heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Mama Heche nina maradhi ya moyo, kwanini mwanangu anafichwa?

    Shida yangu kubwa ni kujua alipo mwanangu, kwasababu watoto wa watu wengi wamepotea” Mama mzazi wa kiongozi wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche.
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Mnyika Kwa nini utoe taarifa za wapi alipo Heche, kwani wewe ndo ulimkamata?

    Katibu wetu wa Chama umenikera mno leo Kwa mara ya kwanza Kwanini utoe taarifa za wali alipo makamu Mwenyekiti wetu? Kwani wewe ndo ulimkamata? Police wamekaidi kutoa taarifa za wapi alipo, wewe Kwa kiherehere chako umeharibu kila kitu Ona tumekosa pa kuanzia Wakurya huko Tarime...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Familia John Heche yasema, haiko tayari kuona ndugu yao akipoteza maisha bila sababu ya msingi kwa sababu ndugu yao hana makosa

    Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa. ================== Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Makamo Heche ametekwa na Genge dogo Ndani ya Jeshi la Polisi la Akina Mafwele Makonda linaloendesha Utekaji na Mauaji Nchini.

    Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana. UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda. Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Heche kufuata njia ya Mdude na Polepole

    Ikifika kesho Heche hajapatikana, atapotezwa na kusahaulika kama ilivyotokea kwa Mdude na Polepole. Mafwele kapewa maagizo mazito sana . Hutaki acha, sitoi codes.
  6. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA fungueni kesi Haraka sana kumshtaki IGP aoneshe Heche Alipo kabla hawajamdhuru

    Kwa hali ilivyo huyu makamu mwenyekiti wa chadema anaweza kuuwawa. Kwasabau alichukuliwa katika viwanja vya mahakama na mpaka sasa hajafikishwa tarime ni vyema mkafungua shauri mahakamani Haraka sana .kwa hali ya sasa zikipita siku 2 au 3 wanaweza kumpoteza. Hali si nzuri Tena kwa sasa Poleni...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Heche: Suala la Uhamiaji kusema sikufuata utaratibu kwenye suala la kwenda kumzika Odinda ni upotoshaji

    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga. - Mamlaka za Tanzania zilitoa taarifa zikisema John Heche alivuka mpaka kinyume cha sheria.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wamekaa kimya suala la Heche kuzuiwa kwenda kumzika Odinga

  10. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naangalia procession maziko ya Raila just now, Diginitaries sijamsikia Heche

    Nimemsikia mtoto wa Magufuli Jesca. Nadhani kuna taratibu hazikufuatwa kuiwalilisha Chadema. Ilibidi atajwe. Any explanation kwa anayejua sababu? Au hajafika huko kwenye mazishi
  12. R

    JamiiForums Tanzania Heche ukirudi usalama wako nina mashaka nao

    Hawa siyo watu. Siyo watu kabisa. TAKE CARE PLEASE
  13. albab

    JamiiForums Tanzania Heche na watanzania yanayotokea sio bahati mbaya

    Salaam... Soma hapa Tetesi: - CHADEMA na vikao vya siri kuelekea maandamano ya Oktoba 29 Huu msiba ni kivuli tu mpango wa mwanzo ulikua itumike njia ya mtandao kuanzia tarehe 17/10/2025 na sio kwamba HECHE hakujua nini kitatokea mpakani ni basi tu kutengeneza unrest kama hizi ndio malengo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mdogo wake Heche na wengine wanne wakamatwa na Polisi usiku huu

    Enock Heche, mdogo wake Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche, na watu wengine wanne wamekamatwa usiku huu katika Mji mdogo wa Sirari, Wilaya ya Tarime na wamepelekwa kituo cha Polisi Tarime. Hawajaelezwa sababu za wao kukamatwa.
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  16. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Lema kama unasema serikali ndio watekaji na wauaji mbona wamwomba Mama akulinde. Mama si ndiye mtekaji wenu mlisema. Nyenyenye!

    Miye kila siku nawaambieni huko kwenu kumejaa nyoka hamtaki kusikia. Huyo kakimbia anawatoa nyumbu wengine kama chombo. Lema mnajiteka wenyewe alafu mnamsingizia Mama. Mkivurugana mnaomba msaada kwa Mama. Na bado
  17. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

    Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba He who alleges must prove
  18. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tata John Heche hakikisha unaendelea kuwachanganya wasijue unapolala

    Kama kuna mtu muhimu kwasasa basi ni wewe. Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!
  19. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Heche: Muachieni Polepole na viongozi wetu wote haraka

    Kupitia ukurusa wake wa Instagram Makamu Mwenyekiti CHADEMA ameandika haya....... "Kukosoa serikali sio jinai, kukosoa mienendo ya serikali na uongozi sio kosa lolote kwenye Nchi hii. Hatukubaliani na utekaji na utesaji wa Watanzania kwa kisingizio kwamba wanakosoa serikali ya Rais Samia...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
Back
Top Bottom