haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea umeibiwa simu, zingatia hatua hizi

    Watu wengi wanaoibiwa simu hujikuta katika hali ya matumaini ya kukuipata simu haraka iwekenavyo huku wakisahau kuwa wezi wa simu nao huwa na mbinu mbalimbali ambazo huzitumia ili simu waliyoiba isipatikane kirahisi. Sasa ikitokea umeibiwa simu, fuata hatua hizi Hatua za Haraka Tulia na...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
  3. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Haya makato NMB mbona sijayaelewa

    Guys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi. So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii, mida ya jioni nimeangalia kwenye akaunti yangu ya NMB nakuta ipo 289, 571 nimeshangaa hiyo elfu 10 na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Windows 10, The end is 14 October 2025, haya ndio mambo muhimu unayopaswa kuyajua na hatua za kuchukua

    A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Mitindo, Tupeane dress code za Beach

    Wakuu. Tupeane dress code za beach leo. Kwa wanaume na wanawake. Na wapi unaweza pata izo dress. Kuna wakina sisi kila sehemu tunavaa jezi ya Arsenal, angalau tuweze shine mara moja moja. Pamoja. PS: Tupo jukwaa la Lifestyle, nisikaripiwe.
  6. Think2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wanawake wa kabila gani wanaosifika kwa mambo kama haya?

    Apo kamfunga mumewe asitoke na mwanamke mwingine. Wanawake bana 🤣🤣
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nature inaruhusu haya yote ili yatimie

    Yanayotokea nchi hii kwa sasa sio kwa bahati mbaya, bali ni kazi ya Nature ili jambo fulani litimie. Mpaka sasa hata wale vipofu wameshajua na kuelewa kuwa hali sio shwari tena. Muda utasema.
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Butiku usipokemea anayopitia Polepole, Umeshiriki kuivunja Tanzania

    Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime. Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa "Gloves are off". We need to...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Mama Samia fanya haya kujiokoa

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Ukiwa unahutubia watu jiangushe chini puuu kama mzigo wa Kuni, Kisha muite mkuu wa majeshi mwambie siwezi tena kuendelea kuongoza maana hali yangu kiafya ni mbaya sana Kwanini ufanye hivyo? Ili uwakwepe hawa wana mtandao ambao wanataka...
  10. Lamomy

    JamiiForums Tanzania Haya yote yanatokea sababu wananchi hawana pa kusemea

    Ni kwamba serikali na viongozi mlitegemea nini mnapomfunga mtanzania kutoa malalamiko yake?! Mwanzo watanzania tulizoea wapinzani watusemee na kutuwakilisha kwa kile kinachotuumiza mioyo yetu. Mkaona sio sawa mkaamua kumchukua na kumuweka kizuizini mwenyekiti wa upinzani, haitoshi mkafungia...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza Tangu mtoe...
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Nimebaini haya kwenye uongozi, siasa na hulka za watu

    Uongozi wowote ule haukosi upinzani hata kama uwape mahitaji watu wote kwa kutosheleza!, pili kwajinsi mpangilio wadunia ulivyo kuichumi hautoi nafasi kila mtu kuwa na uchumi sawa!, alasivyo mambo yatavurugika na wanaolijua hilo lazima walidhibiti kwa hali na mali!. Hivyo kuwepo kwa matabaka...
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nyerere road inashangaza kwa haya mabango

    Yani kilichofanyika ni kama kumlazimisha mtoto akubali kua mama wa kambo ndio mama yake mzazi hali yakua mtoto anamjua aliyemzaa ni nani. Yani ni kama umemfunga mpinzani wako mikono halafu unasubiri ipigwe kengele utangzwe mshindi. Sijawahi kuona upuuzi kama huu hapa duniani.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaopoteza muda wenu kutwa Kuniuliza nipo Single, haya hapa majibu yenu

  15. B

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Mwabukusi awalipua haya kuhusu wanaharakati na CHADEMA

    Wakuu, nimekiona hiki kipeperushi je, kina ukweli kwa haya yaliyoandikwa kwa kurejelea mahojiano aliyoyafanya Mwabukusi na kituo cha Clouds TV?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kibinadamu ilinibidi nilimrudishe binti wa dukani baada ya kujifungua lakini kibiashara nahisi nilikosea heri ningempa mtaji

    Katika moja ya duka kuna binti nilimweka alikuwa na uwezo wake wa kipekee, nilitokea kumkubali sana sio tu kwenye mauzo lakini hata kwenye kujitoa, uaminifu, kunipa ideas, kuweza kuvutia wateja, n.k. Akiwa na mimba ya miezi 7 nilimwacha aende kupumzika kwao huku nikiendelea kumlipa, niliweka...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Bongo ukiwa mkimya utasemwa na ukiwa muongeaji utasemwa pia

    Maisha ya bongo ni jihadi kwa kweli! Ukiwa mkimya utasemwa unajisikia na ukiwa muongeaji utaitwa mjuaji licha ya haya usiache kuishi kwa namna yako "MTAZAMO WAKO KWANGU NI TASWIRA YAKO" Kuna wakati utagundua ulipoteza muda kuwa na hurka ya kuridhisha watu, ulipoteza muda kuhukumu wasioendana...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vipato vyetu na matumizi ni maji na mafuta kiukweli kwa maisha haya Tanzania

    Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum. Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu. Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump. Kazi anazofanya kama...
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Just imagine baada ya haya yote unaishia kuwa winga tu

    Daaah inasikitisha
  20. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi Stan Bakora kupiga magoti kama hivi mapenzi kwa Chama au ni njaa kama Faiza Ally alivyosema?

Back
Top Bottom