Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.
Shutuma hii inawapa watu wengi maswali wakijiuliza anasa kwa vijana wa Kizanzibari imekithiri kwa kiwango gani hata kufikia kupeleka malalamiko mitandaoni
Je haya yasemwayo ni kweli vijana wa Kizanzibari wanayafanya?
Binafsi nawachukulia vijana wa kizanzibari kama watu wapole na wanyeyekevu...
Ukifika muda wa jioni China Guangzhou ndio unakuwa muda wa wamachinga ili kuondoa msongamano na wenye maduka ila pale Kariakoo hakuna ilo.
Kizuri pale Guangzhou ndio muda ambao wajasiliamali wadogo hususani wauza vyakula unawakuta wengi wakiwa na mabanda yao.
Kinachonifurahisha kila mtu ana...
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila...
Tokea kushika kijiti kwa JPM kumekuwa na matukio ya kutisha na ufisadi wa kutisha.
Kuna kisa kimoja nimekumbuka hata nchi kubwa wanatumia sana zengine tunaona kwenye movie.
Ukishapangiwa majukumu na mkubwa wako na mission ikawa inakwenda kumfichua mkubwa wako ni wazi unatakiwa kupotezwa ili...
1. Submeter ni nini?
Submeter ni kifaa kinachotumika kugawa au kupima matumizi ya umeme kwa mtu mmoja mmoja ndani ya jengo au eneo moja. Mfano: kwenye nyumba za kupanga, kila mpangaji anapata bili yake kulingana na kiasi alichotumia.
---
2. Submeter inafanyaje kazi?
Submeter hupokea umeme...
Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili
Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka
Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto...
Hamjambo!
1. Waislam ni kama Kaini kwa ndugu yake Habil. Wanaona wivu na kuwa na hasira na maendeleo ya Wakristo.
2. Mimi kwa upande wa Baba ni Waislam. Mara yangu ya Kwanza kuingia msikitini nilishangaa Sana. Waislam wengi hawajaujenga uislam kama taasisi.
3. Unaweza kuingia msikitini Siku...
Haya ni matukio 10 yaliyowahi kutokea na kutikisa nchi tangu.Hayo ndo matukio ambayo sio rahisi kufutika na kusahaulika vichwani mwa watanzania walio wengi. yapo kwa mpangilio kuanzia namba 10 mpaka namba 1. kama kuna tukio lingine limesaulika ongezea.
10•••1982: Ndege ya Air Tanzania...
9 desember ni mpango wa Mungu inaongea vitu ving kwa pamoja
Kwanza ni arobain ya watu waliouwawa tarehe 29 mwez wa 10 9 desember inatimia siku ya 40 mwisho wa msiba
Ukifungua biblia zabur 9 mstari wa 12 yaan 9 desember inatajwa humo kwenye biblia fungua usome .
Je unafaham maajabu gan...
Jamani wana JF, kuna jambo linaniumiza sana na natamani tulijadili kwa uwazi bila kuogopa. Kila siku tumekuwa tukisikia kauli zinazotuambia, “Vijana fanyeni kazi, acheni kulalamika.” Sawa, lakini mnataka kuniambia kweli vijana wa taifa hili hawafanyi kazi?
Ukweli ni kwamba vijana tumepitia...
Mimi ni mjumbe tu, huko kwenye live ya Bunge la vijana wa Gen z wanadai malkia ana bajeti yake ya maji ya kunywa kutoka Marekani.
Wanadai box moja zinakaa chupa 6 ambazo gharama mpaka kulifikisha hilo box moja la maji ni 704,000 TZS ( na joto la Tanzania anaagiza box ngapi kwa mwaka??)
Eti...
Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye.
Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa wanafanya nini wakati wageni waleta fujo wanaingia nchini?
Mbona hakuna wageni waliokamatwa baada...
Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi
Nimewadharau sana KKKT...
Ile video ya mochwari sio AI hata kidogo tuache kujiaibisha na kutia watu hasira haya yote ni kwasababu tu ya madaraka samia ? huyu lazima aende jela
alafu heti hawa wizara ya afya wameipost ile video sio AI kuipost ni kujiaibisha kimataifa ile video sio AI kabisa wanaendelea kujivua nguo...
Kwanza niwapongeze watanzania majasiri waliofichua siri zilizofichwa ili kumlinda Samia na genge lake.
Hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataona haya mambo halafu aendelee kumuheshimu Samia. NIKIWEMO MIMI!
Nimeona videos namna watanzania wenzetu walivyouawa na kulundikwa kama magunia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.