Chemsha bongo: Ukipewa Million 100 kwa haya masharti utazichukua?

Mcqueenen

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
6,819
11,542
Chemsha bongo:

Ukipewa million 100 saa 6 usiku kwa masharti kuwa unatakiwa utumie hizo hela ndani ya usiku huo huo kutafuta nyumba na uhakikishe umehamia. Nyumba iwe kali na iwe na kila kitu ndani.

Kuanzia jikoni kuwe na kila kitu, sebuleni funiture zote, chumbani kuwe na mashuka mpaka ya wageni, chooni kuwe na dawa ya mswaki na sabuni iliyotumika nk.

Kikubwa hiyo nyumba iwe kali na uonekane una maisha mazuri.

Masharti ni kuwa usiende kwenye zile appartments zenye kila kitu ukahamia na wala usitafute mtu mwenye mji wake ukamlipa kumhamisha uhamie..

Unaruhusiwa kujenga usiku huo huo, unaruhusiwa kupanga nyumba usiku huo, au kununua nyumba mpya au used usiku huo na ukapeleka vitu vipya.

Kipimo cha kushinda huo mtihani ni kuwa: kufikia kesho yake asubuhi saa 1 ataletwa mtu yeyote mgeni wa mtaani umpokee kwenye hiyo nyumba yako atalii talii...

Akishatalii ataulizwa kwa macho yake hiyo nyumba umehamia lini. Akisema miezi 3 kuendelea unashinda hiyo nyumba na hela ulizobakiza.

Akisema hii nyumba wamehamia hivi karibuni chini ya miezi 3 unanyang'anywa hiyo nyumba na hizo chenchi ulzizobakiza.

Utaweza??
 
veeere simpo. Jiunge Air BnB
 
Ni sawa sawa na mwanamke aliyevaa tshirt inasema I am virgin huku ana mimba
 
Simple!!!
Labda kwa walioko kazuramimba huko ndo watashindwa.
Ila kwa mimi utakuta mpaka vyakula nishanunua na kupika nimepika, asubuhi utakuta namwagilia maua nilopanda usiku
 
Kwa hii Dar ninayo ijua mimi, mbona ni zoezi la masaa mawili tu hilo.
Waite wajuba, wape maelezo tu mchezo unaisha chap sana.
 
Back
Top Bottom