Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

Wenye hela wananishangaza. Maajabu hayaishi duniani

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,121
Reaction score
138,089
Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers, Bentleys, Porsche, latest BMW X5,6,7

Wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana!

Maajabu hayaishi duniani.
 
Kaka mbona maskini tupo busy na chips kavu kuuzwa 2000 na zege kuwa 3000.. Hapo bado nyama imepanda around 14k kwa kilo

Hao maskini wanaojadili G wagons. Aidha wanafanya kazi garage au wapo kwenye hali ya "sizitaki mbichi hizi"
 
Ukiwa tajiri hakuna kitu utashindwa kumiliki, ukiwa maskini hakuna kitu utaweza kumiliki.

Wakati naanza maisha miaka ya 2000 nilikuwa na Corolla wagon DX, huwezi amini kuna kipindi nilikuwa napaki sina mafuta. 😊

Hela ndio inakuwezesha kuishi hali flani financially and mentally, ndio maana kuna watu wana sheli ndani ya nyumba zao, kuna watu wana wanalipa kwa BILL mafuta yao. Kila mwezi inakuja Bill ya mafuta.

Life is not fair.
 
Yaani hapa mm sijielewi sijui ni masikini au tajiri. Maana nikiwa nimelala nakuwa naishimaisha ya kitajiri sana ndotoni. Asubuhi nikiamka naishi maisha magumu sana. Yaani sujawahi kuishi maisha shida usiku hata ni kilala njaa, ndoto nazoota ni Raha tupu mpk natamani kusikuche.
 
Huku mtaani wenye hela zao wako busy kununua 2024 Range Rovers. 2025 G Wagons, 2023 Ford Rangers,Bentleys,Porsche, latest BMW X5,6,7 wakati huo huo huko mitandaoni masikini wako busy kusema usinunue hizi gari ni mbovu sana! Maajabu hayaishi duniani.

Hao masikini wa mtandaoni huwawanatoa ushauri kwa masilini wenzao...
 
Kaka mbona maskini tupo busy na chips kavu kuuzwa 2000 na zege kuwa 3000.. Hapo bado nyama imepanda around 14k kwa kilo

Hao maskini wanaojadili G wagons. Aidha wanafanya kazi garage au wapo kwenye hali ya "sizitaki mbichi hizi"
Mkuu masikini wapo busy sana labda hujakutana nao tu kwenye anga zao.
Issue kubwa ni gharama ya maintenance.
 
Mkuu anaetoa $200,000 kununua gari hajui kuwa kuna gharama za matengenezo?
Matajiri maintainance sio shida zao,Range rover watampa warranty ya miaka 4 au miles 50,000 chochote kitachowahi kabla ya hapo.Baada ya hapo wataya dump watakununua mengine mapya afu masikini watakukuja kuyanunua wapambane na matengenezo.
 
Halafu kwa umaskini wetu tunaanza kulialia magari mabovu yanakula hela!
 
Back
Top Bottom