haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiwa na haya umekula bingo Kwa Zama hizi

    Salama! Siku hizi nimekua mkubwa, mambo ya kuandika madude marefu nimewaachia wengine. Haya nisipoteze muda. Siku hizi ukiwa na mambo haya basi jua umeula, umelamba dume, umekula bingo. Ni wewe tuu kuamua utoboe au usitoboe. 1. Kujua kingereza au lugha yoyote kubwa kimataifa. Achaneni na kile...
  2. JamiiForums Tanzania Niliwaonya mno mlioshangilia Kifo cha Hayati Magufuli na Kumsimanga, haya nanyi sasa mnamfuata huko huko

    Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli. Haya Kiko wapi sasa? Tubuni haraka.
  3. JamiiForums Tanzania Huenda ukastaajabu. Lakini huu ulikuwa upande wa pili wa maisha yangu ndani ya JamiiForums

    Habari za wakati huu wakuu, Ni nusu mwaka sasa tokea kuwa "The Storyteller" aliyestahili tuzo humu jukwaani. Ni muda mrefu sana umepita tokea pale nilipoifahamu na kujiunga na jumuiya, japokuwa mlio wengi mtachungulia kwa profile ili kuona lile neno "joined Nov 2022", JF nimeifahamu kwa zaidi...
  4. JamiiForums Tanzania Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

    Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo...... 1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania? 2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako? 3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC? 4. Mpaka hivi sasa tokea uwe...
  5. JamiiForums Tanzania Usijaribu kununua haya magari mawili utalia kilio cha mbwa mdomo juu

    Nimekuja mkoa flani kikazi nilitumia usafiri wa ndege. Huku kuna jamaa yangu akaniambia kwa kuwa akija Dar huwa nampatia usafiri nitumie gari ndogo ambayo huwa anatumia mkewe. Niende kwake nikachukue. Nikaenda. Nimefika nikakaribishwa ndani n.k nikamwambia shemeji nimeambiwa nije chukua gari...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuwa na ukungu katika kutunza kumbukumbu limenianza taratibu, nifanye mambo yapi ili kulitatua ama kulipunguza?

    Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu, Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa hali itakuwaje nikifikia huko 50 - 60+ Kwa sasa situmii kilevi ila hapo nyuma tangu 2013 hadi 2022...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana NEMC kwa kuanza udhibiti kelele kwenye bar lakini fanyeni haya kuboresha zoezi

    Nawapa pongezi sana kwa mwanzo huu! NEMC Mkiamua mnaweza! Mmefanikiwa kufungia bar chache zinazopiga miziki mikubwa! Ni jambo jema sana! Naomba kushauri jambo moja ndugu zetu NEMC! Kuna msemo Wataalam wanasema "Good approach, Bring best Result" Hakika mmethubutu kuwaonya hawa watu wanakela...
  8. JamiiForums Tanzania Je, WhatsApp yako imefungiwa? Fanya haya

    Je wewe ni muhanga wa kufungiwa kutumia Whatsapp Kwenye simu yako na kila ukijiunga Whatsapp lazima upigwe ban ? Unafanyaje kujiondoa? Wengi wanajiuliza inakuwaje imenitokea hii inakutokea kwa sababu umevunja sheria na taratibu za Whatsapp ndo maana umefungiwa namba yako kutumia Whatsapp. Kuna...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu juu ya mahusiano haya na mpenzi wangu

    Habari zenu ladies and gentles, natumaini mko poa popote pale mlipo. Naomba kupewa mawazo, maoni, experience au ushauri juu ya hii changamoto ninayokutana nayo. Nina mpenzi wangu tumeanza mahusiano huu tunaenda ni mwaka wa 3 sasa. Tulianza mahusiano vizuri sana, nilikuwa naenjoy chats and...
  10. JamiiForums Tanzania Haya Mashabiki Wenzangu wa Rhumba na Congo Music Fally Ipupa kaachia Rhumba Kali la MAYDAY

    Hapo nyuma niliwaletea Rhumba lake Kali liitwalo Se Yo na hata bado hatujatosheka na Utamu wa huo Wimbo tayari Fally Ipupa katuletea Rhumba lingine Kali na Tamu liitwalo MAYDAY. Litafuteni haraka ili mlisikilize ila kwa Mimi GENTAMYCINE sasa nataka kuingia Chimbo nijue ni kwanini huyu Mtoto...
  11. JamiiForums Tanzania Nimemvumilia sana mke wangu kwa tabia zake mbovu, mama yake kanipa makavu kwamba bila kipigo siwezi kuheshimika, haya mawazo yake ni sawa?

    Kwakweli huwa siamini kabisa kwenye mambo ya kupiga mwanamke ambae nimemzidi nguvu by far. Kuna binti nimemuoa sasa kuna vijitabia vimekuwa kiburi ambacho kilianza kama masikhara ila sana kinazidi. Sasa tangu nianze kumkanya, mabishano yamekuwa mengi, nikiongea neno moja kwa sauri ya chini...
  12. JamiiForums Tanzania Ipi ni changamoto kubwa katika maeneo haya Jijini Dar es Salaam? Mengine yanaogopwa

    Tuweze kushare uzoefu wa maisha maeneo haya kwa wale ambao wamewahi kuishi. Kwa upande wa mambo ya usalama, maadili, madili, utulivu, makuzi, tabia n.k. Wadau wanaweza toa uzoefu wao katika upande wa umalaya, matumizi ya Bangi/Maddawa ya kulevya, uhalifu, mapenzi ya jinsia moja, ubakaji na...
  13. JamiiForums Tanzania Haya ni maeneo Hatarishi sana kiusalama na maadili Dar es Salaam

    1. Kinondoni - Ushoga,Ushoga,Ushoga Umalaya na Madawa ya kulevya, uhalifu 2. Magomeni na Mwananyamala - ushoga, umalaya na madawa, uhalifu 3. Ilala - ushoga , madawa, umalaya,uhalifu 4. Sinza - matumizi ya madawa x2 na umalaya, Ushoga kwa mbaliii, uhalifu 5. Temeke -...
  14. JamiiForums Tanzania Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu

    Haya matunda mazuri na matamu yanapatikana mkoani kwenu? Mnayaitaje kwa kilugha chenu. Mkoani kwetu yanaitwa 'Ebitomasi' yapo ya aina mbili, Mekundu na njano. Unaweza kula yakiwa yamepikwa kwenye matoke au kula ambayo hayajapikwa.
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Kwa matokeo haya naweza kuwa lecturer?

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza mimi ni mwanafunzi mwaka wa pili chuo X degree ya ualimu( bachelor of science with education) semester ya kwanza nilipata GPA 3.5 semester ya pili 4.2 na semester ya tatu 3.2 lakini najua na ninauwezo wa kupata 3.6 kutokana na bado sjafanya field ( teaching...
  16. JamiiForums Tanzania Mratibu Simba SC Abbas na Msemaji nimeambiwa mnanisoma mno hapa haya nifikishieni Usiku huu Ujumbe wangu kwa Kocha Robertino

    Mwambieni GENTAMYCINE namkubali sana na mno ila kwa Umuhimu wa Tukio Takatifu la Kesho huko Morocco naomba aanze na Moses Phiri badala ya Saido Ntibanzonkiza. Halafu ikimpendeza Kipindi cha Pili afungue Busta zote kwa Kuwaingiza Sakho Kulia na Okra kama yuko Fiti upande wa Kushoto ili...
  17. JamiiForums Tanzania Wana JF mashati haya naweza kupata duka lipi kwa Dar es Salaam?

    Bila shaka hamjambo wana Jf, nisiwachoshe nahitaji mashati kama haya niliyoambatanisha na hii thread kwa hapa Dar. Natanguliza shukurani zangu.
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaume Maisha ni Mapambano, chagua moja kati ya haya

    Kupambana sio kutafuta hela tu. Kupambana ni kitendo cha kuwa bora na mwenye thamani zaidi kila siku. Tangu umezaliwa hauna thamani kulinganisha na mtoto wa kike. Usikae kulalamika kuhusu hilo. Ni juu yako kupambana na kukuza thamani yako. Na utaheshimiwa zaidi kadri unavyozidi kupanda juu...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, atafanya mambo haya

    Mwanamke yeyote anayetaka ndoa kwa mwanaume, lazima atafanya mambo haya amtembeleapo mpenzi wake wa kiume:- Kufua nguo Kupika Kusafisha nyumba Kutandika kitanda Kutoa mapenzi moto moto Kuongea kwa lugha ya upole Kumpangia/kumuandalia mpenzi wake nguo za kuvaa Kama hafanyi hayo mambo; juwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: NEMC fanyeni haya ili kupunguza kelele za muziki mtaani

    Nafaham upo ugumu mkubwa wa kushughulika na watu wanaoamini KERO ni haki yao! Yaani kuna watu wanajimilikisha haki ya kuwakera wengine! Na wanaoamini wako sahihi! Zamani kukuta spika ya disco kanisani ilikuwa HAKUNA! Na watu waliogopa kucheza sebene kanisani lakini hivi Leo ni kawaida sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…