Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.
GTs,
Heche bila matusi utaeleweka zaidi ila ukiendelea na matusi unajilaani.
Heshimu viongozi ngazi zote, waite kwa majina ya staha. Mheshimu sana rais na taasisi zake zote. Hautapungukiwa na kitu. Jijengee heshima ya kuwa na lugha ya staha. Jenga hoja zaidi.
Pia fanyeni mchakato mje na jina...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe.
"Ukiwa unapiga...
Ndugu zangu Watanzania,
Naona Sasa Demokrasia na uhuru hapa Nchini Umepitiliza Mipaka na kuvuka mstari wa demokrasia na uhuru unaopaswa kuwepo hapa Nchini na mahali penginepo pale popote Duniani. Uhuru umezidi mpaka sasa watu kama akina Heche wanafikia hatua ya kusimama kwenye magari yao...
Kuna baadhi ya mambo tunaanza kuyaona kama ni kawaida kumbe ni kutweza utu wa mwanadamu.
Polisi anakulinda live kwenye mkutano halafu unaamua kumdhalilisha.
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema Chama hicho kitaendelea kuwa Bora nyakati zote kwa Sababu ya Muundo wake mzuri katika ngazi zote, na Kikiweza kuhimili Vishindo vya Chaguzi za Ndani na Nje ya Chama hicho Tawala, huku akivishauri...
Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida.
Tumpe maua yake talent ni...
Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku
Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi.
Kumbe mikutano ibaandaliwa...
Naapa sitoondoka Chadema labda Makamanda Tundu Lissu na Heche wasiwepo duniani,
Maana hawa wengine nimegundua walikuwa nyoka tu,akiwemo kiongozi wao Mbowe
Na sitokuja kujiunga na Chama chochote kile,labda kiwe chini ya hawa makamanda Tundu Lissu na Heche,
lakini siyo hivi vyama vya waganga...
Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka.
Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika.
Na...
Siasa ni saikololojia....siasa ni mbinu...siasa ni kufitinishana.
kwa kuwa Ccm kwa makusudi, imeamua kuhamisha attention ya wananchi kuhusu mambo yao muhimu....na kuyaelekeza kwenye kujadili michezo na wasanii......
Nashauri Chadema nao wapige hapohapo kwenye mshono.
John heche, hebu badilika...
Akiongea na wanahabari mkoani Morogoro ambapo yeye na wanachama wengine wamejivua uanachama wa CHADEMA, Devotha Minja amesema kuwa Makamu Mwenyekiti ameshindwa kuitisha kikao cha kamati kuu ili kwa pamoja wakae na kujadili madhila ambayo chama kinapitia kwa sasa ikiwa ni pamoja na kesi...
Serikali ya CCM, Rais Samia kama kuna watu wanakushauri haya basi wanakupotosha sana.
Nafikiri hamjui kiu ya Watanzania kutaka mabadiliko. Kila hila mnazopanga na kufanya dhidi ya chama chetu mnakiimalisha zaidi.Sisi hatutawapigia magoti.
ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA
Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana.
Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu...
Nimepenyezewa habari usiku huu kwamba Polisi wameambia wa cancel kwanza ukamataji wa Heche hadi ugeni upite kwanza.
Ukamataji wa leo ungeleta picha mbaya sana kwa Mheshimiwa Mama hivyo ikapendekezwa ifanyike baadae wiki hii na possible ni ijumaa.
Uhakika wanataka wamkamye na wamuunganishe na...
Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano...
Makamu mwenyeketi wa CHADEMA bara John Heche ametoa taarifa kupitia mtandao wa twitter( X) kuwa muda wowote kuanzia sasa wamepanga kumkamata.
Ni kheri Magufuli yeye alipiga marufuku kabisa shughuli za siasa, kuliko hii hali ya kukamata, kuua na kupoteza watu.
Moto wa no reforms no election...
Habari za leo,
Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi.
Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri.
Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
chama tawala
heche
john heche
lissu
lissu 2025
lissu vs samia
mbio za uchaguzi
prof. anna tibaijuka
samia
samia 2025
samia suluhu
samia suluhu hassan
siasa tanzania
suluhu
tanzania
tundu
tundu lissu
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
urais 2025
vyama vya upinzani
Huyu mzee wetu Wasira alikuja kwa mbwembwe akitamba kwamba gari ni injini, lakini alisahau inategemea ni aina gani ya injini. Mzee wetu sasa ni takribani wiki 2 hasikiki wala kutetema popote. CCM mlikosea sana huyu hawezi kukabiliana na Heche.
Heche kwa nyomi ya watu wanaojitokeza kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.