haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo haya ndio yanaidharaulisha Nchi yetu hadi kuonekana imekufa

    Kumpamba mtu ambaye hajawahi hata kupiga danadana mbili , achilia mbali Netball, ni sawa na kumkejeli . Mwenyekiti wa CCM ana maeneo mengi sana ya kumsifia, UWT, UVCCM, LUMUMBA, CHIMWAGA na KIZIMKAZI, hakuna haja ya kuleta ujinga huu ndani ya viwanja vya soka ambavyo wamo watanzania wengi ( 80%...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa wale wataalamu wa Body language Unawezaje kusema Hayati Magufuli hakuwa anamaanisha haya aliyo kuwa anazungumza ?

    Nimepita mitaa fulani huko nimesikia kuna watu wanasema hayati JPM ukali wote ule ila alikuwa hamaanishi alivyokuwa akizungumza . Binafsi nimepitia video chache nikaona hayo madai hayana ukweli wowote na alikuwa na nia nzuri na hili Taifa . Kuna wale wataalamu wa body language mnasemaje ...
  4. JamiiForums Tanzania Haya Chukueni hii kuhusu 'Derby' ya Kesho ( Leo ) tarehe 5 Novemba, 2023 Mkapa Stadium

    Refa akiwa Mwanamke yule Dada wa Singida ( ambaye ni mwana Simba SC lia lia ) kwa 100% Simba SC anashinda. Refa akiwa Mwanaume ( hasa Aragija ) ambaye pia Kiuhalisia ni mwana Yanga SC lia lia kwa 100% Yanga SC inashinda. Refa akiwa ni Mwanaume ( hasa Eli Sasi ) Mechi itaisha Sare kwakuwa huyu...
  5. JamiiForums Tanzania Fanya haya kuongeza thamani ya ibada yako katika mikusanyiko ya kiroho

    1: Ingia kwenye ibada ukiwa na ajenda. Usiende kwa sababu watu huwa wanaenda. Jitahidi uwe na hoja na ajenda siriasi ukizopanga kuwasilisha kwa Mungu wako. 2: Usipende kukaa nyuma au mwisho. Ili kuwa mzingativu jitahidi ukae kuanzia siti za katikati kuelekea mbele kwa mnenaji. Usiulize nyuma...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwaza nini akafanya maamuzi haya kwenye Muungano?

    Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake. Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya...
  7. JamiiForums Tanzania Haya ndio maisha halisi ya familia zetu hasa msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka

    Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya 1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa. 2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
  8. JamiiForums Tanzania Mahitaji ya watanzania ni yaleyale Makonda ukiyatimiza haya kijiji unachukua, Hayati Magufuli alipendwa kwa Haya

    Sina mengi ya kusema ila Makonda ukiweza kutatua kero za wananchi on spot, kurudisha uwajibikaji kwenye ofisi za umma maana waajiriwa wote na watumishi wote wapo kwa udhamini wa CCM so unaweza kuvimba nao, huduma muhimu ziboreshwe, ikiwemo shule, hospitali, miundombinu ya maji, barabara na umeme...
  9. JamiiForums Tanzania Sehemu za kazi mtu anaweza akakuchukia tu akazuia kila fursa unayostahili!

    Ni maisha tu. Wanaoteuliwa kuwa Wakuu wa Vitengo au Idara wanajitahidi kuonyesha chuki zao na watendaji wa chini, wanadiriki kukutimba udidimie, ila Mungu ni Mkuu. Fikiria mtu akuchukie tu, tena idara za serikali ambapo anakuonesha waziwazi kukufungia vioo.
  10. JamiiForums Tanzania Haya Ndio Yanachelewesha Mafanikio Yako

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na shughuli za ujenzi wa maisha yako na taifa kwa ujumla.Leo nachokoza mada kuhusu mambo ambayo huchelewesha mafanikio ya mtu.Ni matumaini yangu kwamba mjadala huu utakufanya uweze kuona mwanga na kuchukua hatua stahiki. Karibu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua magari haya

    Habari za usiku huu? Nina kijana wangu nataka kumnunulia gari kwa ajili ya biashara. Gari yenyewe ni Toyota Coaster used hapa Tanzania. Au Nissan Civilian niagize kutoka Japan. Nataka kununua Toyota Coaster 1HZ used hapa Tanzania kutokana na kuagiza ni ghali zaidi na itakuwa nje ya bajeti...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kama si Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na wazalendo wengine haya yasingetokea

    - Ukomo wa mkataba umekua miaka 30 tofauti na IGA ambayo haikua na ukomo. -DPW imepewa magati manne tu (no.4 hadi no.7) tofauti na awali ambapo ilipewa magati yote. - Gati no.0 hadi no.3 yataendeshwa na TPA kwa kushirikiana na DPW. Na gati no.8 hadi no.11 yatatafutiwa mwekezaji mwingine. -...
  13. JamiiForums Tanzania Iringa: Jela maisha kwa kubaka na kumpa mtoto Ukimwi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha mara mbili Mzee Selemani Gwabuga maarufu Msabato, sambamba na kulipa fidia ya shilingi milioni 25, kulipa faini shilingi milion 5 na kuchapwa viboko 11 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka Mtoto wa miaka 11 na kumuambukiza virusi vya...
  14. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Nini kitatokea dawa ikimdhuru mtu aliyeinunua pharmacy bila cheti cha daktari? Majibu haya hapa

    Mfamasia Neema J. Nagu kutoka Wizara ya Afya anasema kuna dawa za aina mbili zinazouzwa kwenye Duka la Dawa, zipo ambazo hazitolewi bila cheti kama Panadol na zile za mafua na nyinginezo. Anasema “Dawa nyingine zinatakiwa kutolewa na cheti mfano dawa zote za Antibiotic hizo lazima anayehitaji...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"!

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini haya Matatizo ya Kinidhamu ya Kipa Metacha Mnata yanafanywa Siri? Kaharibu tena baada ya Kusamehewa

    Mwambieni GENTAMYCINE namshauri ili atulie Yanga SC na asiendelee kuwa na Matatizo ya Kinidhamu ndani ya Timu na kwa Viongozi aachane na huyo Mganga wa Kienyeji anayemsaidia ili Kumshusha Kipa Djigui Diarra na aaminiwe Yeye kwani Ndumba zake zote zinadunda kwa Raia wa Mali Kipa Diarra ambaye...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Habari zenu, Naombeni majibu ya haya maswali kwenye maneno ya Biblia: "Ukisoma mwanzo unaambiwa Adam na Hawa walimzaa Kaini na Habili, baadaye Kaini alimuua nduguye Habili. Baada ya hiyo hali Mungu akamfukuza Kaini (Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana akakaa katika nchi ya Nodi mbele ya...
  18. JamiiForums Tanzania Haya tujuane sasa tuko katika Kundi gani kati ya yafuatayo yaliyotajwa hapa

    "Kwa nje namtafsiri kijana kwa umri wake na matendo yake. Kijana kiumri kuanzia miaka 16 hadi 34. Kuanzia miaka 35 hadi 45 ni mtu wa makamo. Kuanzia 50 na kuendelea ni mtu mzima. Miaka 70 na kuendelea ni Mzee" Mwanaidi Kombo, Mwanasaikojia. Chanzo: cloudstv GENTAMYCINE nilikuwa najiona tayari...
  19. JamiiForums Tanzania Kama haufanyi mambo haya hauna haki ya kumiliki pesa au mali; utaishia kutamani tu na umasikini hautakuacha

    Ukweli mchungu lakini ndivyo ulivyo, Ili dawa iingie wakati mwingine sindano kwanza. Moja kwa moja kwenye hoja ni kwamba kwamba kama hakuna huduma au bidhaa unayoizalisha na kuitoa kwa jamii kama mbadilishano kutafuta utajiri bila njia hiyo ni kujighilibu akili. Mahitaji ya jamii yako ndiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Migogoro mingi ya kijamii na kitaifa ni matokeo ya migogoro ya familia (mke na mume)

    Niliwahi kukaa katika taasisi moja. Kulikuwa na mazali kila siku. Chuki kutuhumiana, kuviziana na kila namna ya fyokofyoko kati ya wahusika. Nilipozama kutafiti nikagundua chazo ni nyumbani hawa jamaa wanapotokea. Hawana amani, familia zimejaa magomvi, kufumaniana, mivurugano na taabu za kila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…