haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jikumbushe Haya 9 Wakati Unaishi Na Mwanamke, Ili Uishi Kwa Amani.

    Kuishi na mwanamke inapaswa iwe raha. Ukiona huna raha kuishi naye, tambua kuna sehemu umeyumba. Kosa kubwa wengi hufanya ni kuishi na mwanamke anayemtesa sababu anaogopa kumuacha. Anaogopa kuanza upya kutafuta mwanamke mwingine. Anaona aishi na huyo hivyo hivyo tu, maisha yasonge. Lakini tambua...
  2. JamiiForums Tanzania Ikiwa haya yatafanyika, basi ndoa zitadumu

    Hey there, Inakuwaje wadau wa humu ndani... Hope mpo poa na kama kuna tatizo lolote yeyote alienalo basi maombi yangu kwake ni Mungu amfanyie wepesi. Twende kwenye mada. Marriage/Ndoa imekuwa ni big issue hasa humu kwenye platform ya JF, Huku kukiwa na makundi mawili (wanaounga mkono ndoa na...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hivi haya makato wanayo fanya NMB ni sawa kweli.? Nimetuma picha

    NMB wanafanya makato ya ajabu sana tena wanafanya mara mbili mbili. Kwa transaction moja. Nilienda kurepoti tatizo hili wakaniambia niandike barua watarudisha lakin hawakurudisha na ndio kwanza naona wanaendelea kufanya makato transaction moja mara tatu. Na sasaivi nimeona wameongeza kitu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa wenye utaalamu na soccer naomba kufahamu haya

    Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo naamini nitapata kuelewa. Huwa najiuliza maswali haya, _ hivi wale linesman huwa hawaruhusiwi...
  6. JamiiForums Tanzania Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

    Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ... 1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili? 2. Biblia ni nini? 3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia. 4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Marekani, Donald Trump awekwa kizuizini

    Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan. The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken. After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out We still don’t know the exact...
  8. JamiiForums Tanzania Zingatia haya ili kulinda na kutunza Afya yako ya Akili

    Punguza Matumizi ya Teknolojia: Unapotumia muda mwingi kwenye Mitandao ya Kijamii au Michezo ya Video (Games) inaweza kuathiri Afya ya Akili hasa vile unavyochukulia mambo au kufikiri. Jifunze kudhibiti matumizi ya Teknolojia kwa kufanya shughuli za kujenga mwili na akili. Simamia Muda Vizuri...
  9. JamiiForums Tanzania Haya ndio maswali yangu machache yaliyokosa majibu. Je, wewe unaweza kunijibu?

    Vipi hali zenu ndugu zangu? Nimekuwa na maswali kadhaa akilini kwangu, lakini kila nikijaribu kuwauliza wana historia wanashindwa kunipa majibu yanayoeleweka. Anyway ngoja niyalete hapa huenda watapatikana wenye majibu yanayoeleweka. Kwanza kabla ya kuendelea naomba niseme kwamba mada yangu...
  10. JamiiForums Tanzania Mungu aliumba jinsia mbili, mwili moja ni kujamiana, kwanini makanisa yanatumia maneno haya kulazimisha ndoa ya mke moja kinyume na utaratibu wa Mungu

    Ukweli huwa haubadiliki hata watu wengi wakiamini uongo ama kudanganywa bila kujua. Suala la makanisa kutumia hayo maneno ni upotoshaji mkubwa Mungu alimuumba mwanaume na mwanadamu, Hapo kinachozungumziwa ni jinsia alizoumba, hakukuwa na jinsia ya tatu, hapa sioni kama kuna valid point...
  11. JamiiForums Tanzania Jiamini kwa kufuata mambo haya 5

    Habari zenu wakuu.. Bila kupoteza muda leo nineona nije na huu uzi kuokoa baadhi ya watu wenye (Insecurities) ambao hawajiamini na wengine wanaenda mbali zaidi hawajipendi. So Kutojiamini kukizidi kunazaa kutojipenda, yaani unajichukia wewe mwenyewe. Kuna makundi mengi ya watu ambao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Haya Wananchi mshindwe wenyewe kusukuma mlevi!

    Timu yenyewe mnayocheza nayo inaburuza mkia, ni cha wote hicho! Mshindwe wenyewe kusukuma mlevi huyo mzembe! Ila msije hapa kujisifu! LKwani nani anaweza kushindwa kusukuma mlevi?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Haya kawikiendi tukapoze machungu

    Baada ya viwiki kadhaa wadau wa mpira kuukosa uhondo wa ligi mbali mbali kama laliga, NBC ligi 1 na nyinginezo duniani, hatimaye burudani zimerejea EPL on air leo Mancity vs liverpool yaani ni unyama unyamani:), haka kamechi kanakuhitaji upate chimbo moja hivi tulivu upate moja baridi...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali isipowakamata na kuwafikisha mahakamani wezi wa mabilioni haya basi wafungwa wote magerezani waachiwe, wanaonewa!

    Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa. Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu Hayati Magufuli aliyajua haya?

    Huyu Mwamba kuna mambo alikuwa nayo sisi hatukujua. Tutahangaika sana kuelewa
  16. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuvuja TTCL, Serikali ifanye haya kwanza...

    Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza. Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa hizo basi serikali inunue hisa hizo Kwa niaba ya wananchi...kama ambavyo serikali ina hisa NMB, puma...
  17. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Ukipewa Million 100 kwa haya masharti utazichukua?

    Chemsha bongo: Ukipewa million 100 saa 6 usiku kwa masharti kuwa unatakiwa utumie hizo hela ndani ya usiku huo huo kutafuta nyumba na uhakikishe umehamia. Nyumba iwe kali na iwe na kila kitu ndani. Kuanzia jikoni kuwe na kila kitu, sebuleni funiture zote, chumbani kuwe na mashuka mpaka ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi nini/wapi chimbuko la majina haya uswahilini?

    Mwenye ujuzi atu juze asili au chimbuko la majina haya maana uswahilini kwetu yanataradad. SUHAYLA SALHA RUKAIYA FALHIA ZALHIYA .........HIA .........HIA.........Hia.........hia. N.k
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maana ya haya maneno yanayotumika sana uswazi

    Tashtiti Sio kivile Mabumashi Kivuruge Bandidu Ushubwada Mgaigai Macho kuona Kausha damu Duka la mangi Harakati Udwanzi
  20. JamiiForums Tanzania Yanga haya magoli 14 mnayozidiwa na Simba kayafunga Mayele?

    Kila siku mnapiga kelele humu kwamba Fowadi ya simba ni mbovu. Simba imewazidi Yanga Magoli 14 mpaka sasa, hayo magoli yote mliozidiwa yalifungwa na Mayele? Mchezaji wenu wa kawaida sana mnayemsifia kama vile ni malaika toka mbingu ya Soka aliyeachiwa upako na Pele. Hebu acheni mambo yenu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…