Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche amefika Wilaya ya Chato, nyumbani kwa Rais wa Awamu ya Tano hayati John Magufuli, kupeleka kampeni ya chama hicho ya No reforms, No election.
Heche anayeongoza timu ya chama hicho katika ziara ya Kanda ya Victoria, ameingia Chato leo Mei 10, 2025...
https://youtu.be/jRUxerN3pq8?si=Ee2_5SrEbZWuZxhW
John Heche akiwa kwao Tarime aongea kwa uchungu sana kuhusu mabadiliko ndani ya Tanzania. Msikilize hadi mwisho. Ni zaidi ya Mpigania Uhuru enzi za Wakolone.
Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please
Erythrocyte
Kuna kitu ambacho police wamefanya leo na wengi hatuja waelewa?
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitafuta nani anateka watu na kuwatupa porini, majini na kwenye hifadhi za wanyama wakali , bila mafanikio.
Police wamekuwa wakilaumiwa japo na wao wanatekeleza maagizo.
Naona sasa hivi wameamua...
Ni kwasababu hayana mashiko wala maana yoyote kwa wanachadema na chama chao?
Hayawapi wanachadema uelekeo unaoeleweka wala matumaini ya chochote kuhusu mustakabali wa chama chao hususani baada ya uchaguzi mkuu wa october ambao ni wazi unaelekea kutafanyika kwa amani na wao wakiwa hawapo kwenye...
Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie.
===
Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na Blenda Rupia Mkurugenzi wa mawasiliano Chadema inaeleza
"Usiku huu tumempata kwenye simu yake Makamu...
Serikali imeeleza sababu za kukamatwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, katika eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema Heche amekamatwa...
Kamata Tundu Lissu, kamata John Heche, halafu kikao Cha Kamati Kuu kiitishwe, maazimio yawe No Reforms No Election ifutwe.
Makamo Zanzibar anakaimu uenyekiti halafu Tume inasemwa ilikosea kusema Kusaini Kuna mwisho. CHADEMA wanasaini.
John Mrema aliposema siku si nyingi watia nia wasikate...
Rais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
Kuna taarifa kutoka vyanzo vya ndani vya kiserikali kwamba Heche atakamatwa na kupewa kesi Kama ya Tundu Lissu hivi karibuni ili kuunyamazisha kabisa umma!
Mwenye kuweza kuomba juu ya Tanganyika na aombe!! Maana mateso yakizidi ukombozi waja
Heche akamjibu, kama unataka kutuelekeza kitu gan Cha kusema, Jiunge CHADEMA, uwe Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama ,
https://youtu.be/AjPXZwgFDjI?si=GMDzGrR72Oy73PMu
Kwa kutumia uwezo wa uwasilishaji wa hali ya juu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amejikuta akifanikiwa kuteka hisia za wananchi pale anapozungumzia kesi ya uhaini dhidi ya Lissu huku akitumia maneno "Wanataka kumnyonga Lissu, Wanataka kumuua Lissu".
Maneno hayo yanasababisha wananchi...
Makamu Mwenyekitu CHDAEMA, John Heche akiwa anaongea na waandishi wa habari April 12, 2025 ikiwa ni baada ya kutangazwa rasmi kuwa CHADEMA kwa kutofika kusaidi kanuni za maadili ya uchaguzi wamejiondoa rasmi katika kushiriki uchaguzi mkuu 2025 ametoa msimao wa chama, ambapo amesema...
1. Huyu Mkurya ndo Moto pengine kuliko Bryson!
2. Aisee kwann hawa watu hafanyi risk assessment? Heche ni Moto na haogopi pia Hatumii mihemko kama Bry!
Kwa mwendo huu inaelekea kwamba hatutapata matatizo yoyote kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu .
Halafu Polisi Ruvuma imewaambia Chadema kwamba haipingi mikutano yao ila Chadema hawana ruhusa kusema katika majukwaa,"No reform,no election."
Ukipenda kula vitu mlivyoteka Nyara vitani,Nenda vitani,sio ukae nyumbani na familia yako, walioenda kupambana wakirudi nawewe unufaike na mgao!
G55 nguvu zao zielekezwe kupinga uchaguzi usio wa haki uliosababisha watu kadhaa kupoteza Maisha na wengine Mali zao na kupata ulemavu.
Watu...
Usiku wa Aprili 07,2025, Wananchi wa kijiji cha Msanga kata ya Mitesa, Jimbo la Lulindi Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, wameuzuia nsafara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche, ambao ulikuwa unatoka kwenye mkutano Newala mjini kuelekea Masasi wakimataka azungumze neno
Katika siku ambazo Farhia Middle wa ITV hatazisahau ni leo wakati akifanya mahojiano na Makamu Mwenyekiti wa Chadema katika kipindi cha dakika 45!
Farhia ameshiba majibu ya maswali yote aliyouliza hadi akashindwa kuuliza maswali ya nyongeza!
Hakika kwa viongozi hawa wa Chadema wakiongozwa na...
Chama hivi sasa kimekosa nidhamu hasa kuibuka kundi G55.
Jukumu la makamu ni kuweka sawa nidhamu ndani ya chadema.
Heche kashindwa kazi hio, ajiuzulu kabla ya mambo kuharibika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.