hela

  1. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana hela lakini hawataki kulipa kodi, Serikali msipunguze tozo

    Watanzania kazi yao huwa ni kulalamika hata kwa vitu vidogo. Nimeshangaa nyumba ina wapangaji sita lakini wote wanalalamikia kulipa buku kwa mwezi. Kodi hawataki kulipa ila kadi za chama zinalipiwa, Mwigulu shikilia hapo hapo asietaka ahame
  2. JamiiForums Tanzania Yanga haina hela ya kumsajili Luis,labda wauze figo za viongozi

    Yanga wamezoea kuishi kwa propaganda kudanganya mashabiki. Kibaya zaidi nao hawana hata akili ya kushtuka. Walidanganywa sana kuhusu Chama, wakadanganywa kuhusu ubingwa VPL na FA. Leo hii bado wananogewa kudanganywa. Japo Simba haijaweka wazi, lakini ni kwamba, Miquissone ameuzwa kwa Al Ahly...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umeshakutana na mtu unayemdai anakuambia sina hela ukitaka niue

    Mzuka wanajamvi Kuna jamaa nilikuwa na mdai akawa ananikwepa tukakutana naye ghafla. Nikamzuia na kumuambia anilipe. Jibu alilonipa lilizidi kunikera kwa kuniambia sina hela ukitaka niue basi au fanya chochote. Sasa Shangazi ajiandae kabisa na majibu kama haya kutoka kwa 'short sighted'...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka kupata hela yangu bora uje na njia ya kunitapeli kuliko kuniomba

    Kuna jamaa yangu alikuja kuniomba shilingi 50000 nikamuuliza una shida nayo ipi kiufupi hakuwa na jibu la maana maelezo yalikuwa mengi sio siri nikamwambia sina kumbe hela ipo ila hakunishawishi kumpatia. Alafu kuna mwingine alikuja kwangu ana kiwanja anauza tukaenda kukicheki akanionyesha kila...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini kuchanjwa ni bure, ila kupima COVID-19 ni kwa hela?

    Ndugu Watanzania hebu nijuzeni, kwanini kupima Kama una maambukizi ya COVID-19 ni hela, lakini kuchanjwa ni bure?
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli hela ya mwanamke haihesabiki kwenye bajeti ya familia?

    The guy ask me.. If ur wife got 1000 and u have 1000 wat could be the total!? 1000+1000=1000 nika mwambia hapana how come?? Mdau kapatia au kakosea!?
  7. JamiiForums Tanzania Hela zimesharudi mtaani?

    Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani. Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu. Vipato vya wananchi wake ni vya...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Michezo ya kupeana hela ilivyomnufaisha Isa mchoma mishikaki wa Ufukwe wa Coco

    Asubuhi ya jumatatu ya tarehe 26 Julai 2021 ilinikuta nikiwa kwenye ufukwe wa Coco,macho yangu yalikuwa yanaitazama fukwe hiyo maarufu nchini huku upepo mkali ukivuma kutokea baharini,meli na boti zikikatiza nyingine zikitokea usawa wa bandari ya Dar es salaam na nyingine zikielekea, pia zipo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za usalama (TISS) mpaka utoe hela?

    Jamani mwenye clue na hili tusije kupigwa maana ni mpunga mrefu tunaambiwa tutoe kazi ipatikane. Je, kuna ukweli?
  10. JamiiForums Tanzania Alex Korosso afa na hela za kikundi cha Uigizaji

    Mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Tanzania (TDFAA) bwana Chiki mchoma Amesema Alex Korosso maarufu kama Simba ambaye amejiua kwa kujipiga risasi baada ya kumuua kijana mmoja aitwaye Gift kwa kumpiga risasi alikuwa mtunza hazina wa kikundi hicho cha Waigizaji- Tanzania kilichopo Dar es Salaam...
  11. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli alichangisha matajiri na wasaidizi wake, hao ndio wenye hela

    Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount. Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount. Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu. Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300. Kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya miamala ya kutuma hela na kutoa

    Siku chache zilizopita limekuwa na sintofahamu juu ya mabadiliko ya viwango vya miamala katika mitandao yote nchini, kupanda kwa miamala ya kutuma hela na kutoa hela Jambo ambalo linaendelea kupamba Moto kwani kila mtumiaji wa simu Jambo hili linampa kigugumizi hasa katika njia au kipengele Cha...
  13. JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa mtu mwenye hali ya chini ya chini ataathirika zaidi na tozo za miamala kuliko mwenye hela? Tazama Asilimia!

    Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!) Kwanini?: Msitizame TOZO tizameni %ge ya tozo! . Yaani ukituma Elfu hamsini kijijini mara kumi ikafika...
  14. JamiiForums Tanzania Ile hela ntakutumia kwenye Frester utaipokea Nyegezi. Ahsante Rais Samia unatusikia lakini?

    "Ile hela ntakutumia kwenye FIKOSHI, utaipokea Buzurugwa, Ahsante." Hivi ni vibonzo vilivyosambaa mitandaoni hivi sasa, Yawezekana ikawa ni kweli huu utaratibu wa kutumiana pesa manually ama kianalojia ukarejea upya. AMA inawezekana watu wanajaribu kufikisha ujumbe kwa njia hii ya kuwa tunarudi...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa walivyo na roho ngumu bado watasema tuma na ya kutolea

    Ni maajabu na ni maajabu kweli kweli ,licha ya kelele zote hizi bado utaambiwa tuma na ya kutolea kama unanipenda kweli. Lakini bado wanaume wa kweli tutatuma na ya kutolea.
  16. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa mabasi fursa mmetengenezewa hiyo hapo chukueni hela

    Habari zenu wanajukwaa! Tupeane namna ya kukwepa kutuma hela kwa simu Mana jamaa wanadai wazalendo Ila hata Mia Yao mbovu haikatwi pia hatunziwi hela wake kupewa wakizeeka Ila wewe ndiye wa kutunziwa pia ndiye wa kulipa Kodi ya kizalendo. Jamaa wamelewa Kodi zetu,kumbuka yeye hajui kuwa Kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali imepandisha sana gharama za kutuma na kupokea hela kwa simu, ole wake mtu aniambie tuma na ya kutolea

    Pongezi kwa bunge la kijani la Mwendazake kwa kuyafanya maisha ya Mtanzania yawe magumu kila kukicha.
  18. JamiiForums Tanzania Kuhusu kurudishiwa hela na HESLB pindi unapokatwa zaidi ya deni lako

    Habari za leo leo washikadau, Nimesikia kwamba inapotokea ofisi yako imekukata zaidi kwenye mshahara wako kuliko deni lako halisi bodi ya mikopo wanarudisha hela yako ndani ya siku 90. Hapa naongelea mfano deni lako lote lilikua ni milioni 5 lakini kwa bahati mbaya ofisi yako ikakata miezi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Serikali inatudanganya kuhusu Corona au ni siasa za kuomba hela IMF na Europian Union?

    Jana ilikuwa final za Euro 2020, 95%ya mashabiki wameingia uwanjani bila barakoa, chini za wenzetu wanaona haya mambo ya barakoa ni UPUUZI, England imetanganza from 19th July hamna haja ya Barakoa Sasa serikali ya Mama Samia kila siku mabarakoa na kuwatia watu hofu Nawashukuru watanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

    Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…