Hivi nini/wapi chimbuko la majina haya uswahilini?

Ni swaga tu za Waswahili hizo, itakuwa wanatohoa majina ya Waarabu.
Mwenye ujuzi atu juze asili au chimbuko la majina haya maana uswahilini kwetu yanataradad.

SUHAYLA
SALHA
RUKAIYA
FALHIA
ZALHIYA
.........HIA
.........HIA.........Hia.........hia.

N.k
 
Majina ya kiarabu,wewe ulizowea ashura,sada,halima,salima nk,ruqaiya na rukia ni walewale
 
Ni swaga tu za Waswahili hizo, itakuwa wanatohoa majina ya Waarabu.
Hayo yako kama yalivyo ni majina ya kiarab tu wala hajatoholewa na waarab wanaitana hivyo hivyo
Na wengi wao ni watu wa pwani walioathirika na tamaduni za watu wa falme za kiarab na uislam
 
Inafikia kipindi mtu anakaa tu keshabugia kiporo cha "makukuru" au "shiro" hamna hamna "kishumba" hapa na pale "kande" basi ni ushuzi tuu na hivi hana kazi ya kufanya full tafarani.
 
Kuna majina ya aina tatu, mfano ya kimila,haya yalikuwa yanatolewa kabla hawajaja wakoloni,na kuna majina baada ya kuja wakoloni,yako pande mbili ya kiarabu na kizungu,kutokana na jografia ya inchi yetu jinsi tulivyotawaliwa.

Mano mfalamagoha,hili ni la kimira,Yahaya hili ni la Kisilamu na Yohana hili ni la kikristo.Lakini cha maajabu unaweza kukuta haya majina mfano ya kizungu,yalishapoteza maana yake toka yalikotoka,kama muhusika wa jina lake original siku akija ukamuita hilo jina haweza kuitika,mfano Yohana au Mathew siyo lilikuwa jina la muhusika,lakini lilipoenda Ulaya lilibadilishwa
 
Asantevkwa ufafanuzi mkuu
 
Inafikia kipindi mtu anakaa tu keshabugia kiporo cha "makukuru" au "shiro" hamna hamna "kishumba" hapa na pale "kande" basi ni ushuzi tuu na hivi hana kazi ya kufanya full tafarani.
Shiro hizo ni kande za kijapani mkuu?
 
Back
Top Bottom