heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania John Mrema ni gwiji la siasa, John Mrema mmoja ni sawa na kujumlisha Lissu na Heche kwa pamoja, halafu hawafiki hata nusu

    Nimemsikiliza John Mrema, hii kichwa ni mali sana, ana uwezo mkubwa. One vs one Lissu na Mrema, Lissu anapigwa knock out dakika ya pili. Na atakimbilia kwenye kashfa na matusi Mrema ni genius political mind
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Heche anapolinganisha Israel na mikoa ya Tanzania ni uchovu wa kufikiri, Israel inalelewa na Marekani kama last born,wachumi wamjibu!

    Kama kuna mahali mabilioni kama sio matrilioni ya dola yanamwagwa, ni Israel. Kila wanachokifanya asilimia 95 ni mmarekani ndiye anafanya. Nashangaa kiongozi wa kitaifa wa chama anashindwa kujua hilo. Hata risasi zinazoua Gaza ni za Marekani. Wachumi wamsaidie. Mmarekani anacholeta Tanzania...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!

    Focus ya Lissu na Heche ipongezwe kwa manufaa ya taifa letu!. Lissu na Heche pamoja na kuwa watata wameonyesha utulivu wa hali ya juu na wame focus kwenye hoja ambazo sasa zimeanza kueleweka vizuri. Kwa muda mfupi sasa tayari agenda imenyooka kama panga. Hawa papara, hawatoi maneno mabaya na ya...
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema alaani vikali kiongozi wa Chadema taifa kupigwa na mlinzi wa Heche

    Nimesikitishwa na taarifa hii ya Chama ,pamoja na kutolewa kwa kuchelewa sana ,masikitio yangu yanatokana na mambo yafuatayo; 1. Chama hakikuona haja ya kulaani tukio la kiongozi wa wanawake taifa kupigwa na kuumizwa ,kipigo kilichotolewa na Mwanaume,bali kinasema ni taarifa zinazosambazwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mfupa uliomshinda Magu, Heche na CHADEMA wanauweza.

    Hello! Magu na uzalendo na upendo wake kwa wananchi maskini alishindwa kupiga marufuku kamari ambayo kwa jicho la haraka ni Kodi kidogo inaingia serikalini, lakini inaleta hasara kubwa kwa kuwafanya vijana wengi kutofanya kazi wakiamini betting ni mojawapo ya kazi. Pesa nyingi inaenda nje...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Heche Vijana wanahitaji ajaira si kubeti

    Hivi Heche anajua Katiba ya Tanzania na Uhuru wa Kufanya Kazi yoyote ili mradi hauvunji Katiba ya nchi? Au ndio wanataka kuleta Udikteta
  7. Bramo

    JamiiForums Tanzania John Heche ni zaidi ya Ibrahim Traoré

    Nimekuwa nikimfuatilia sana John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Ni wazi uzalendo wa John Heche kwa hii nchi ni zaidi ya Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traoré. Kwa Maoni yangu John Heche ndio anafaa kuwa Raisi wa hii nchi. Namtabiria Makubwa sana John Heche
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lasema linamsaka "anayedaiwa kuwa Mlinzi wa CHADEMA" kwa kumshambulia Mwenezi wa BAWACHA Taifa

    Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wamzuia Heche Kuzungumza na wananchi Mbarali

    Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
  10. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wanaiba pesa kisha wanawapa wananchi vitenge na mitungi ya gesi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche ashangazwa na wananchi kuwa na shida ya maji kwenye nchi yenye rasilimali nyingi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
  12. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche asema hakuna hata senti moja ya wanachama itakayopotea

    John Heche amesema hakuna hata senti moja ya mchango itakayopotea kwani fedha hizo huwa zinakaguliwa hadi na CAG. Amesisitiza pia kuwa CHADEMA kuna uwazi hivyo watu waendelee kuchangia. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  14. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Tunataka kujenga taifa la watu wanaojitolea ili wawe na nguvu ya kuhoji

    Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama "Tunataka kujenga jamii ya watu ambayo amabo wanajitolea, wanaifuatilia, wanaisimamia serikali, wanasimamia vyama vya saisa" -...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Siku Heche akirudisha posho alizolipwa akiwa mbunge nitakubalia na unafiki wake

    Moja wapo ya ahadi ya mwana TANU ni "Nitasema ukweli Daima,fitina kwangu mwiko" na Leo Nitasema ukweli kama mwanaCCM unafiki sitaki. Bwana Heche ameonesha kubeza posho ya 400000 walizokuwa wanalipwa wabunge ni kubwa. Sipo kwa lengo la kupinga au kukubali posho hizi ila nipo kuufichua unafiki wa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4!

    "Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4" Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CCM wanaishi kwa kuviziana hawawezi kufanya uchaguzi kama wa Chadema

    "Sisi tumekwenda kwenye uchaguzi tumewaonesha maana ya uchaguzi wa kidemokrasia, free, fair, transparent election ambayo haijawahi kutokea Afrika hawawezi hata na dola yao kuthubutu kufanya vile. We uliona wapi mtu anasimamia uchaguzi anaochaguli1wa ?" - John Heche, Makamu mwenyekiti Chadema...
  18. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche achaneni na sherehe za kumtoa Mbowe madarakani. Mjue mpaka leo Soka hajapatikana nyie mnafanya tafrija

    Tunaona bado mpo mnasherekea kumtoa Mbowe madarakani. Heche kachinja ng'ombe 20 na kapikiq wakurya sefuria 68 za ubwabwa. Lissu alifanya kufuru Ikungi watu wamekunywa komoni, wameitwa watambikaji kumzindika asiguswe kwenye kiti cha chairman, ni mwendo wa sherehe back to back za kumng'oa...
  19. 4

    JamiiForums Tanzania Kwenda mbiguni kwa elfu 20 wachache tungetoboa kama watz Kauli ya mh Heche , Wasira na uzee wako njoo.

    Wakuu amani ya Bwana ikawe juu yenu ,kila mmoja kwa imani yake . Mh Mbowe amelitendea haki Taifa , kwa kuwapika vijana, leo chadema ni Taifa jingine . Tumeanza kuona ccm inapigwa kama ngoma chini ya uongozi mpya wa chadema. Mbaya na kutosha M/ mwenyekiti Chadema anasema KAMA KWENDA...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Dkt. Slaa akifia Gerezani, Rais Samia atawaambia nini Wananchi? Uonevu ni kitu kibaya

    Hapo jana Februari 12, akiwa kwenye mkutano wake wa hadhara Sirari, jimbo la Tarime vijijini, Makamu Mwenyekiti Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche amehoji juu ya kukamatwa na kunyimwa dhamana kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Dkt. Wilbroad Slaa na pia...
Back
Top Bottom