Ujio wa Mama Mkwe - Sasa twazila Hela za Wife
Wakuu JF nacheka kama Mazuri vile.
Wife wangu ni Mtumishi wa Serikali, ana ka kipato sio Kabaya, Mimi ni Misheni town, ila kwenye Mishe Mishe zangu sijawahi ku fail, yaani kiufupi Nategemeza home kwangu Mwanzo mwenga, kaunzia ma Bill ya Umeme...