi kafukunyua mzigo ile anamaliza likavuka ugomvi mkubwa demu anasema hawezi kuja bila...
  16. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Lini mifumo ya Serikali inaanza kufanya kazi hasa kutoa hela

    Nata nifahamu ni lini mifumo ya Serikali huanza kutoa hela baada ya mwaka wa fedha kutamatika kikao ifikapo June 30..?
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kijana kabla hujamtumia malaya hela fanya maamuzi ya kumtumia Baba/mama kwanza

    Nikweli heli hela yako hainihusu kabisa wala sina mamlaka ya kukupangia namna ya kuitumia upendavo wewe hapa tuna teta na kuelekezana tu. MALAYA HANA SHUKRANI. ukweli ndo huo mwanamke malaya hana shukurani yoyote ile ni rahisi sana kukwambia mbona hujatuma na ya kutolea ? Hicho kidogo ambacho...
  18. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Picha: Gharama za kutuma hela ni kubwa sana

    Yaani laki 2 ya kutoa ni 6,000 ? Aisee tuacheni kutumia haya mambo ni gharama sana kutuma pesa kwa mitandao
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Musukuma: Wakuu wa Wilaya wanaotaka ubunge, Bungeni hakuna hela

    "Umesema kuhusu wakuu wa mikoa, wakurugenzi, Makatibu Wakuu. Nimeona watu wengi wameacha kazi hadi Makatibu wakuu. Nataka kuwaambia na sema uwazi. Ubunge sio kama watu wanavyotafakari. Watu wanasema ukiwa Mbunge kuna hela za bure utapata. "Itakuwa tajiri mshahara ni mkubwa. Sijaona hizo hela...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Angalia jinsi CCM wanavyochezea hela zetu hapa lazima deni la taifa lifike trilion 107

    GT Jioneeni wenyewe, msisahau.na matamasha kule mwanza na simiyu pesa inachezewa kama haina mwenyewe.
Back
Top Bottom