haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Fahamu haya kuhusu vitambi, sababu zake na namuna ya kushinda

    Fahamu kitambi, maana yake,na sababh zake Kitambi hutokea kwa sababu mbili tu 1.Kula chakula kisicho kadiri yako Yani kula chako,Cha watoto,Cha mkeo na Cha jamii Yako matokeo yake ni kitambi kwaufupi ni Ubinafsi 2.MaumbIle ya mtu Kwaujumla asilimia zaidi ya 90 ya wenye vitambi ni matokeo ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

    KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kukataliwa na Mungu wako. Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi. Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha. Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu. 2. Maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Haya maisha usiwe mwepesi kuhukumu. Manabii niliowatukana kwa kuwaita mashoga ndio walionisaidia kwa kiwango kikubwa kuliko mtu yeyote duniani

    Ilikuwa 2023 hivi kama sitakosea, manabii 2 vijana kutoka Marekani Lovy Elias mwenye asili ya Kongo na Passion Java mwenye asili ya Zimbabwe walikuja Tanzania kwa huduma. Kwa muonekano wao nikasema hawa ni mashoga wametumwa na Ibilisi kusambaza ushoga. Jf niliweka nyuzi kuwasagia sumu ...
  4. JamiiForums Tanzania Aina 3 za wanawake kwenye ndoa wakati wa mapenzi..[unaejipanga usiseme sijakwambia].ukioa ukubaliane na haya

    ✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano) KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA WAKO YUPO KUNDI GANI 1️⃣AINA YA KWANZA ya Mwanamke ni Yule ambaye yeye ana hamu Muda wote ( Yaani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya form 4 yanaonesha wazi mikoa ya kaskazini iko juu sana kielimu, tofauti yao hawapendi kujisifu na kujigamba kama mikoa mingine inayofuata

    Nimekutana na matokeo haya ya mikoa, ya kwanza ni kwa ufaulu wa division 1 hadi 3, ya pili ni division 1 hadi 4, Matokeo nayoamini yanaonyesha ufaulu wa uhakika ni division 1 hadi 3. 1. Division 1 hadi 3 Top 3 zote zinaenda mikoa ya kaskazini na wala hakuna kelele. 2. Division 1 hadi 4...
  6. JamiiForums Tanzania Haya mambo yanawachanganya sana watu kiroho. Call (Wito) Destiny (hatma ) na fate

    Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi 1 .Call , (Wito 2. Fate 3 . Destiny (Hatima) Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua. Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar 2: Lipi ni jibu sahihi kati ya haya

    SOMA PIA: https://www.jamiiforums.com/threads/wazee-wa-grammar-lipi-ni-jibu-sahihi-kati-ya-haya.2415618/
  8. JamiiForums Tanzania Ili kuzuia Tanzania isiendelee kuangamia haya yafanyike

    Ukweli ni kwamba nchi yetu inahali ya kisiasa na kiuchumi mbaya sana.hali ambayo imesababishwa na uongozi mmbovu.tunaongozwa na viongozi waovu. Ili mambo yabadilike viongozi waovu waondolewe kuanzia Rais na wenzake,siasa ziwe bora,haki itawale ndani ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Haya nyie watu, mnakubali nchi ya Tanganyika inauzwa, mnadhani mtahamia arabuni cum zenji na koo zenu hiyo siku ikija?

    Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

    1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame 2. Masai 3. Wakinga 4. Wangoni 5. Wajita 6. Wagogo Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma...
  11. JamiiForums Tanzania Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa. Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi majambazi kuuwa watanzania ili mpate madaraka sasa nini cha maana mlicho ambulia ? mpo kama makichaa...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana hasa wa Kizanzibar na DSM, sikieni, Haya maneno eti "KWANZA UMENIKUTA MJINI" hayana maana yoyote ikiwa bado wewe hoehae wajitafuta

    Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣 Mfano...
  13. JamiiForums Tanzania Wachina waja na maji haya, wanaliteka soko mdogo mdogo

    Jana nipo Kariakoo nikaagiza maji nikaletewa maji haya muuzaji akinambia yanaitwa “Mshangazi” ikabidi nicheke. Nikaambiwa wengine wanayaita “Bonge la Dada” Mchina kaja na maji mengi kwa bei ileile nafuu, yaani 1.8L Wazawa wamelala, wakija kushtuka hawana chao
  14. JamiiForums Tanzania Wazee wa grammar, lipi ni jibu sahihi kati ya haya?

  15. M

    JamiiForums Tanzania Haya maneno yanayosambaa kuhusu Group O+ yana ukweli au ni tabia ya mtu ?

    hawapendi mgeni akae muda mrefu hawapendi kukaa ugenini wana marafiki wachache sana au hawana hupenda kujifungia hawapendi kuona mtu anaonewa mbele yao wanaogopa sana mikopo mikubwa, hawapendi kelele za kudaiwa
  16. JamiiForums Tanzania Urafiki wa polisi na raia umeharibika sana kwa sababu ya matukio kama haya ya watu kufia mikononi mwao kwa mateso na ukweli unageuzwa

    Siku chache baada ya mahabusu Michael Rambau (18), kudaiwa kujinyonga ndani ya Kituo Cha Polisi Kati-Moshi, mkoani Kilimanjaro, waombolezaji waliokuwa wamekusanyika leo nyumbani kwa wazazi wa marehemu huko Rau, Manispaa ya Moshi ili kushiriki ibada ya maziko yake, wanadaiwa kumfukuza na kumzomea...
  17. JamiiForums Tanzania Samia, kwenye haya mauaji ya halaiki hauchomoki. Hata uvae mbawa za malaika hutoki

    Majibu ya kebehi unayowapa wananchi wanaolilia wapendwa wao uliowaua kabla na baada ya Oktoba 29 2025 yapo recorded na yanatafsirika. WHO ARE YOU anakuja after YOU Unajibebisha kwa mabalozi ukidhani ni matopolo kama Johari. Umeramba garasa bibie. Wewe na wenzako akiwemo huyo boss wako...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je unajua mambo haya ?😀😃😄

    Je unajua AKILI ndiyo kiunganishi kikubwa kati ya kile Tunachoamini (imani/Roho) Kile tunachofikiria ( akili) Na kile tunachofanya ( mwili) Namna unavyofikiria huathiri maamuzi na maamuzi huunda maisha Tambuwa akili ni kama radio inaweza kupokea mawazo mazuri na mabaya ILa tambua...
  19. JamiiForums Tanzania Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

    Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7 Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana! Maajabu hayaishi duniani.
  20. JamiiForums Tanzania Haya ni masharti ya waganga ili uwe tajiri wakutupwa , je utaweza?

    1. Hakuna kumbato demu kwa kipindi fulani au maisha yako yote ila unaruhudiwa kupiga nyeto tu mfano mzuri chief godlike 2. Usiwape fedha ndugu zako wa damu hata iweje na siku ukifanya hivyo utafirisika vibaya. 3. Huruhusiwe kuoa maisha yako yote adi unakufa 4. Huruhusiwi kumpa fedha mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…