haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa mambo kama haya maridhiano yatapatikana? Au wamechukia Lissu katajwa na Bunge la EU?

    Hawataki kabisa Lissu atembelewe na makada wa CHADEMA
  2. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vijana Hatujazoea Kulalamika, Lakini Haya Yanayotokea Sasa Ni Beyond Uvumilivu!

    Jamani wana JF, kuna jambo linaniumiza sana na natamani tulijadili kwa uwazi bila kuogopa. Kila siku tumekuwa tukisikia kauli zinazotuambia, “Vijana fanyeni kazi, acheni kulalamika.” Sawa, lakini mnataka kuniambia kweli vijana wa taifa hili hawafanyi kazi? Ukweli ni kwamba vijana tumepitia...
  3. toriyama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa

    VIDEO: Gwajima aliwahi yatabiri haya yanayotokea sasa
  4. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania TBT: Unakumbuka nini maeneo haya?

    Hapo pembeni karibu na jengo la Tanesco ndipo palikuwa stendi ya daladala ubungo. Wewe unakumbuka nini maeneo hayo?
  5. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hii taarifa kwamba Malkia anakunywa maji kutoka Marekani imekaaje?

    Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani. Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??) Eti...
  6. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Je, wakati wageni wanamiminika kwa wingi kuja Tanzania kuleta fujo JWTZ wenye jukumu la kulinda mipaka walikuwa wapi?

    Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye. Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini? Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
  7. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Samia kwanini unakwepa haya maswali?

    …………
  8. C

    JamiiForums Tanzania Katika haya madhehebu makubwa RC pekee wameoesha kuuishi ukristo kwa vitendo, KKKT ni wanafiki wakubwa,ANGLICAN na wengineo wanafiki pia

    Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi Nimewadharau sana KKKT...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela

    Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
  10. G Sam

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni roho ngumu tu, ila Rais Samia angekuwa na UTU, angeondoka Ikulu kwa haya mauaji na ubakaji uliotokea akiwa Kiongozi Mkuu wa nchi

    Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI! Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
  11. Ileje

    JamiiForums Tanzania CDF Mkunda amechangia kwa kiwango kikubwa kutokea mauaji ya maangamizi ya wananchi

    Tangu tupate Uhuru haijawahi kutokea Mkuu wa Majeshi (CDF) kulihutubia Taifa kwa njia yo yote ile. Jambo lililo wastaajabisha wengi ni pale CDF General Mkunda alipojitokeza mbele ya vyombo vya habari na kumuunga mkono IGP katika harakati za kuua wananchi kwa kisingizio cha kuzima maandamano ya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Tume ya Enquiry Haijaundwa - Haya Yafanyike kwa Haraka

    Wanabodi, 1. Waliotekwa wote waweze kuachiliwa na kuwarejesha katika familia zao. 2. Miili ya wale wote waliokufa kwa kupigwa risasi warejeshewe familia zao wakazike. 3. Mafisadi waliopata Magari ya kifahari pasipo chanzo kinachoelezeka wafilisiwe. 4. Waliohusika kupiga risasi raia wa...
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi kama Christopher Mtikila angekuwa hai Samia na wenzake wangeyafanya haya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Mtikila alijulikana alivyowatikisa watawala akiwamo Nyerere mwenyewe. Je, ahgekuwa hai, kweli haya mambo yangefanyika au kuishia hivi?
  14. Think2

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mwenye ya Mungu hawezi kufurahishwa na haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini

    Ni wendawazimu pekee wanaoweza kufurahia ushuzi huu nchini eti kiongozi mkubwa kabisa anaongea utumbo mbele ya vyombo ya habari eti walipigwa risasi sio watz ni raia kutoka nje, wakati watoto wetu dada zetu na wajomba zetu wamepigwa risasi wakiwa nyumbani swali hawa ni raia wa kigeni? Nahisi...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Maendeleo haya wakiyaona Wakenya wanaumia sana wanataka tufanane nao - Na maadui wengine wanataka wafanye wao Tanzania oyee

    VIta vya kiuchumi ni halisi wengine wanadhani kwamba ni matani matani ya kwenye mitandao ya kijamii. Adui atatumia mbinu zote kuhakikisha kwamba tunakwama na yeye aendelee kuwa juu. Haya maendeleo yanamfanya adui wetu azidi kuumia. Anajiuliza why them not us? atika Afrika Mashariki, kuna...
  16. Keynez

    JamiiForums Tanzania Haya mambo yalitokea kabla tu ya maandamano ya kihistoria Tanzania ya MO29

    Niliwahi kuleta uzi kuelezea mambo kadhaa yaliyofuatana kabla tu ya Mapinduzi (kama unaweza kuyaita hivyo) yaliyomtoa Robert Mugabe madarakani. Nia ni kuonyesha kwamba kulikuwa na "clues" kama ungekuwa na jicho la tatu la udadisi. Leo nitatoa list ya mambo kadhaa yaliyotokea kabla tu ya...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Haya Wanajeshi mjipange Sasa, Niliwaonya , Kuna Panga linaenda kupita huko kwenu wanatafuta Wanajeshi wanaounga Mkono Wananchi

    Niliwaandikia hapa https://www.jamiiforums.com/threads/wanajeshi-mnaoungana-na-wananchi-hakikisheni-nchi-inakombolewa-duru-zimethibitisha-samia-akifanikiwa-mtafanyiwa-persecution-ambayo-haijawahi-tokea.2394820/ Hamkua Serious, Sasa na nyinyi Kilio kilekile tulicholia wakati wa Usaliti wenu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matumizi ya Tsh 600B za uchaguzi!!! Tusishangae vijana kuchoma nchi

    Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Samia isn’t helping herself: Haya ma-Lamborghini na ma-Limousine ya kazi gani?

    Nimeona gari mpya za Samia; ni kama amekuja kutokomesha kwamba tulishoboka na zile Rolls Royce za mwanae? Yeye kaja sasa kutuonesha kwamba hatukuwa tumeona kitu bado. Na bado duru zinasema tayari imenunuliwa ndege ya Rais ambayo hatujapata kuona Afrika, na mnunuzi ni yule yule tena mwanae...
  20. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nilijiona mbabe wa kuangalia Horror movies, ila haya yamenishinda

    Mtoto anakimbia na mama yake anapigwa shaba anakufa taratibu huku anaona analia mama amka..? Kijana anakufa taratibu wakati utumbo wote umemwagika nnje?? Watoto wanalia mamayao kafuatwa hadi ndani kapigwa shaba wanalia juu ya damu iliomwagika??? KWASASA SITOANGALIA VIDEO NYINGINE KWA...
Back
Top Bottom