haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ajali ya mwendokasi tarehe 22/02/2023 tujiulize maswali haya...

    Majuzi imetokea ajali ya kutisha ya basi la Mwendokasi liliyokuwa inatokea Kivukoni. Miaka 3 iliyopita ilitokea ajali maeneo ya Utumishi jirani na kivukoni ambapo mtembea kwa miguu alikuwa anavuka kwenye zebra aligongwa na basi la mwendokasi na kufariki hapo hapo. Aliyefariki ni jirani yangu...
  2. JamiiForums Tanzania Yajue haya kuhusu sisi wapare mengine yakishujaa mengine yakusikitisha !

    1. Eneo linaloitwa kavambughu. Hapa tuliwapiga wambugu kwenye vita na eneo hili lipo mpaka leo. 2. Eneo linaloitwa Nkhoma ya mkwavi au fuvu la mmasai. Hapa wamasai walituvamia ikapigwa vita kubwa tukawauwa wote tukashinda vita na eneo hili lingalipo mpaka leo. 3. Jiwe la mkumbavana. Hili ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kifo na kuokotwa kwa maiti ya mwalimu huyu kunaleta mwanga kwa matukio mengine kama haya

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mganga-wa-kienyeji-wenzake-wanne-wakamatwa-madai-mauaji-wa-mwalimu-musoma-4133972
  4. JamiiForums Tanzania Nyie ambao mmeacha kuzagamua wake za watu mmewezaje? Tupeni mbinu ili na sisi tuachane

    Kwa mliofanikiwa kuacha kuzagamua wake za watu mliwezaje wakuu? I know cheap is expensive I need to get rid of such behavior NB: Wake za watu ndio wameharibu hii taasisi ya ndoa kwa kiwango kikubwa maana kila ukimjaribu mke wa mtu imo na wengi hawatuambii kuwa wameolewa.
  5. JamiiForums Tanzania Haya wazee wa masong challenge hizi ni lyrics za wimbo gani na msanii gani na anatoka wapi?

    Say nobody fit to stop my shine I no fit die ’cause it’s not my time Man, I’m on my grind And na only money dey my mind Sey na only money dey my mind Oh-oh-oh See, I don’t care about no enemies They envy me, they tryna get to me But na only money dey my mind Sey na only money dey my mind Oh, eh...
  6. JamiiForums Tanzania Hautaki kumwaga haraka? Fanya hivi

    HAUTAKI KUMWAGA HARAKA? FANYA HIVI. Anaandika, Robert Heriel Asome kuanzia mwenye miaka 18. Nakupa Tips chache tuu. Mambo ya dakika moja chali utabaki kuyasoma mitandaoni na kuyasikia. Hata twende Sawa! 1. Tawala presha na Mzunguko wa damu kwenye Uume. Tayari upo na mwenzi wako kitandani...
  7. JamiiForums Tanzania Katiba Yetu Ina Matobo: Serikali Ikikosea, Inashitakika. Je, Bunge na Mahakama Zinapowakosea Watanzania Kama Makosa Haya Tunawashitaki Wapi?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa, Nipashe ya Leo. Leo ilikuwa niendelee makala ya wiki iliyopita kuhusu upatikana wa haki kupitia dhana ya Usuluhishi, lakini kwa vile makala ya wiki iliyopita ilibeba kichwa cha habari Je Wajua, Mhimili wa Mahakama Usipotenda Haki Unaweza Kushitakiwa?. Pongezi...
  8. JamiiForums Tanzania Haya ndio CHADEMA waliyoyazungumza toka mkutano ya siasa imeanza

    Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake. Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza. Hiki chama kimeshajifia.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi Simba matokeo haya yanawahusu

    Viongozi wa Simba kiburi chenu cha kutosikiliza ushauri, hii aibu inawahusu. Watu wengi walishauri kuwa haikuwa wakati sahihi wa kumleta kocha mpya katika dirisha dogo wakati aliyekuwapo alikuwa anafanya vizuri. Au kwa vile Mgunda amekuwa mzawa ndiyo mukamdharau. Mechi zote za kimataifa...
  10. JamiiForums Tanzania Haya Ndiyo Makobazi

    HAYA NDIYO MAKOBAZI Makobazi ni viatu vinavyovyaliwa kwa wingi na watu wa Pwani ya Afrika ya Mashariki. Hivi ni viatu wanavyovaa wanaume. Juu ataweka kofia pengine ya ya mkono. Itafata kanzu pengine ya Dariz. Juu ya kanzu linaweza kuja koti. Chini ya kanzu utakuja msuli au saluni kwa jina...
  11. JamiiForums Tanzania Ukizingatia haya hautapata shida kuongea na mwanamke

    Usipate shida kuhusu uongee nini na mwanamke, sababu wanawake wanajali unavowafanya wajisikie ukiwa nao zaidi ya maneno unayoongea. Kadri unavyojiamini ndivyo mwanamke anakuamini pia. Hivyo cha muhimu kufanyia kazi ni kuboresha hali yako ya ujasiri wa kiume na kuzingatia haya wakati unaongea na...
  12. JamiiForums Tanzania Manesi wanahitajika: Kama wewe ni nesi ajira ya nje nje hii hapa tuma maombi nenda mkachape kazi

    Nurse Position at Milvik Bima Location : Dar es Salaam, Tanzania MILVIK BIMA Founded in 2010, MILVIK BIMA is democratising healthcare in emerging markets through technology that enables affordable and accessible healthcare solutions, while empowering people to take control of their health. With...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

    Salaam Wakuu, Leo sionglei hela za Wahujumu Uchumi kwenda kufichwa China na mchakato wa Investigating Plea Bargaining. Ni uzi mwingine ntaweka. Kipindi anaenda kuchukua fomu ya kuomba apendekezwe kugombea urais kupitia CCM, alienda Dodoma kimyakimya kama mwizi na kwa Mjibu wa Zitto ni Mwizi...
  14. JamiiForums Tanzania Haya maneno bado yapo vyuoni? Wazee wa Madesa, Simbi, Vizenga, Missile, Bombshell. Simulizi waliokamatwa au kushuhudia matukio wakati wa UE

    Hello lads and ladies. Legends! Tupitie flashbacks zetu tukiwa campus notes zina majina yake, vikaratasi vya kuibia majibu kwenye Tests na UE na majina yake. Wakali wa vizenga, dessa, simbi kwenye soksi , chooni, network collabo za chooni, signal kama zote. Wale ambao hawakuwahi kutumia desa...
  15. JamiiForums Tanzania Nisipowaambia ukweli nitahukumiwa siku ya mwisho. Haya ni machukizo kwa Mungu

    Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni. Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika...
  16. JamiiForums Tanzania Usifanye haya Mambo unapodeal na mwanamke kama hutaki wakupande kichwani, kinyume na hapo mtalia sana Jamaa zangu!!

    Enyi Vijana wa kiume, ninachokiandika hapa, pengine mnaweza kukitafasiri mjuavyo, pengine mkasema hayana fomula!!. Kwa juu juu hata wanawake wenyewe hapa wanaweza kusema "Mwandishi sio Mwanaume Bora". Nawahakikishieni, hayo ni Maneno yao tuu lkn Moyoni ndivo wanataka waendeshwe. 👉Ni kosa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia unapozungumza na wanafunzi wa elimu ya juu usisahau fedha za mafunzo kwa vitendo (field)

    Rais Samia mama yetu tunatambua nia yako njema ni kuiona Tanzania ikisonga mbele na kuondoa manung'uniko mengi. Mama wewe ni mfariji mkuu tunaomba unapokuwa unazungumza na wanafunzi wa vyuo hapo Dodoma uliangalie suala gumu ambalo tulikabiliana nalo mwaka jana tulipokuwa katika mafunzo kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya US Monastir kwa siku za karibuni, Yanga lazma afungwe

    Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja. Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation. Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Mtoto mdogo mwenye uwezo mkubwa wa kutambua mambo mbalimbali

  20. JamiiForums Tanzania Una ndoto ya kwenda kusoma Chuo kikuu Cha Harvard? Fanya haya

    Uwe na IQ ya kutosha maana Harvard si pa mchezo kama udsm...Hapana. Pale Harvard Kuna wakati IQ yako haifai chochote. Haijalishi una IQ ya 125, 135, 145, 155, 165, au 175. Vyuo vikuu vya wasomi vinataka kusajili wanafunzi walio na rekodi za mambo ambazo zinaonyesha kuwa wao ni aina ya watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…